Sababu gani kubwa inakupekea kufanya hivyo? Wachana na hiyo habaribsababu ita ku cost na pia ita haribu mfumo mwingi.Gari ni Toyota Allion ya mwaka wa 2007. Inahitaji kugeuzwa steering kutoka kuliya ihamiye kushoto.
Garage gani hapa Dar inaweza fanya hiyo kazi.
Asante.
Sababu gani kubwa inakupekea kufanya hivyo? Wachana na hiyo habaribsababu ita ku cost na pia ita haribu mfumo mwingi.
Kama hivyo si uza hiyo gari kanunue LHD huko Rwanda.Ningependa nihamie Rwanda. Hawakubari kusajiri gari ya RHD
Nimejaribu kuuza kupitia madalali watatu lakini sijapata mnunuzi, hata wakuuliza bei! Mwezi mzima!Kama hivyo si uza hiyo gari kanunue LHD huko Rwanda.
Nauza Tsh 26.5 million.tsh ngapi unauza
Duu kweli hali tete. Zamani ungekuwa ushauza na mpya ushaitia mkononi. Pole sana.Nimejaribu kuuza kupitia madalali watatu lakini sijapata mnunuzi, hata wakuuliza bei! Mwezi mzima!
Usawa huu kununua hiyo gari kwa hiyo pesa ni kama anasa, no more pedeshee'sNauza Tsh 26.5 million.
Usawa huu kununua hiyo gari kwa hiyo pesa ni kama anasa, no more pedeshee's
Punguza utani mkuuNauza Tsh 26.5 million.
Aisee pole sana, maisha magumu sana mpaka sasa nahangaika kuuza Baiskeli Yangu phonex wateja hakuna kabisa. Zamani ningekuwa nimeshakamata mpungaNauza Tsh 26.5 million.
Ukipata mteja tunaweza ongea. Bei ni maelewano.Allion for 26.5m! .Must be kidding, or it's brand new?
Allion 26M? Duhh !!! Wakati Allion ukiagiza Japan inaingia barabarani kwa mil 15 tuNauza Tsh 26.5 million.
Kwa bei hiyo kaliweke liwe la makumbusho tu..[/QUOTE
Ngoja nitafute fundi anisaidie kuhamisha steering. Wanunuzi hawapo siku hizi.
Mkuu hiyo bei kiboko mimi nimenunua allion mils 15 hivi total mpaka naiendesha nimekaa nayo miaka miwili na nimeiuza mils 12.
Unless hiyo allion yake iwe ya 2010+
Kwa hiyo ya 2007 sidhani kama inabidi iuzwe zaidi ya 20 mls