Soggy dogy atangaza bifu na wafu fm | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Soggy dogy atangaza bifu na wafu fm

Discussion in 'Entertainment' started by sulphadoxine, Nov 24, 2011.

 1. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #1
  Nov 24, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Haya ni baadhi ya maneno ya Soggy na wadau wengine kwenye facebook wall ya soggy  [h=6]Anselm Soggy The-Entertainer
  ‎-Baada ya kutosikiliza Radio yao kwa muda mrefu leo asubuhi nikasikiliza kumbe kiji-show chao wame-copy LIJI-SHOW LETU?Unazungumziaje Majembe ya hip hop Bongo bila Sugu,Soggy,Mabaga,Mapacha,Hardmad,Big Doggy Pose,Suma-G,Mkoloni,Sister-P,Hisabati,Snare,Daz Nundaz,Rama-Dee na wengineo?Hii Radio ya Wafu si inapromote Wasanii wapya tu?Imewakumbuka nini wa zamani?Nov 26 njoon i Chuo cha ustawi kiingilio elfu 5 tu[/h][​IMG]Share · Yesterday at 9:27am via BlackBerry ·


  • 23 people like this.

   • [​IMG]


    Mark as Spam

    Ntukula Boaz tunakuja kaka.na siku hiyo machoko wa magorofani na teja lao dmx watasanda na mziki mnene na full mataa on stage kudadadekiYesterday at 9:30am


   • [​IMG]


    Mark as Spam

    Fredy 'Tayasar' Mizambwa Ha ha ha! Vnega nuxYesterday at 9:34am


   • [​IMG]

    Lyamuya Chif Zeph naamini Mungu husimamia haki tarehe 26 hawa mavirus lazima wakae najua watafanya mipango kuharibu lakini Mungu atatusimamiaYesterday at 9:35am


   • [​IMG]

    Paul Joseph Tarimo Mia mia vinega lazma ntie timYesterday at 9:35am


   • [​IMG]

    Eric Shiyo sana tu lazima tukinukishe 26 Nov!Yesterday at 9:46am


   • [​IMG]

    Dravic Kinega Moudy AFU NA YULE ANAJIITA AFANDE MBNA CMSOMI!?Yesterday at 9:50am


   • [​IMG]

    Aliko Mwaikambo wanafiki hao soggy cos mbona ni muda mrefu sana wamewatenga so kama na hao wanao jiona kuwa ni vigeugeu maana ita kula kwao kwa vipesa vya siku moja badala ya kukomalia mziki wa kweliYesterday at 9:56am


   • [​IMG]

    Aliko Mwaikambo na pia watakao kwenda huko ni wauza sura 2 hata afande anatakiwa kuwana mkubwa wake cos anasahau sugu aliko mtoaYesterday at 9:57am


   • [​IMG]

    Dravic Kinega Moudy MARCO' WE NDO UJIPANGE! HUJUI UNACHOKIANDKA CHUNGUZA KWNZAYesterday at 9:58am


   • [​IMG]

    Jackline Charles Marandu duh! Yesterday at 9:59am


   • [​IMG]

    Anselm Soggy The-Entertainer Dravic huyo Marco ndio sio Mzalendo nimeamua kum-removeYesterday at 9:59am · [​IMG] 2McGum Cippo and Dravic Kinega Moudy like this.


   • [​IMG]

    Dravic Kinega Moudy KTK RATBA MWNZO HAWAKUWEKA LIST Y WASANII WALIOPTA WIKI HII NDO WAMEWAONGEZA' HAHAHAHA, SHAME ON ZEM WAAAFU FM!23 hours ago


   • [​IMG]

    Matilda Kivelege Nawaombea ktk hili....ebu tuonyeshe uzalendo wenzetu coz wakilipa kodi wote twapata ama sio. Zay B wapi kwani?23 hours ago


   • [​IMG]

    Jane Vanila Teh!23 hours ago


   • [​IMG]

    Peter Dafi Yer, vinega wa Ant-virus km kawa harakati co? Big up Jembe...23 hours ago


   • [​IMG]

    George Tibaijuka Afande ni maku kwel kwel yaan sugu kamtoa mbal anashindwa kusupport alakati?Ila pamoko vinega never give up23 hours ago


   • [​IMG]

    Dravic Kinega Moudy MATILDA' ZAY B NDANI J'MOS23 hours ago


   • [​IMG]

    George Tibaijuka Jackline unaguna nn dada?njoo viwanja vya usitawi dada km upo dar akina Sr.P na zay B wapo husiofu23 hours ago


   • [​IMG]

    Dravic Kinega Moudy AFU WALISHAM2KANA HEWANI LIVE BILA KIFICHO23 hours ago


   • [​IMG]

    Matilda Kivelege Duuuh muite na magari ya FIRE patawaka motoo hapo jamen23 hours ago


   • [​IMG]

    George Tibaijuka Yaani ni noma co fire tu waite jeshi maana police hawatoweza mziki kwan wafu fm lzm waweke mamluki kibao kuharibu show.....wanaanya mbaya na mpaka ss wametumia Hera kibao bila mafanikio23 hours ago


   • [​IMG]


    Mark as Spam

    Mohammed Masoud Yan 2mekod costa cku iyo from tanga 2 dar kwny show yakizalendo, soggy kwa mara ya kwanza na2kana Afande ni shoga mamae zake.23 hours ago


   • [​IMG]

    Belinda Rugarabamu jamani pig black yupo?23 hours ago


   • [​IMG]


    Mark as Spam

    George Tibaijuka Fine masoud mpe jingine bwabwa hy23 hours ago


   • [​IMG]


    Mark as Spam

    Mohammed Masoud Berinda umekumbusha kichwa muhimu! mbaya nn mnataka mazee!23 hours ago


   • [​IMG]


    Mark as Spam

    Mohammed Masoud Ebwna soggy Sarafina wa kibanda cha cm ckuiyo nae anatakiwa ndani ata kam kaolewa au ana kachanga cha mwz23 hours ago


   • [​IMG]

    George Tibaijuka Cjuh yupo wapi huyo nguruwe mweuc......soggy tusaidie wapi huyo jamaa?23 hours ago


   • [​IMG]

    BaraKa KizuGuto kwenye msafara wa mamba kenge nao wapo, afande kafulia anaishi kwa nguvu za macho, dj demu yule wa wafu fm alimdiss kichzi wiki nzima ktk kipindi ooh msanii gani mchafu, msanii kaishiwa lkn leo hii karudi tena hko??? kapotea kweli swahiba anazani atapewa tena U king wa ryhmes???23 hours ago


   • [​IMG]

    Victor Karia kama waliotajwa hapo juu hawakuepu naona walikuwa wana watangaza wasanii wapya na co waasisi wa muziki wakat huo hvyo kama wanapaswa wabadili jina au kama jina la kipindi wameshindwa bas wawape wasikilizaji watoe maoni!!! BONGO FUL KU COPY NA KU PASTE!!!23 hours ago


   • [​IMG]


    Mark as Spam

    George Tibaijuka Hahahahaah baraka22 hours ago


   • [​IMG]


    Mark as Spam

    Kevin Awitti Yaani sijaamini kuwa watu fulani ni masnitch mazima.Wanatosa Vinega kwenda kwa wafu??Na baada ya hapo watatoswa tu na wafu.Sio siku nyingi dada yetu fulani katosa kundi fulani kipindi cha uchaguzi sasa anataka kurudi na hatakikani!Vinega wanafaa kufanya show A city na Mwanza kwa akina George Tibaijuka waone support wataopata!!22 hours ago


   • [​IMG]

    George Tibaijuka Kwel kwel Kevin wakuje huku tunawasubilia kwa hamu sana22 hours ago


   • [​IMG]

    Hassan Mwili Jumba Mhando Mi sitaki kiuamini kwamba MGANBO SELE amemtupa SUGU, hii haiwezekani....yaahi Mganbo Sele anaona WAFU ndo wa kuwapa shavu. naye kumeb ndo mana kama amekufa tu maana hatumsikii.21 hours ago


   • [​IMG]

    George Tibaijuka Kamtupa kiukwel ukickiliza cloud wanamrusha na yy@hassan20 hours ago


   • [​IMG]

    Kevin Awitti Sele siamini kabisa lakini ndio hivo.The movement is on!!20 hours ago


   • [​IMG]


    Mark as Spam

    George Tibaijuka Mpaka Kala pina naye maku anaongea ungese tu hapa20 hours ago


   • [​IMG]

    Hassan Mwili Jumba Mhando Dah kama ni Hivyo kumbe Mganbo Sele naye ni **** kabisa, tena MAKU.....Nakumbuka nyimbo yake moja Mgambo Sele anasema, "Nauliza vipi SUGU, mchizi anawaka mchizi anasikitika, Mziki bongo haulipi mwanangu mi nang'atuka, duh mimi nastuka mwili unatetemeka miguu inakosa nguvu nahisi kama naanguka, KWA VILE BILA SUGU HAPA NILIPO NISINGEFIKA" kumbe anajua kuwa bila SUGU hapo alipo asingefika , SASA KWANINI HAMPI KAMPANI???19 hours ago


   • [​IMG]


    Mark as Spam

    Rick Pangani Looh
    Anti virus.ni poa.19 hours ago


   • [​IMG]

    Said Ambua yap salute18 hours ago


   • [​IMG]

    Kevin Awitti Eti Kalapina pia?Makubwa!!Lakini ujumbe umefika.Kwa vike bila Anti Virus wasingekua waliko sasa hivi na wafu.Msg delivered:Anti Virus for life!!!18 hours ago


   • [​IMG]

    Rachel Balilemwa Nw nmeelewa,asubuh ilnpta kushoto.

    hello 2 snitches17 hours ago


   • [​IMG]


    Mark as Spam

    George Tibaijuka Kala piña mngese sn Leo alikuwa kwenye interview na hao machoko eti anasema anataka pata exprience kwa kufanya show na DMX......mamamaako Kala na kikoc cha mashoga chako17 hours ago


   • [​IMG]

    Kevin Awitti Kupata experience ya kufanya nini?Kufuga mbwa au?Mtu hujasikika hata Kenya itakua experience gani?16 hours ago


   • [​IMG]

    George Tibaijuka Senge tu lile eti linataka kumfunika huyo teja wa USA16 hours ago


   • [​IMG]


    Mark as Spam

    George Tibaijuka Hacha Kenya......Kinondoni tu kakosa udiwani sasa badala akae karibu ns mbunge ajipange kwa mwaka ujao yy anaenda kwa machoko kisa laki moja16 hours ago


   • [​IMG]

    Mwatoum Mdengor wat weweeeeeee mtunza kwao bwana sio kila siku wamarekani wanini sie tupa kule16 hours ago


   • [​IMG]


    Mark as Spam

    George Tibaijuka Nn kinaendelea huko redioni?mtujuze mnaoaccess matangazo hayo15 hours ago


   • [​IMG]

    Mohamed Arfi Waelewe kua chote sugu anachopanga huwa anafanikiwa mf alisema mwanzo lazma ataenda ulaya na akafika.alisema ataaandaa sumit kuubwa ya kuwakutanisha wasanii na akawakutanisha mwisho akasema ntakua mbunge na amekua sasa na antvirus lazma awa skan hao virus12 hours ago · [​IMG] 1Loading...


   • [​IMG]

    Mohamed Arfi Waelewe kua chote sugu anachopanga huwa anafanikiwa mf alisema mwanzo lazma ataenda ulaya na akafika.alisema ataaandaa sumit kuubwa ya kuwakutanisha wasanii na akawakutanisha mwisho akasema ntakua mbunge na amekua sasa na antvirus lazma awa skan hao virus12 hours ago


   • [​IMG]

    George Tibaijuka Mohamed upo sawa kabisaaaa waambie kiburi co kitawaponza hao wafu fm
   
 2. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #2
  Nov 24, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  RIP CLOUDS FM.jpg


  Afande sele apewa mshiko ili asiudhurie show ya sugu siku ya uzinduzi pamoja na kali pina wa kikosi cha mizinga,Huyu ndiyo ruge banaaa.
   
 3. O

  Obinna Senior Member

  #3
  Nov 24, 2011
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bado antivirus iko pale pale virus lazima muumie
   
 4. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #4
  Nov 24, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Clouds wanafanya kila liwezekanalo kumuharibia sugu sasa wanawapa airtime kalapina na kundi lake ili waongee maneno ya ovyo juu ya sugu na ant-virus.
   
 5. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #5
  Nov 24, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,404
  Trophy Points: 280
  Ant virus with no apology
   
 6. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #6
  Nov 24, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Afande sele alishatukanwa sana clouds radio nawakamwambia kuwa ajui kuvaa mambo kibao,lakini leo ameenda kuwapigia magoti hao clouds kisa DMX,anakuja.Wazalendo wa kweli tutajuwepo pale ustawi wa jamii kama kawa....
   
 7. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #7
  Nov 24, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  clouds siwapendi kama njaa!
   
 8. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #8
  Nov 24, 2011
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Taarifa za kiintelijensi zinasema kuwa Jamaa wanatafuta watu wa kwenye kufanya fujo pale ustawi wa jamii siku ya show! Hawa akina kalapina ni wanafiki, walishaanzisha harakati kama za Antivirus hence hakuna aliyewasapoti, ss kalapina anaona wivu kwanini hawa wamefanikiwa na sisi tulishindwa. Kalapina anajidhalilisha.
   
 9. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #9
  Nov 24, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Nadhani sugu atakuwa analifahamu hili,kalapina ni zaidi ya manafiki pamoja na mgambo sele(kijana kutoka moro)
  jana alipewa airtime na clouds akaanza kumponda sugu....
   
 10. M

  Madoido Senior Member

  #10
  Nov 24, 2011
  Joined: Jan 24, 2011
  Messages: 135
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Huku mtaani tutagona kununua kuangalia , kusikiliza tape /cd s za waasi.....antivirus juu zaiddddiiii sio kama mnavyo ifikilia,,,narudia tena tuonane bamaga, tule baga pamoja na mabaga
   
 11. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #11
  Nov 24, 2011
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Afande sele anamponda sugu? duh! Ndio maana jamaa zake wa WATU PORI walikuwa wanamsaidia mke wake.
   
 12. Omutwale

  Omutwale JF-Expert Member

  #12
  Nov 24, 2011
  Joined: Feb 4, 2008
  Messages: 1,429
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Muziki kama siasa. Wadau/mapromota kama wanasiasa. Wasanii kama wapiga kura. Wanasahaulishwa haraka dhuluma na shida zao kwa kofia na kipande cha kanga. Wanashindwa kutumia fursa hii kufanya mapinduzi ili wanufaike kama wenzao wa nchi jirani na za huko mbele. Nafasi hii ikipita watajuta sana kwa usaliti wao. Na nina hakika hata akikosa tena Ubunge, Sugu atatoboa sana katika life. Historia inamshuhudia kama mpiganaji anayeshinda bila Godfather katika lolote analoliamini, kulisimamia na kulipigania.
  Siamini kabisa. Afande Sele-mtu poli ambaye hata Ufalme wa Hip Hop katengenezewa na Sugu leo hii kumsaliti! JMo-We Bishoo Tu sasa amekuwa Famous!, Inspector & Karama hawa wote wamesota na kupotezwa kwa udhalimu wa hao Clouds leo wanasaliti harakati!

  Nchi hii imejaa vigeugeu kila mahali. CC ya ccm-vigeugeu, NEC-ccm vigeugeu, Wanaharakati (Katiba)-vigeugeu, Wasanii-vigeugeu, Wapinzani-vigeugeu, Wananchi nao-vigeugeu. Na wewe mwana JF-Kigeugeu
   
 13. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #13
  Nov 24, 2011
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,419
  Likes Received: 3,767
  Trophy Points: 280
  Ubaya wa njaa hata kama huipendi haiachi kuja kwako...... Utahangaika na kilimo....kazi..........wizi...............misheni town......... etc etc vyote hivyo ni kujikinga nayo lakini haiachi kukufika na ukiacha kuhangaika inakuuwa..............
   
 14. Mabagala

  Mabagala JF-Expert Member

  #14
  Nov 24, 2011
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,465
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  nimesema nitakuwepo pia jamani
   
Loading...