Ngambo Ngali
JF-Expert Member
- Apr 17, 2009
- 3,517
- 1,367
Seriously, who is Gardner?
So obvious, someone employed to take care of gardens
Seriously, who is Gardner?
Mh nawe KB acha utani, kama husikilizagi umejuaje ni ya mipasho? ni kampuni ya magangstar wa bongo, kazi yao kuteka nyara soko la entertainment kwa kutumia Radio na TV. Gardner alikuwa mtangazaji upande wa radio na ni mme wa mwanamuziki aitwae Lady JD. Nahisi hapo nitakuwa nimekukumbusha, unganisha na melezo ya wenginehivi huyo ni nani??mi maana sisikilizagi hii redi ya mipasho