Gambo kumshutumu Katibu Mkuu UVCCM haijakaa sawa

Nenda dukani kwa manyi, nunia eneji bariiid muombe kiti ukae halafu urudie kusoma hiki ulichokiandika i swear utashangaa
 
Acha uongo Lema alishapotezewa Arusha na wala hakuwa na dalili za kushinda.

Labda tu kama kuna anayejua Gambo alitumiaje nafasi yake ya ukuu wa Mkoa kujisafishia njia maana hata wale akina Mama Mboga karibia wote wakawa hawataki kumuona Lema.
Wasingeiba kura ndio tungejadili ubovu wa Lema. Ila sasa ile mbeleko ya Hayati inamaliza sifa zote za Gambo.

Kimsingi hayati hakuwasaidia wenye uwezo ndani ya ccm. Wanakuja kuonekana wote ni wabunge haramu🤣🤣
 
Mbunge wa Mbeleko aliyepita katika uchafuzi mkuu wa 2020 bwana Mrisho Gambo amemtuhumu katibu mkuu UVCCM taifa bwana Kenani Kihongosi kwamba siku ya wanawake aliingiziwa kiasi cha milioni mbili kwenye account yake pesa zilizotafsiriwa kuwa rushwa.

Mbunge huyo aliyefeli kabla ya muda wake ukimlinganisha na mbunge machachari aliyeporwa ushindi wake bwana Godbless Lema ametoa shutuma hizo mbele ya waziri mkuu Majaliwa huko Arusha.

NB CCM na rushwa ni kama uji na mgonjwa
Hiyo sentensi ya mwanzo. Khaa!!
 
Mbunge wa Mbeleko aliyepita katika uchaguzi mkuu wa 2020 bwana Mrisho Gambo amemtuhumu katibu mkuu UVCCM taifa bwana Kenani Kihongosi kwamba siku ya wanawake aliingiziwa kiasi cha milioni mbili kwenye account yake pesa zilizotafsiriwa kuwa rushwa.

Mbunge huyo aliyefeli kabla ya muda wake ukimlinganisha na mbunge machachari aliyeporwa ushindi wake bwana Godbless Lema ametoa shutuma hizo mbele ya waziri mkuu Majaliwa huko Arusha.

NB CCM na rushwa ni kama uji na mgonjwa
CCM wote ni wala rushwa
 
Wote wanaonea GERE. watoto wa kiume halafu!
Rushwa na CCM ni kidole na kucha! Ukikata zinaota, ukinyofoa zinaota!

Wacha fisi watafunane ndiyo tabia yao kwa asili!
 
Hivi Gambo alikuwa Mkuu wa Mkoa?
Mbona naona kama brain yake kwenye mambo ya uongozi na approach zake zimekaa kisharikishari.
 
Mbunge wa Mbeleko aliyepita katika uchaguzi mkuu wa 2020 bwana Mrisho Gambo amemtuhumu katibu mkuu UVCCM taifa bwana Kenani Kihongosi kwamba siku ya wanawake aliingiziwa kiasi cha milioni mbili kwenye account yake pesa zilizotafsiriwa kuwa rushwa.

Mbunge huyo aliyefeli kabla ya muda wake ukimlinganisha na mbunge machachari aliyeporwa ushindi wake bwana Godbless Lema ametoa shutuma hizo mbele ya waziri mkuu Majaliwa huko Arusha.

NB CCM na rushwa ni kama uji na mgonjwa
Hakuna Cha kuponda hapa Kama aliingiziwa iyo pesa irudishwe Mara moja, ccm KILA mtu kambale Hasa Hawa vijana walioingizwa kinyemela na mwenda zake, wanatuna Kama hawatakufa, arudishe faster na kuchukuliwa hatua na takukuru, na mkurugenzi apigwe chini, ujinga mtupu
 
Acha uongo Lema alishapotezewa Arusha na wala hakuwa na dalili za kushinda.

Labda tu kama kuna anayejua Gambo alitumiaje nafasi yake ya ukuu wa Mkoa kujisafishia njia maana hata wale akina Mama Mboga karibia wote wakawa hawataki kumuona Lema.
Gambo ni mbunge wa VITIMAALUM
 
Back
Top Bottom