Game Supermarket yafungwa (Ubalozi wa SA waingilia kati)

Masiki JF, thinkers wakutoa facts na details wanaoweza kuingia chaka kuja kuelimisha watu ni wachache mno siku hizi.
Mambo ya kitaalam watu wanaleta mzaha, EFD inahitaji negotiation, customization na flexibility ya TRA sio force ukifunga duka pia kuna athari kwa uchumi.

Shoprite alikuwa na maduka 8 sasa kabaki na matatu tu nchi nzima, sector ya service ndio inayotegemewa kukua sasa manake maduka makubwa pia urahisisha upatikanaji wa vitu kwa wananchi na machache yalioanza yameleta tofauti kubwa na hata uswahilini kwetu watu wanadublicate huduma hizo na mambo yanakuwa poa.

sidhani kama ni lazima utumie EFD tu ndio uwe unaweza ku-capture all sales; hizi EFD ni dili la watu

the Game inventory system can do that

Mbona mnajifanya kujua hata mambo msiyoyajua? TRA wasipofanya kazi yao kelele, wakifanya kelele.
TRA wako sawa, lazima hawa wafuate utaratibu wa nchi hii.

Duh! Watu wanakimbia kodi na bado huduma za kijamii wanazitaka. Safi kabisa TRA..

Chain ndefu sana,
Wafanyakazi wanawaibia Makaburu,
Makaburu nao wanawaibia TRA,
TRA nayo inakuja kuwaibia Wananchi,
Multiplier effect inafanya kazi

Tena wana kamtindo kamoja ka wizi; pale GAME unaeza nunua kitu cha Tsh. 400,000 kwa Tsh. 200,000 - 250,000, unachotakiwa ni kugawana huo wizi na mfanyakazi anaefanya huo mchezo..unampa kama Tsh. 50,000 - 100,000; kwavile wahudumu ndio wanaoandika risiti ya bidhaa kabla haijalipwa kwa cashier, inakua rahisi kwao kufanya huu mchezo. Michezo ya namna hii ni very common pale...jambo la ajabu kabisa ile supermarket haina security cameras (kwa mujibu wa wafanyakazi hao) ndio maana wanaweza kujiamini kufanya michezo hiyo...

Mkuu, unachosema ni kweli kabisa mimi mwenyewe nimeona hiyo kitu

Tena wana kamtindo kamoja ka wizi; pale GAME unaeza nunua kitu cha Tsh. 400,000 kwa Tsh. 200,000 - 250,000, unachotakiwa ni kugawana huo wizi na mfanyakazi anaefanya huo mchezo..unampa kama Tsh. 50,000 - 100,000; kwavile wahudumu ndio wanaoandika risiti ya bidhaa kabla haijalipwa kwa cashier, inakua rahisi kwao kufanya huu mchezo. Michezo ya namna hii ni very common pale...jambo la ajabu kabisa ile supermarket haina security cameras (kwa mujibu wa wafanyakazi hao) ndio maana wanaweza kujiamini kufanya michezo hiyo...

Mungu anisamehe hata mimi nimeshiriki wizi wanachofanyai kuonesha kuwa Manager ametoa discount na pesa unayowapa wanagawana manager,mfanyakazi na cashier wana ushirikiano mzuri sana.

Tena wana kamtindo kamoja ka wizi; pale GAME unaeza nunua kitu cha Tsh. 400,000 kwa Tsh. 200,000 - 250,000, unachotakiwa ni kugawana huo wizi na mfanyakazi anaefanya huo mchezo..unampa kama Tsh. 50,000 - 100,000; kwavile wahudumu ndio wanaoandika risiti ya bidhaa kabla haijalipwa kwa cashier, inakua rahisi kwao kufanya huu mchezo. Michezo ya namna hii ni very common pale...jambo la ajabu kabisa ile supermarket haina security cameras (kwa mujibu wa wafanyakazi hao) ndio maana wanaweza kujiamini kufanya michezo hiyo...

unachosema ni kweli mkuu mm mwenyewe nlikwenda kitu kinauzwa 140000 nkaambiwa kama una elfu80 nkasema elfu70 gafla jamaa akaenda kwa meneja nikapewa mzigo,maduka yote hata mr Price wanahuo mchezo!

Wewe bana kwa uongo umezidi sana kila kitu kikiongelewa humu JF, na wewe unajifanya umeishawahi kufanya acha kamba kijana, kitu gani umenunua pale Game wewe

Kamishna wa TRA akiamua kujitoa kafara, anaweza kumfungia yeyote na sheria imempa nguvu kubwa sana. Anaweza hata kuzuia akaunti yao ya benki au kuwanyang'anya leseni kabisa na kuwaachia uhamiaji wamalizie ya kwao.

remember that you are in the corrupt system of government from the president to the office attendant. so it will not work out ata wafanyeje.
kwanza ukumbuke ile kashfa ya shimbo iliibuliwa south africa baada ya bigbro kwenda kutembeza bakuli la matonya. jamaa wakamkatalia sababu msaada anaoomba ni mdogo mara sitini ya personal acount ya shimbo.
so those guys of south they know ngoja hali itulie watafungua tuu na efd utaziona kama zilivyokuwa mwanzo. mkuu najua that time atakuwa ameshanunuliwa boxer and acompanied pants.

Sasa tunafanya nini dhidi ya system dhalimu tuliyonayo?

Nunua vifaa hapo at your own risk(kama vimetengenezwa SA)
Vingi ya vifaa hivyo ni rejects kutoka maduka ya SA
Nina tochi,lawnmower na vitu vingine ambavyo vimeharibika baada tu ya kuvitumia muda mfupi, nao hawataki virudi kwao
Buyer beware!!!
Hii ni kweli kabisa, mimi nimebakiwa na non-stick baking pans zenye kutu wakati zilionyesha ni non- rust.
Pili, kamishina huyu hashauriki. Nilisha toa somo hapa kuwa wafanyabiashara hawaoi risiti kabisa za kielectronia hadi kama unajua uombe.
Tatu, hata ile DSTV haitoi risiti kabisa za kidijiti ukinunua kwa Tigo/M-pesa.
Labda kachoka kula huyu Kitirya. Kwani kwa JV wa NHC ndipo kuna ukwepaji mkubwa wa kodi. Amenyamaza amelala anaota ndoto

Ubalozi wao unapoingilia kati ukae ukijua kuwa tunajua kinachoendelea SA. Mahali ambapo vijana wetu waliokwenda kutafuta maisha hukung'utwa kila vumbi la pesa waliyochuma na kisha kurudishwa hapa wakiwa watupu.

Shoprite alikuwa na maduka 8 sasa kabaki na matatu tu nchi nzima, sector ya service ndio inayotegemewa kukua sasa manake maduka makubwa pia urahisisha upatikanaji wa vitu kwa wananchi na machache yalioanza yameleta tofauti kubwa na hata uswahilini kwetu watu wanadublicate huduma hizo na mambo yanakuwa poa.

Nani kakuambia haya maduka(mall) hapa bongo yanarahisisha huduma? Tv plsma 3d fal scn sumsung 42'' inayouzwa mliman city utainunua kwa 4mlns. Ukienda posta au k'koo tv kiyo hiyo unainunua kwa 2.5 au 3 mln.unafuu uko wapi hapo? Hebu nenda duka la Mr price mliman cty. Utakuta tsh ya mchina inayouzwa kkoo ef 10, mliman ni buku 30..unafuu uko wapi hapo?

Back
Top Bottom