Inasemekana mtumishi amejitokeza, madai yake ni kuwa gari alikuwa nayo dereva. Dereva naye anadai alimpa fundi, kwa hiyo fundi ndio alikuwa anatesti. Nina mashaka tu na kauli ya dereva.
hawa wote lazima waisaidie
polisi, wamesababisha watu sasa wawe tegemezi wakati yule mama ndo
alikuwa kichwa cha familia.
Landriver ? Hii itakuwa ni gari mpya sana kuwa imported tz...landriver discovery hatareeee
Kwa hiyo watu wakiunga kwenye msafara wa Rais mwenye matatizo ni nani? Hapo huoni kwamba gari la polisi linalokuwa la mwisho nyuma linakuwa na polisi wasiokuwa na akili timamu, kwa kuwa hawawashughulikii watu wanaounga kwenye msafara. Ni makosa kuunga kwenye msafara wa rais, lakini wasimamia sheria hawafanyi hivyo!kwani na huyo alikuwa sehm ya msafara?na mara nagapi wa Tz kibao wanaunga pengn hata wewe usha wahi kuunga aanza wewe kutokuunga .Wtz punguzeni kulalamika na lawama nyingne zisizo kuwa na mashiko kwa serkli.mengine yako ndani ya uwezo wetu kuyazuiaya kwa mikono yetu
Angeomba hivyo angekuwa anazuia haki kutendeka. Wakristu huwa hawaombi kwa ajili ya kutengeneza dhambi. Mambo ya kuomba kwa ajili ya ubaya kama vile albadil etc yako upande wa piliAskofu ameshindwa kuomba gari lake lisikamatwe?
Landriver ? Hii itakuwa ni gari mpya sana kuwa imported tz...landriver discovery hatareeee
Kwa hiyo watu wakiunga kwenye msafara wa Rais mwenye matatizo ni nani? Hapo huoni kwamba gari la polisi linalokuwa la mwisho nyuma linakuwa na polisi wasiokuwa na akili timamu, kwa kuwa hawawashughulikii watu wanaounga kwenye msafara. Ni makosa kuunga kwenye msafara wa rais, lakini wasimamia sheria hawafanyi hivyo!
Askofu ameshindwa kuomba gari lake lisikamatwe?
Kama wangekuwa watu wanafuata sheria na taratibu bila shuruti, tungekuwa na sababu gani ya kuwa na polisi, Mahakama na magereza? Hivyo vyote viliwekwa kwa kuwa inafahamika kwamba watu hutii sheria kwa shuruti. Sasa wale polisi wanaofuatana na msafara wa Rais huwa wanasindikiza inzi? Wana kazi gani kama siyo kuhakikisha usalama wa rais ikiwa ni pamoja na kuhakikisha kuna distance fulani kati ya uliko msafara wa Rais na magari mengine yanayoufuata?Watz mnatka kusimamaiwa kama watotot,kwa nini tuwape kazi ya kufukuza watu kama nzi hivyo kama tunajua ni kinyume cha utaratibu kuunga kwenye masafara wa Rais? Hivi ukinya kwako usipoa frash napo Rais alaumie kwa kuwa na raia wachafu nchini mwake?,mageuzi ya fikra ya kutii sheria bila shurti yaanzie vichwani mwetu
Kabla ya kuandika uwe unasoma kwanza kilichoandikwa.
Mimi nimeuliza whoever aliyekuwa akiendesha hiyo gari nae alikuwa kwenye msafara?
Halafu na wewe unaniuliza swali hilo hilo "kwani na huyo alikuwa sehm ya msafara?"
Nikasema msafara wa Rais ni mrefu mno kiasi kwamba hata ukiunga tela hushtukiwi.
Ukasema "mara nagapi wa Tz kibao wanaunga pengn hata wewe usha wahi kuunga aanza wewe kutokuunga"
Nimeshauri kuna umuhimu wa ku-modernise jinsi Rais anavyolindwa lakini wewe unaona ni kulalamika.
Vichwa vingine bana.
mali ya mchungaji wa kanisa gani?
JF bana wakati mwingine ni umbeya tupu.
Mbona jana tuliaminishwa hapa JF kuwa gari iliyomgonga ilikuwa kwenye msafara wa Rais Kikwete na watu kwa hasira wakarusha makombora ya matusi na dharau.
La muhimu, magari ya kwenye msafara wa Rais kidogo yangekuwa yanakuwa machache ili iwe rahisi kwa traffic polisi kuongoza.
Anyway, haijarishi gari ilikuwa ni ya nani. Kuna familia kwa sasa ina omboleza.
Sema Wtz tunapenda sana short cut na hizi ndo side effect zake "alwyz short cut is a wrong cut"
Assemblies of God.