Uwanja wa Dkt. Samia Arusha haukidhi viwango vya FIFA

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,109
18,326
Ili kukidhi viwango vya FIFA inabidi uwe na seat kuanzia 40,000.

Tanzania kwa sasa hatuna uwanja wa kuhost ufunguzi wa finally za kombe la Dunia. Walau mkapa unaweza host robo fainali.

Kwanini Serikali isiongeze just. 10K walau kuwa na uwanja wa viqango vya FIFA?

Maoni yangu bado wanaweza fanya adjustment, Wachina ni wazuri sana kwenye hili, na pesa Samia anazo za kutosha.

Naona wametoa picha ni nzuri lakini ukubwa wa uwanja utavutia matukio mengi ya kimichezo kufanyika Tanzania.

Screenshot_20240319-182211_Google.jpg
 
Mbona huu uwanja utajengwa Kwa gharama kubwa kuliko ule wa mkapa na huu ukubwa wake ni nusu tu
Kuna kitu kinaitwa inflation. Shamba la babu yako kijijini alilonunua mwaka 1960 kwa shilingi 2,000 utaliuza kwa shilingi elfu tano leo ili upate faida ya elfu tatu?

Wakati uwanja wa Mkapa unaanza kujengwa nauli zilikuwa kiasi gani na sasa zipo kiasi gani. Na dola ilikuwa TZS ngapi na sasa ni ngapi.
 
Back
Top Bottom