Landriver ? Hii itakuwa ni gari mpya sana kuwa imported tz...landriver discovery hatareeee
Hio ni traffic case,faini elfu 20
Mtumishi wa mungu? Hao ndio watenda maovu kwa mwanvuli wa dini:A S angel:yaani ilikuwa ni ya mtumishi wa Mungu? Duhh! Ajipeleke polisi haraka
umenena mkuu sijui na mbinguni watasindikizwa hivihivi?????????
aaah wapi! yule muuwaji tu Mungu wangu hakuwa na nia hiyo, ila dereva wa ile gari ni muuwaji nilikuwepo eneo la tukio,uendeshaji ule ni hatari kwa watu wote, lala mahali pema dada yangu ulijitahidi kuokoa uhai wako ila dereva alikupania,:rip: bwana ametwa bwana ametwa jina lake lihimidiwe.
Whoever aliyekuwa akiendesha hiyo gari nae alikuwa kwenye msafara?
Msafara wa Rais ni mrefu mno kiasi kwamba hata ukiunga tela hushtukiwi.
Kuna umuhimu wa ku-modernise jinsi Rais anavyolindwa.
Msafara mrefu unahatarisha usalama wa walioko kwenye msafara kuliko kulinda usalama wao.
milele amina:rip: bwana ametwa bwana ametwa jina lake lihimidiwe.
Ndio nini siungesubiri hadi hiyo baadae
Sikuhizi serkali haina heshma kwa watu dizine hiyoAskofu ameshindwa kuomba gari lake lisikamatwe?
Ilikua ina fuata kuuwa tuhiyo gari ya mchungaji ilikuwa inafuata nini kwenye huo msafara!
Hilo moja pili sheria za vyombo vya moto iko lose sana, dereva adadiriki kumwambia mtembea kwa miguu nitakugonga nikakulipe elfu ishirini mahakamani.