Gamers only: FIFA vs PES ipi unaikubali?

mizuno,
Hiyo mipira kama sikosei inaitwa though ball, FIFA 14 nimefungwa sana na mpinzani kwa hayo magoli, kuna kipindi nilihisi jamaa kaniwekea patch ila baadae kwenye upande tactics kuna kitu kinaitwa kama Man Marking. Yaani kwa mfano Benzema unamuekea beki ambae muda mwingi anakuwa nae na pia katika defense yako umeweke wakabe kwa njia ya offiside trap na kipindi ambacho hauna mpira penda sana kukaba kupitia viungo na sio mabeki, hii itasaidia hizo though balls kufika kwa walengwa.

Humo ndani kuna timu inaitwa Classic Eleven, kuna wakina Pele, Zico, Kouman, Eric Cantona n.k naomba nisiongee chochote juu ya hii timu ila kiufupi hamna timu ndani ya FIFA 14 kuifunga timu hii.
 
FIFA ni nzuri naipenda because ni ngumu na ina challenge tofauti na PES ni nyepesi sana japo ina ligi nzuri,

kwa beginners wa games ukizoea PES basi FIFA hutaiweza.

all in all nacheza zote kulingana na mood.
Unajua nini Mkuu, hata mimi katika Games niliizoea PES ila baadae nilivyoingia katika Fifa niliiona ngumu, unajua ni nini nilichokifanya? Nikaanza kuweka level ya Beginer, baadae Ameture na baadae professional, hapo kwenye professionar ndo mpaka sasa, yaani kwenye League nacheza level hiyo tu.

Baada ya hapo nikaanza kuipenda FIFA na mpaka sasa nacheza FIFA tu, nacheza PES kama hakuna FIFA.
 
Hawa beginners ndio wanaishabikia PES zaidi kuliko FIFA, FIFA ni mnyama mwingine bhana.
Ndio Mkuu FIFA lazima UWE PRO
najua karibu wote tulianzi pes kule kwenye ps2 ndo maana watu naishabikia. wajaribu FIFA waone mziki
 
daa mmenikumbusha mbali sana nakumbuka wakati tuko chuo kuna wanyama walikuwa wakakali balaa kwenye fifa mpaka tulikuwa na ligi moja matata Fifa mi naikubali sababu kwanza ngumu kucheza haf magoli ya hovyo hakuna mtu yupo kati akipiga kidogo tu anafunga
Mimi Fifa nishawahi kuwaburuzaga watu sana pale DIT ila baadae nilivyopoteza PC sikucheza kama miezi 4 au 5, nilivyoenda nilifungwa kila mechi.
 
Pc angu ina ram 3 gb...lkn nnaweza cheza pes 17...bila shida...
Fifa ...nimewaicheza ya 2007 ...kutumia pc hyo hyo...je nikichukua fifa 18..ninaweza cheza kwa ram hyo
Maana hata pes 17...requiment ake ilikuwa ram 8gb...lkn me nmeicheza kwa 3gb....msaada hapo wakuu
Nataman kuamia fifa lkn uwezo wa pc angu unaniogopesha..maana ku download game n pesa
Processor ipoje?
 
PES hawana ishu kabisa aisee,eti mchezaji anaweza kufunga katikati ya uwanja kizembezembe tu yaani...nenda FIFA km utascore magoli kizembe hivyo
 
PES ALL DAY!!, Japo still sometimes nacheza sana FIFA but na ENJOY sana napocheza PES than FIFA,

INonNBp.jpg


Kwenye PES mambo sijui ya kuongeza power ya shoot sijui kufunga katikati ya uwanja haya mambo hakuna huku thus why watu wanaocheza sana FIFA akija kwenye PES ilitamsumbua kidogo tofauti na PES player akicheza FIFA.

7grOyRJ.jpg


Yeah, but am still big fan of PES!

vbKL049.jpg
 
mimi still ni fan wa pes, ila since 2014 naona wanazingua tu, wameacha root zao na innovation ni sifuri.

nina week now nacheza pes 18 kidogo naona wameimprove ila bado naona wana safari ndefu.

nimecheza FIFA 17 japo si mpenzi wa gameplay ya FIFA ila frostbite engine ni next level, ile story ya Alex Hunter ya kwenye journey ni bonge la idea.
wish Konami waje na kitu kama kile,
Sorry chief out of topic, nikicheza gem ya mpira mwili wangu hauna tatizo, ila nikicheza gem za mishen kama GTA, Uncharted na mengineo iwe kwenye console au pc lazma nihisi kizunguzungu, hapo tatizo linaweza kuwa nini? japo kuna jamaa yangu amenambia nitafute miwani kwa ajili ya kichwa.
 
Ukitaka pes iliyokamilika na timu zote zina jezi viwanja vyote n kutafuta ambazo zimekuwa reparked na zna angalau GB 7 kam ni chini ya GB hizi tegemea kupata setup ambayo viwanja ni vitatu tu, timu za epl zote majina sio halisi wala jezi hakuna.

Me nina pes yangu 17 ni tamu sana jezi zipo zote, viwanja kama 45 hivi mipil ndo usiseme mingi sana, kwa kila timu kuna jezi 3.
Na hakuna haja ya kuwa na patch, iko poa tu
 
Back
Top Bottom