Garden Iringa dah nimepapenda bureeeee

Garden Iringa dah nimepapenda bureeeee

Nilitembelea iringa pia Miami.garden ya posta kuna juive nzuri sana jiwe la gangilonga ukipanda unaona mji wote kuna hoteli kubwa sana inajengwa na hanspope pia nilifika +255 kupata nyama choma ipo karibu na duka la silaha la Tanganyika armes.
Nlifikia kalenga hotel mida ya jioni naenda kukamata watoto wakali Tumaini university na ruco kisha tunaenda viwanja club la parte au VIP.
Mwezi wa saba ntaenda tena
 
Ruco kipo wapi mkuu
 
Tatizo ni kwenye usafiri wa ndege yaani mara mbili kwa wiki mliopo huko tupeni mrejesho kama wamebadilisha ratiba maana mimi ilibidi niondoke na ndege ya shirika la Amref kwani jumapili kulikuwa hakuna ndege
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom