Na mimi ngoja nikasomea uchungaji sasa maana kama hiki chombo ni cha mchungaji shida gani ya kuhangaika na pay as you earn
Unaweza kuyatoa mapepo weweeeee?
Na mimi ngoja nikasomea uchungaji sasa maana kama hiki chombo ni cha mchungaji shida gani ya kuhangaika na pay as you earn
Unaweza kuyatoa mapepo weweeeee?
Mbona hii gari haina stika hata moja kwenye kioo,au zimebandikwa kwenye kioo kidogo cha nyuma
Kwa nini yasitoke, mbona wengine wanayatoa mimi ntashindwa nini
Udin tu unakusumbua mbwa wewe! Kila ki2 udini tu.
Wengine wanayatoa kwa kutumia majina yao, wewe utatumia jina la nani kuyatoa?
Sijawahi kusikia anaetumia jina lake kutoa mapepo, mfano akasimama kwenye madhabahu akakemea pepo kwa kusema we pepo nakuamulu kwa jina la Mwingira toka, ama nakuamuru kwa jina la Kakobe na mzee wa upako toka, hama kwa jina la mama Rwakatare. So kwa kuwa sijasikia hiyo kitu nitatumia jina lililo kuu kupita majina yote, jina la Yesu Kristo Mnazareth
Mkuu unaweza kubadirisha hiyo avatar yako kwa heshima ya jf ? Ni maoni yangu tu mkuu.