OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,575
Unajua kuna watu wanadhanu gari zinatumia sijui maji...hizo za kutumia mafufa kidogo unakuta safari ndefu hazihimili lazima Ikohoe so inategemea na matumzi kama mtu wa safari.nashauri.achukie gari yenye injini ya uhakika.
Alteza yenye bemas 2000 IG FE engine ni nzuri haisumbui na ni imara na ikiwa highway inatumia.mafuta kidogo..vi.engine vidogo ukitaka kukimbia ndo vinatafuna wese mbaya kabisa
Kijana kamata altezza kula maisha
Ha ha haa kaka naona umeamua kumshauri kijana wako labda watu wanataka anunue 4E-FE ili anuse wese,kimbembe safarini sasa kanavuma mpaka body na dashboard unavisikia!!!!!!!
Kwa gari za kijapani saloom naweza kuthubutu kusema BEAMS 2000 ni habari nyingine kabisa!!!!!!!
Hahaha kaka acha kabisa....unasafiri hata muziki kwen gari husikii sababu ya kelele ya injini...beams 2000 very comforrable iwe kwen gx 100 gx 110 au Altezza..minimum sound and maximum comfort..hata haya malori-mabasi yakikuona yanakupisha kwa heshima.....na una achieve 12km Per litre vizuri kabisa from my experience mkuu.....hapa watu wanataka hata ac ushindwe kuwasha kisa wese? Bora usinunue gari in the first place kama huwezi kui enjoy au sio mkuu
Naunga mkono kaka,hiyo unapiga 140km/hr na husikii shida mkuu kama tyre iko poa na alignment na ballancing nilikuwa napiga hadi 160 na bado haina kuyumba wala revaberation!!!!!
Music na Ac ni zaid ya burudani,take off ni ku wish na inapokea fasta sana,huko kwa D-3 ndio kabisaaa,electric powered driver seat na seat elevation magoti hayaumi!!!!
Nini tena unataka out of 12M????!!!!!
Alterza magari ya watoto! Chukua BMW X5 ni nzuri sana
...hahaa, hata engine yake inanguruma kama Lamborghini, na ulaji wake wa mafuta ni kama ndege pia, usisahau kumwambia hivyo
Alteza ni nzuri nimeshaitumia na kama unapenda watoto wakali wa mujini utapata ila kama unataka gari ya kazi na confortable hebu tafuta Subaru Legacy GT ndo nayotumia imesimama balaa confortable and reliable mkuu
Kaka mkubwa hili suala la "inakula mafuta" sijui watu wanalichukuliaje kwa kweli!!!!!
Mambo niaje lakini kaka!!!!
daaah,mtama kwa watoto
jipange mafuta tu mkuu ila hata spea zake majanga kweli
chukua alteza kijana gari zuri, mimi ninayo alteza gitta inaondoka balaa na iko stable barabarani.
mafuta ndo chakula ya gariSix cylinder tabia yake huwa inakunywa sana mafuta.Lita moja kwa Km 9
mkuu ongea ukweli ili umsaidie jamaa kufanya maamuzi sahihi. Ukisema lita 6 kwa kilometa 100 ni sawa na kusema 1Lt kwa zaidi ya km 16 ktu ambacho si kweli kabisa. Let us stick to the average consumption of 1Ltr per 9Km at least it gives sensé!Kama ina engine ya beams 2000 iliyoko pia kwenye gx 100, ichukue. Engine hii ikiwa mpya huweza kwenda hadi km 100 kwa 6 liters. Na kwenye high way ndo inakula even more less. Bse bongo tunanunua gari used, engine hii huwa ni ngumu na hivo haipotez sana its original efficiency.