Gado cartoons: Ajionavyo jiona JPMni tofauti na tunavyomwona sisi raia

Ki Mun

JF-Expert Member
Oct 6, 2014
3,443
4,384
JPM katika FIKRA zake anajiona mtu TOFAUTI kabisa na tumwonavyo sisi raia wake...hii ni kwa mujibu wa Mchora Katuni maarufu Mtanzania, GADO...

IMG_20180313_211203.jpg
 
Gado anatutukutania Mkuu wetu, kwa sababu hapo anamaanisha ana Delusion.

delusion
dɪˈluːʒ(ə)n/
noun
  1. an idiosyncratic belief or impression maintained despite being contradicted by reality or rational argument, typically as a symptom of mental disorder.
Sasa haya si matusi? Lazima tukemee matusi haya kwa mkuu wetu hata kama yapo katika lugha ya picha.
 
Sasa kama mtu alikiri kabisa ana Frastresheni zake wewe hujui Frastresheni ni mpwa wa Delusion ?

Kosa la Gado ni lipi ?

Mwanadamu anajiita ni jiwe kwelikweli wewe unamuona wa kawaida ? Yaani ni bora uwe jiwe kuliko kuwa mwanadamu aliye umbwa kwa mfano wa Mungu

Huoni hili ni balaa ?
 
Ni kawaida ya viongozi wa kiafrika kuwa hivyo, mm nahis ni mshamba tu
 
Kimama kila anachofanya Mkuu ikingeenda kimyakimya bila vyombo vya habari kuripoti hali ingekuwa tofauti kabisa. Ujumbe unafikia watu na kutafsiriwa tofauti. Hii ni destructing factor ya malengo ya mkuu. Wafalme wa zamani kama Mansa Musa walifanikiwa bila coverage ya média.
 
yani unagungI hata segment ndogo ile ya "tunyanvula" ya kitenge na gelard kweli huu sinuoga uliopitiliza?
 
Hahaja anajiona zaidi ya hivyo.

Hata mm naamini magufuli amelewa madaraka.kapata madaraka makubwa kuliko uwezo wake.
Anajiona Mungu anauwezo wakufanya lolote la aina yeyote.anajiona Mungu mtu.
Ni kweli mkuu! Umenikumbusha movie moja ya kuchekesha the great dictator (charlie Chaplin)
Huyu mzee kapata mamlak makubwa ambayo hakutarajia so tegemea hayo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom