Naona kweli a lot of empty seats. Isn't he speaking past his alloted time?Hicho kitabu kidogo ni United Nation Charter,Jamaa anajaribu kuonyesha kuwa UN inaendeshwa kinyume na madhumuni yaliyokusudiwa...Atmosphere kwenye room sio nzuri watu wengi wametoka na hali ipo tense!
Mbona ana mikaratasi kibao hapo kwenye podium?
I love this guy, he does not mince his words, he goes charging full masinondo!
Siyo wale kina nanihii ambao hawaishi kutoa sifa na shukrani huku wakikinga bakuli na kulia lia tupewe misaada!
Not mincing what words? He's just rambling...now he's talking about jetlag and being tired...what the hell is that supposed to mean or do with the UN?
Not mincing what words? He's just rambling...now he's talking about jetlag and being tired...what the hell is that supposed to mean or do with the UN?
Baada ya Gadhafi anaingia mzee mwenyewe Rais wa IRAN.Kaeni mkao wa kusikiliza.