Gari kwa 4 Mill

Bavaria

JF-Expert Member
Jun 14, 2011
53,102
53,351
Habari za usiku wadau,

Nilikua nnauliza kama nitapata gari la aina yoyote kwa 4 mill ambalo lipo yard? kuna mdogo wangu ana-hiko kiasi cha pesa.
Asante
 
Habari za usiku wadau,

Nilikua nnauliza kama nitapata gari la aina yoyote kwa 4 mill ambalo lipo yard? kuna mdogo wangu ana-hiko kiasi cha pesa.
Asante

ongeza kama 2m hv uagizie mwenyewe utoe manailoni mwenyewe mkuu,anataka gari ya aina gani kwani tumsaidie kuagiza?
 
yeye anasema gari lolote tu, hyo ni maximum budget yake. nimeongea nae sana lakini amrshindwa kuongeza.
 
Ninalo ila awe tayari kulipia ushuru wa 4m zingine amiliki gari lake saaaafi.
 
Habari za usiku wadau,

Nilikua nnauliza kama nitapata gari la aina yoyote kwa 4 mill ambalo lipo yard? kuna mdogo wangu ana-hiko kiasi cha pesa.
Asante
Ok,
Nenda Mwenge opposite na kwa Kakobe au Tabata Matumbi kwa JAN JAPAN ndo wauzaji wa gari za bei rahisi, yupo jamaa yangu mmoja alishawahi kununua pale mpaka kwa 3.5Mil. Ubora sina uhakika nao.
 
Asingekuwa TZ labda angepata, lakini TZ na kodi juu inawezekana kweli? Labda amvue mtu mikononi, na ubora will not be guaranteed.....

Labda wataalam wa kuuza magari watatuhabarisha zaidi...
 
Mkuu uwe makini sana au tafuta fundi akusaidie,vinginevyo utauziwa screen sever na wajanja.
 
lipo nissan infinity fx35 liko poa jamaa anauza anahitaji pesa ili akatoe mzigo wake...bei ni 3,500,000 0717022737
 
ipo hyundai manual odo km4000 tu almost new bt muundo wake haina ac 4mil

Transporter naomba uweke picha hapa tafadhali. Wengine tuna mzuka sana na magari manual. Tafadhali kama vipi weka picha niongeze interest tafadhali. Nasubiria mzazi. Muhimuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Back
Top Bottom