Kiongozi wa Libya Kanali Muammar Gadaffi awataka wafuasi wake kujitokeza barabarani na kuwatimua waandamanaji wanaoipinga serikali yake.source BBCSWAHILI
PHP:Kiongozi wa Libya Kanali Muammar Gadaffi awataka wafuasi wake kujitokeza barabarani na kuwatimua waandamanaji wanaoipinga serikali yake.source BBCSWAHILI
Jamani hi sasa ndiyo uso kwa uso au............nia ni kupambana huko mbeleni lakini siyo uso kwa uso.............................