Aseee! Hakuna anaetaka kulipa kodi.
aseee! Hakuna anaetaka kulipa kodi.

Game wakitaka mambo yao yawanyookee na wasiandamwe na TRA, wampeleke JK Johanessburg wakamnunulie suti kama walivyofanya waarabu.
Mpuuzi ni yule anayeuza nchi kwa kwa kuhongwa suti na wale wote wanao-support huo ujinga.

Toa upuuzi wako hapa.
Game wakitaka mambo yao yawanyookee na wasiandamwe na TRA, wampeleke JK Johanessburg wakamnunulie suti kama walivyofanya waarabu.
Toa upuuzi wako hapa.
Game wakitaka mambo yao yawanyookee na wasiandamwe na TRA, wampeleke JK Johanessburg wakamnunulie suti kama walivyofanya waarabu.
Nunua vifaa hapo at your own risk(kama vimetengenezwa SA)

Vingi ya vifaa hivyo ni rejects kutoka maduka ya SA

Nina tochi,lawnmower na vitu vingine ambavyo vimeharibika baada tu ya kuvitumia muda mfupi, nao hawataki virudi kwao

Buyer beware!!!
Kamishena anacheza tu, huwezi pigana na multi national companies. Tusubiri tuone kama halitafunguliwa tena.