Rafiki yangu kaharibu gari langu

zwangandaba

JF-Expert Member
Jan 31, 2023
608
1,136
Juzi nilisafiri kwenda nje ya mkoa ambako ilitarajiwa nikae siku 5. Kwa ajili ya mazingira ya usalama nikaamua gari niliache kwa rafiki yangu ambae pia tuna kawaida ya kuachiana magari endapo mmoja anapata safari inayolazimu kusafiri na usafiri wa umma.

Sasa nikarudi siku moja kabla na nikaenda kwake kuchukua gari langu.

Ile nafika namkuta jamaa kakaa barazani gari lake lipo ila langu halipo. Nilipo muuliza ananiambia amempatia mdogo wake ampeleke mgonjwa hospitali, nikaondoka maana ilikuwa kama saa 4 asubuhi ila nilikasirika sana!

Kama angekuwa kaondoka nalo mwenyewe isingekuwa kesi kwani nafahamu uendeshaji wake hatutofautiani na mimi.

Swali nilikiuliza kwanini asimpatie gari lake badala yake kampatia la kwangu?

Gari halikurudi mpaka saa 12 jioni. Mafuta wakati nakabudhi yalikuwa robo tanki ila nakabidhiwa yako mshale wa mwisho chini halafu anajitetea ameongeza lita 10! Nikamwambia tatizo sio lita 10, hata angeongeza lita 80 ilitakiwa yasiwe chini ya kiwango cha awali.

Nilikuta gari shokap moja ya nyuma imekufa na gari linatoa milio ya ajabu.

Imenilazimu nipelele gereji pesa initoke

Sitarudia tena kuacha gari kwa mtu asie jali.
 
Kweli mkuu hata mimi nilimwazimisha baiskeli yangu mjomba Uredi, akairudisha na pancha taili nyuma na mbele, saivi siwezi mwazimisha tena mjomba Uredi baiskeli yangu.
19.jpg
 
Juzi nilisafiri kwenda nje ya mkoa ambako ilitarajiwa nikae siku 5. Kwa ajili ya mazingira ya usalama nikaamua gari niliache kwa rafiki yangu ambae pia tuna kawaida ya kuachiana magari endapo mmoja anapata safari inayolazimu kusafiri na usafiri wa umma.

Sasa nikarudi siku moja kabla na nikaenda kwake kuchukua gari langu.

Ile nafika namkuta jamaa kakaa barazani gari lake lipo ila langu halipo. Nilipo muuliza ananiambia amempatia mdogo wake ampeleke mgonjwa hospitali, nikaondoka maana ilikuwa kama saa 4 asubuhi ila nilikasirika sana!

Kama angekuwa kaondoka nalo mwenyewe isingekuwa kesi kwani nafahamu uendeshaji wake hatutofautiani na mimi.

Swali nilikiuliza kwanini asimpatie gari lake badala yake kampatia la kwangu?

Gari halikurudi mpaka saa 12 jioni. Mafuta wakati nakabudhi yalikuwa robo tanki ila nakabidhiwa yako mshale wa mwisho chini halafu anajitetea ameongeza lita 10! Nikamwambia tatizo sio lita 10, hata angeongeza lita 80 ilitakiwa yasiwe chini ya kiwango cha awali.

Nilikuta gari shokap moja ya nyuma imekufa na gari linatoa milio ya ajabu.

Imenilazimu nipelele gereji pesa initoke

Sitarudia tena kuacha gari kwa mtu asie jali.
Tafuta nyumba yenye parking hayo mambo ya kuacha gari kwa mtu utateseka sana...
 
Pole mkuu ila hata wewe umeharibu lugha ya Kiswahili fasaha hapo kwenye heading yako,

Kaaribu

Kaharibu
Samahani kwa kuharibu kiswahili, tatizo ni kwamba hii lugha mi nimejifunzia shuleni. So mpaka hapo nimejitahidi sana kwa kiswahili hiki kibovu. Namshukuru Mungu kiswahili changu kibovu hakijawahi kuwa changamoto kwenye kupata fursa za kimaisha.

Lakini pia nashukuru kuona ujumbe wangu umewafikia walengwa na mnanishauri vizuri licha ya mapungufu katika lugha.

Allah, akupe kheri!
 
Juzi nilisafiri kwenda nje ya mkoa ambako ilitarajiwa nikae siku 5. Kwa ajili ya mazingira ya usalama nikaamua gari niliache kwa rafiki yangu ambae pia tuna kawaida ya kuachiana magari endapo mmoja anapata safari inayolazimu kusafiri na usafiri wa umma.

Sasa nikarudi siku moja kabla na nikaenda kwake kuchukua gari langu.

Ile nafika namkuta jamaa kakaa barazani gari lake lipo ila langu halipo. Nilipo muuliza ananiambia amempatia mdogo wake ampeleke mgonjwa hospitali, nikaondoka maana ilikuwa kama saa 4 asubuhi ila nilikasirika sana!

Kama angekuwa kaondoka nalo mwenyewe isingekuwa kesi kwani nafahamu uendeshaji wake hatutofautiani na mimi.

Swali nilikiuliza kwanini asimpatie gari lake badala yake kampatia la kwangu?

Gari halikurudi mpaka saa 12 jioni. Mafuta wakati nakabudhi yalikuwa robo tanki ila nakabidhiwa yako mshale wa mwisho chini halafu anajitetea ameongeza lita 10! Nikamwambia tatizo sio lita 10, hata angeongeza lita 80 ilitakiwa yasiwe chini ya kiwango cha awali.

Nilikuta gari shokap moja ya nyuma imekufa na gari linatoa milio ya ajabu.

Imenilazimu nipelele gereji pesa initoke

Sitarudia tena kuacha gari kwa mtu asie jali.
Walikuomba uliache hapo kwao au ni kiranga chako tu. Unaposema hurudii tena kuacha gari hapo kwani wao wanashida na gari lako mkuu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom