Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,987
- 24,232
Mi nadhani hawajui idadi na wala hawana hakika anapita njia gani.
Wamenitia jambajamba leo pale africana sinaa hamu, utadhani hawajui bosi anapita wapi.
Kidogo wengine tuambiwe tuingie mitaroni kuupa nafasi msafara, na hao ni wale ni matrafiki wanaokuwa kwenye defender la msafara.
Nikabaki nashangaa, hao matrafiki waliokuwa barabarani hawakujua route ya mkuu? Hadi turushwe kichura na defender la mkuu? Yaani mie niliona aibu utadhani ndio nasimamia ile kazi.
Basi tu, mkuu analindwa na Mungu.

Any clue kama kabla Rais hajapita, traffic wa barabara atakayopita huwa wanajulishwa kuwa msafara utakuwa na magari mangapi na ya aina gani?
Au kila msafara ya Rais huwa unakuwa na idadi ya magari ambayo inajulikana na traffic?
Au traffic wanaambiwa tuu wapige deki barabara Rais anapita?