Habari za usiku wadau,
Nilikua nnauliza kama nitapata gari la aina yoyote kwa 4 mill ambalo lipo yard? kuna mdogo wangu ana-hiko kiasi cha pesa.
Asante
Ok,Habari za usiku wadau,
Nilikua nnauliza kama nitapata gari la aina yoyote kwa 4 mill ambalo lipo yard? kuna mdogo wangu ana-hiko kiasi cha pesa.
Asante
Yap, ninazo gari mbili (both saloon cars) naziuza nataka kwenda masomoni. Kama uko interested tuwasiliane kwenye 0719077297.Kwa milioni 5 jee inawezekana kupata gari dogo?
Kwa milioni 5 jee inawezekana kupata gari dogo?
Mm ninalo lipo katika hali nzuri,nauza sababu nataka badilisha gari,nna baloon cresta kama unahitaji tuwasiliane,ama ushapataKwa milioni 5 jee inawezekana kupata gari dogo?
du kwa 4M hiyo lazima itajuwa ya mwaka 1993
ipo hyundai manual odo km4000 tu almost new bt muundo wake haina ac 4mil