Gamers only: FIFA vs PES ipi unaikubali?

Teko Modise

JF-Expert Member
May 20, 2017
1,851
5,860
Kwa wanaocheza game ya mpira, mimi naikubali zaidi PES hasa uwepo wa UEFA champions league, bado FIFA haikuti PES, kwa mtazamo wangu.

Wewe unaikubali ipi?

===
Maoni ya wadau:

Mimi still ni fan wa PES, ila since 2014 naona wanazingua tu, wameacha root zao na innovation ni sifuri.

Nina week now nacheza PES 18 kidogo naona wameimprove ila bado naona wana safari ndefu.

Nimecheza FIFA 17 japo si mpenzi wa gameplay ya FIFA ila frostbite engine ni next level, ile story ya Alex Hunter ya kwenye journey ni bonge la idea.
Wish Konami waje na kitu kama kile,
FIFA ndio wamejipanga vizuri lakini niseme ukweli tokea nipo darasa la 7 nilianza kucheza FIFA ya ps2 nikaona control zake uhalisi kwa kila kitu mfano handball (kama mtu akishika lazima uwe foul) but still PES hakuna mpka now kwenye graphics PES wapo na konami hawa wajapani ni wazuri lakin sasa wameshindwa kushindana na FIFA kutokana na tokea zamani fifa imekamilika karbu timu muhimu dunia mpaka za Afrika kama kaizer chief ila PES hawana baadhi ya timu na hata league ni chache na pia hizo timu ni chache zimewekwa majina ambayo kama hujui football backgroud huwezi tambua kama (Liverpool inaitwa Meysdiey sijui ) wamejitahidi hizi version mpya kuanzia 17 tu ila izo nyingine fans wa PES ni mashahidi.

Kuja kwa watengenezaji wapya wa FIFA ni mwanga mzuri nimecheza fifa karibu zote ila FIFA nzuri hawatakuja kuitengeneza ni ya FIFA 14 cover ya Messi.nawasilisha kwa wote wakuu FIFA fan
Kwenye kulicheza FIFA ni gumu kulinganisha na PES, mfano mimi game langu la kwanza kulicheza ni FIFA 14 la kwenye PC. Washkaj zangu wote tulikuwa tunacheza ligi kwenye FIFA, ila siku niliyopata PES wale washkaji ambao tulianza kucheza FIFA pamoja kwenye PC yangu wote tukalisusa FIFA na kutekwa na PES ila wale walioanza kabla yetu wakaendelea nalo na hawakulipenda PES. Kitu pekee kinachonishinda kwenye FIFA kuna mipira ya kuchop mabeki wanakatika sana na ndo mbinu kubwa ya ushindi na mpaka leo sijajua inakabwa vipi tofauti na PES nimecheza kwa kipindi kifupi lakini nimejua vizuri kukaba na kushambulia.
PES ALL DAY!!, Japo still sometimes nacheza sana FIFA but na ENJOY sana napocheza PES than FIFA,

INonNBp.jpg

Kwenye PES mambo sijui ya kuongeza power ya shoot sijui kufunga katikati ya uwanja haya mambo hakuna huku thus why watu wanaocheza sana FIFA akija kwenye PES ilitamsumbua kidogo tofauti na PES player akicheza FIFA.

7grOyRJ.jpg

Yeah, but am still big fan of PES!

vbKL049.jpg
FIFA ndo kila kitu, kinachokera kwenye PES
1. Kufunga magoli ni rahisi mno
2. Replay kila event yaani hata mpira wa kurusha wao wana replay
3. Bado kwa wapenzi wa chenga ,naona control za kupiga chenga kwenye PES hazieleweki
4. Through balls lazima zifike kwa mlengwa bila ku-interceptiwa na adui ,mi binafsi hiki kitu sikipendi
5. Bado FIFA ina vitu vingi mno kuliko PES

Ila graphics naona kama PES wanaizidi kidogo FIFA
 
Mimi still ni fan wa pes, ila since 2014 naona wanazingua tu, wameacha root zao na innovation ni sifuri.

Nina week now nacheza pes 18 kidogo naona wameimprove ila bado naona wana safari ndefu.

Nimecheza FIFA 17 japo si mpenzi wa gameplay ya FIFA ila frostbite engine ni next level, ile story ya Alex Hunter ya kwenye journey ni bonge la idea.

Wish Konami waje na kitu kama kile,
 
mimi still ni fan wa pes, ila since 2014 naona wanazingua tu, wameacha root zao na innovation ni sifuri.

nina week now nacheza pes 18 kidogo naona wameimprove ila bado naona wana safari ndefu.

nimecheza FIFA 17 japo si mpenzi wa gameplay ya FIFA ila frostbite engine ni next level, ile story ya Alex Hunter ya kwenye journey ni bonge la idea.
wish Konami waje na kitu kama kile,
well said mkuu!
 
FIFA ndio wamejipanga vizuri lakini niseme ukweli tokea nipo darasa la 7 nilianza kucheza FIFA ya ps2 nikaona control zake uhalisi kwa kila kitu mfano handball (kama mtu akishika lazima uwe foul) but still PES hakuna mpka now kwenye graphics PES wapo na konami hawa wajapani ni wazuri lakin sasa wameshindwa kushindana na FIFA kutokana na tokea zamani fifa imekamilika karbu timu muhimu dunia mpaka za Afrika kama kaizer chief ila PES hawana baadhi ya timu na hata league ni chache na pia hizo timu ni chache zimewekwa majina ambayo kama hujui football backgroud huwezi tambua kama (Liverpool inaitwa Meysdiey sijui ) wamejitahidi hizi version mpya kuanzia 17 tu ila izo nyingine fans wa PES ni mashahidi.

Kuja kwa watengenezaji wapya wa FIFA ni mwanga mzuri nimecheza fifa karibu zote ila FIFA nzuri hawatakuja kuitengeneza ni ya FIFA 14 cover ya Messi.nawasilisha kwa wote wakuu FIFA fan
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom