Phoenix
JF-Expert Member
- Sep 6, 2012
- 10,592
- 15,489
Magu kafurahiNdio umefurahi?
Magu kafurahiNdio umefurahi?
Kweli? Mm nilikutana naye nadhani kama siyo 2018 basi itakuwa ni 2019 mwanzoni. Ni siku nyingi.Si alishafariki
Misafara ya vingora vime pungua mjini. Jamaa alitunyanyasa sana na misafara. Sasa tukutane kwenye foleniWatu wajifunze kitu;
Gambo 24/7 aliipigania ccm na kudhoofisha upinzani, kiasi kikubwa amefanikiwa lakini hakuna aliyesikitika wala kumwonea huruma sio ccm wala upinzani...umejifunza nini?
Haki pekee humtetea mtu awe hai au mfu
Naona vizuri sana, hapo naona kijana ambaye ataendelea kupata na kula pesa yake kwa miaka mingi na namuona katika teuzi zijazo, ila inaelekea una ugomvi binafsi na huyu mtu mana sio kwa furaha hii isiyo na kifani, ila una pesa..? nyingi? mana kwa mtu mwenye pesa nyingi kufurahia anguko la mtu mwenye pesa nyingi sio mbaya, ishu iwe hauna pesa nyingi na unasuasua kwenye maisha halafu ukafurahia anguko la mwana ccm mwenye pesa zake nyingiUnajaaliwa kuwa na macho lkn bahati mbaya huoni
Naona vizuri sana, hapo naona kijana ambaye ataendelea kupata na kula pesa yake kwa miaka mingi na namuona katika teuzi zijazo, ila inaelekea una ugomvi binafsi na huyu mtu mana sio kwa furaha hii isiyo na kifani, ila una pesa..? nyingi? mana kwa mtu mwenye pesa nyingi kufurahia anguko la mtu mwenye pesa nyingi sio mbaya, ishu iwe hauna pesa nyingi na unasuasua kwenye maisha halafu ukafurahia anguko la mwana ccm mwenye pesa zake nyingi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila jamaa kaongeza CV yake au sio, kuwa mkuu wa mkoa sio jambo dogo mkuu,Sasa hivi wote tunapanga foreni tu
Aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Arusha na kutumbuliwa Mrisho Gambo leo amelazimika kukabidhi ofisi kwa mkuu wa mkoa mpya kiunyonge kabisa.
Inauma lkn hana jinsi maana hakujua kuwa cheo ni dhamana, ubabe na vitisho sasa atavifanyia uraiani akapambane na wana R-chuga. View attachment 1494435View attachment 1494437
Ila jamaa kaongeza CV yake au sio, kuwa mkuu wa mkoa sio jambo dogo mkuu,
Na hata hivyo kila jambo lina mwisho wake, ipo siku hata mwenyekiti wako itabakia historia kuwa aliwahi kuwa mwenyekiti.
Labda niwaambie wanaosema ishi na watu vizuri wakimaanisha Gambo atanyooka, kwanza huwezi kufurahisha watu wote wakakupenda, pili pamoja na mnaosherehekea kutumbuliwa kwake kuna waliompenda wanasikitika naye kwahiyo si kweli kwamba mtaa utamnyoosha ni kama ambavyo huwezi kufurahisha wote pia huwezi kuchukiza watu wote
Lakini kuna watu wanaongea utafikiri sasa Gambo anakwenda kuishi kama wao, nani anajua maisha yake amejijenga kiasi gani? Kama masela wa mitaani watakuchukia wakikusubiri mtaani wakunyooshe halafu wewe hukutani nao unaishi maisha classic hilo linaweza kugeuka kuwa dua la mwewe
Kingine hivi mimi kapuku nafurahia nini kutumbuliwa kwa kiongozi fulani utafikiri akishatumbuliwa sasa nitapata nafuu ya maisha yangu magumu?
Mwisho hii ni siasa, msije mkakimbiana baada ya october humu shauri yenu
Jobless mnapenda kujifariji na shida za watu utafikiri wakitaabika mnapata nafuu
NB: Kuna Nyumbu watasema andiko la Gambo hili