Gari iliyomgonga trafiki yakamatwa

Gari iliyomgonga trafiki yakamatwa

kuna jamaa hum JF Ni waongo sana.vitu hawana uhakika navyo wanafanya topic.eti gar lilikuwa ktk msafara wa raisi.looooo

wewe hujui kuwa huyo driver na mchungaji ni USALAMA wanatumika kucover mambo?

kama kesi itafunguliwa haitaenda popote

Take NOTE FROM ME
 
Magari mengi ya usalama hayana stiker yoyote mbele

Hapo amuoni kuwa ili gari lilikuwa la usalama? lakini watu watatumika ili kucover hii issue

Kama Tina umefanikiwa kupiga picha gari zima nioneshe ilipo stiker za gari:nono::nono::nono:
 
Last edited by a moderator:
Kama wangekuwa watu wanafuata sheria na taratibu bila shuruti, tungekuwa na sababu gani ya kuwa na polisi, Mahakama na magereza? Hivyo vyote viliwekwa kwa kuwa inafahamika kwamba watu hutii sheria kwa shuruti. Sasa wale polisi wanaofuatana na msafara wa Rais huwa wanasindikiza inzi? Wana kazi gani kama siyo kuhakikisha usalama wa rais ikiwa ni pamoja na kuhakikisha kuna distance fulani kati ya uliko msafara wa Rais na magari mengine yanayoufuata?

Haa haa haa hii kali sana. Ndugu, sio watu wote wanaotii sheria kwa nguvu. Ukishaona unasubiri amri ili ufuate sheria ujue wewe ni mbwa hamna tofauti
 
Haa haa haa hii kali sana. Ndugu, sio watu wote wanaotii sheria kwa nguvu. Ukishaona unasubiri amri ili ufuate sheria ujue wewe ni mbwa hamna tofauti
Si nia yangu kuwashushia watu heshima. Lakini nataka tu kukusahihisha. Kwa kauli yako ya mwisho yenye rangi nyekundu. Kwa kauli hii una maanisha, Ponda pia ni mbwa, Lwakatare naye ni mbwa, Basil Mramba ni mbwa, na wengine wote waliowahi kuwekwa kwenye kizuizi cha polisi ni mbwa! Hivyo ndivyo ulivyomaanisha? Siyo siku zote asiyetii sheria manake hana akili timamu. Wakati mwingine mtu anaweza asitii sheria kwa nia njema.
 
Magari mengi ya usalama hayana stiker yoyote mbele

Hapo amuoni kuwa ili gari lilikuwa la usalama? lakini watu watatumika ili kucover hii issue

Kama Tina umefanikiwa kupiga picha gari zima nioneshe ilipo stiker za gari:nono::nono::nono:
Inawezekana pengine sticker isingeonekana kiurahisi, lakini magari ya kwenye msafara shurti yawashe taa. Je huwa yanafanya hivyo?
 
Haa haa haa hii kali sana. Ndugu, sio watu wote wanaotii sheria kwa nguvu. Ukishaona unasubiri amri ili ufuate sheria ujue wewe ni mbwa hamna tofauti

that is so wrong, not the attitude of a mature JF member
 
Whoever aliyekuwa akiendesha hiyo gari nae alikuwa kwenye msafara?

Msafara wa Rais ni mrefu mno kiasi kwamba hata ukiunga tela hushtukiwi.

Kuna umuhimu wa ku-modernise jinsi Rais anavyolindwa.

Msafara mrefu unahatarisha usalama wa walioko kwenye msafara kuliko kulinda usalama wao.

wanaongeza gharama tu,magari mengi hata wao wenyewe hawawezi kuyakontrol
 
Kabla ya kuandika uwe unasoma kwanza kilichoandikwa.

Mimi nimeuliza whoever aliyekuwa akiendesha hiyo gari nae alikuwa kwenye msafara?

Halafu na wewe unaniuliza swali hilo hilo "kwani na huyo alikuwa sehm ya msafara?"

Nikasema msafara wa Rais ni mrefu mno kiasi kwamba hata ukiunga tela hushtukiwi.

Ukasema "mara nagapi wa Tz kibao wanaunga pengn hata wewe usha wahi kuunga aanza wewe kutokuunga"

Nimeshauri kuna umuhimu wa ku-modernise jinsi Rais anavyolindwa lakini wewe unaona ni kulalamika.

Vichwa vingine bana.
EMT usishangae banaformula ya inheritance huenda kwa +evolution sasa kama baba yuko hvi like haelewi kilichosemwa mtoto atakuwaje??

no wonder matokeo mabaya yaform 4 chanzo ni hikihiki ambacho wazazi wao wanaonyesha hapa.
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: EMT
hakuna sababu ya msingi rais kuwa ktk msafara mkubwa vile,watendaji wa serikali wampokee eneo husika,lakini siyo kuambatana na msafara wake.. leo jioni nimekutana na msafara wake maeneo ya Ununio beach,bado ni mrefu sana,mojawapo ya gari inapeperusha bendera ya CCM,mtu wa aina hii kwanini awepo ktk msafara wa rais?
 
EMT usishangae banaformula ya inheritance huenda kwa +evolution sasa kama baba yuko hvi like haelewi kilichosemwa mtoto atakuwaje??

no wonder matokeo mabaya yaform 4 chanzo ni hikihiki ambacho wazazi wao wanaonyesha hapa.

Watanzania wengi tumekuwa "programmed" jinsi ya kufikiri.

Hata baadhi ya walioenda shule na kufaulu wanafikiri sawa na waliofeli au ambao hawakwenda shule kabisa.

Lateral thinking vs classical perceptions of creativity.
 
Inawezekana pengine sticker isingeonekana kiurahisi, lakini magari ya kwenye msafara shurti yawashe taa. Je huwa yanafanya hivyo?

haaaahaa na ambulance ina taaa inakuwaje ngoja na mie nikichelewa niwashe taa
 
Watanzania wengi tumekuwa "programmed" jinsi ya kufikiri.

Hata baadhi ya walioenda shule na kufaulu wanafikiri sawa na waliofeli au ambao hawakwenda shule kabisa.

Lateral thinking vs classical perceptions of creativity.

lkn ni kwamba watu huwa sio wasomi yaani namaanisha hatusomi na kuelewa jambo.

wengi wa watanzania hata kama ni gazeti utaona anasoma akimaliza muulize habari imesemaje hiyo??
hata weza hata ku nukuu mstari mmoja akuambie.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Mungu ampe pumziko la milele, amefariki akiwa kwenye utekelezaji wa majukumu. Kila kifo kina sababu yake, lakini jamani ukweli ni kuwa misafara hapa kwetu hadi uchuro, mi nashauri wawe wanatumia helikopta, itapunguza hata gharama za mafuta
 
Tumebaini kuwa watu wanakwepa foleni na kuunga route ya mkuu kwa gharama ya wp!?
 
Inawezekana pengine sticker isingeonekana kiurahisi, lakini magari ya kwenye msafara shurti yawashe taa. Je huwa yanafanya hivyo?

Any clue kama kabla Rais hajapita, traffic wa barabara atakayopita huwa wanajulishwa kuwa msafara utakuwa na magari mangapi na ya aina gani?

Au kila msafara ya Rais huwa unakuwa na idadi ya magari ambayo inajulikana na traffic?

Au traffic wanaambiwa tuu wapige deki barabara Rais anapita?
 
Ha ha ha ha
Ukitaka kuyaona haya pita short cut ya tandale sokoni.
Utajuuuta kuwafahamu

Na mtembea miguu anamjibu dereva, nigonge basi uone na jamaa anamgonga kweli.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Back
Top Bottom