Garden Iringa dah nimepapenda bureeeee

Garden Iringa dah nimepapenda bureeeee

Wenyeji wa iringa town najua mnanielewaa.

Hili eneo ni nzuri balaa yaani sio masikini au tajiri hapa panawafaa wote kwa wale wenzangu na mimi sasa location safii pia watu ni wengi na kila mtu na shuguli yakee!!

Kwa wale wapenzi sasa hapa ndo mahala pakee!!

Usihofie kuhusu vyakula sasa ni bei chee.Ukweli najivunia kuwa iringaaa
Prove me wrong!!
hivi Iringa week end mnaendaga wapi ukiondoa bar
 
Unanikumbusha Tosaboy
Nilikuwa nakutana na dem Wang wa Iringa zoo hapo.

Nadhan the migic site mtwivila , bwawani kule kilolo na site moja matata ya camp site ni pazuri zaid
 
Unanikumbusha Tosaboy
Nilikuwa nakutana na dem Wang wa Iringa zoo hapo.

Nadhan the migic site mtwivila , bwawani kule kilolo na site moja matata ya camp site ni pazuri zaid
Hahahaha tosa boi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom