Garage gani inaweza geuza Toyota Allion LHD iwe RHD?

rumara

Member
May 11, 2013
35
95
Gari ni Toyota Allion ya mwaka wa 2007. Inahitaji kugeuzwa steering kutoka kuliya ihamiye kushoto.
Garage gani hapa Dar inaweza fanya hiyo kazi.

Asante.
 
exit

JF-Expert Member
Feb 14, 2013
1,672
2,000
Gari ni Toyota Allion ya mwaka wa 2007. Inahitaji kugeuzwa steering kutoka kuliya ihamiye kushoto.
Garage gani hapa Dar inaweza fanya hiyo kazi.

Asante.
Sababu gani kubwa inakupekea kufanya hivyo? Wachana na hiyo habaribsababu ita ku cost na pia ita haribu mfumo mwingi.
 
exit

JF-Expert Member
Feb 14, 2013
1,672
2,000
Nimejaribu kuuza kupitia madalali watatu lakini sijapata mnunuzi, hata wakuuliza bei! Mwezi mzima!
Duu kweli hali tete. Zamani ungekuwa ushauza na mpya ushaitia mkononi. Pole sana.
 
elmagnifico

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
8,076
2,000
Mkuu hiyo bei kiboko mimi nimenunua allion mils 15 hivi total mpaka naiendesha nimekaa nayo miaka miwili na nimeiuza mils 12.
Unless hiyo allion yake iwe ya 2010+
Kwa hiyo ya 2007 sidhani kama inabidi iuzwe zaidi ya 20 mls
 
rumara

Member
May 11, 2013
35
95
Mkuu hiyo bei kiboko mimi nimenunua allion mils 15 hivi total mpaka naiendesha nimekaa nayo miaka miwili na nimeiuza mils 12.
Unless hiyo allion yake iwe ya 2010+
Kwa hiyo ya 2007 sidhani kama inabidi iuzwe zaidi ya 20 mls
Asante kwa ushauri, nikipata wa million 20 nitauza. Ila bei yake ni kubwa zaidi ukilinganisha na zingine zinazo uzwa kwenye zoomtanzania dot com
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom