Gado cartoons: Ajionavyo jiona JPMni tofauti na tunavyomwona sisi raia

Gado anatutukutania Mkuu wetu, kwa sababu hapo anamaanisha ana Delusion.

delusion
dɪˈluːʒ(ə)n/
noun
  1. an idiosyncratic belief or impression maintained despite being contradicted by reality or rational argument, typically as a symptom of mental disorder.
Sasa haya si matusi? Lazima tukemee matusi haya kwa mkuu wetu hata kama yapo katika lugha ya picha.
UKWELI NA SIYO MATUSI, UWEZO WAKE WA KUFIKIRI NI MDOGO KULINGANA NA MADARAKA ALIYO NAYO!
 
Gado anatutukutania Mkuu wetu, kwa sababu hapo anamaanisha ana Delusion.

delusion
dɪˈluːʒ(ə)n/
noun
  1. an idiosyncratic belief or impression maintained despite being contradicted by reality or rational argument, typically as a symptom of mental disorder.
Sasa haya si matusi? Lazima tukemee matusi haya kwa mkuu wetu hata kama yapo katika lugha ya picha.

!
!
Huyu Gado atakuwa mbali na kuwa mchiraji ni daktari bingwa. Ukimcheki just praise me na hiyo uliyosema mulemule
 
maneno yaliyosemwa mimi ningeyaunga mkono kama kungekuwa na kikundi cha upinzani kinachotumia silaha au kimeingia msituni lakini kwa kuwatishia wananchi waliosema kwamba,wanataka kuandamana tene kuandamana kwa amani alafu wewe unatoa maneno ya namna hiyo haipendezi kabisa. tena unasema watanitambua kama vile ni wewe mwenye utapambana nao sio sharia kwangu mimi naona sio ustarabu,baya zaidi ni pale hata sisi tunaotoa mawazo yetu yakionokana tofauti na Mwenye kiti Mao tunaonekana wahaini
 
Si ajabu kila kiumbe Hai, ndivyo kinavyojiona na ni tofauti wengine wanavyokuona.

Ndo maana tunachangia mawazo ktk kufanikisha jambo lolote.
 
Gado anatutukutania Mkuu wetu, kwa sababu hapo anamaanisha ana Delusion.

delusion
dɪˈluːʒ(ə)n/
noun
  1. an idiosyncratic belief or impression maintained despite being contradicted by reality or rational argument, typically as a symptom of mental disorder.
Sasa haya si matusi? Lazima tukemee matusi haya kwa mkuu wetu hata kama yapo katika lugha ya picha.
I can guarantee mtu kuwa delusional siyo tusi. Definition yako mwenyewe inasema ni mental disorder.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom