Gaddafi (Qaddafi) yuko sahihi?

Gaddafi (Qaddafi) yuko sahihi?

Gadhafi slams Security Council in 1st UN visit


AP – Libyan leader Moammar Gadhafi addresses the 64th session of the United Nations General Assembly, Wednesday, …





By PETER JAMES SPIELMANN, Associated Press Writer Peter James Spielmann, Associated Press Writer – 2 hrs 31 mins ago
UNITED NATIONS – In his first U.N. appearance, Libyan leader Moammar Gadhafi issued a slashing attack on the Security Council and chastised the world body on Wednesday for failing to intervene or prevent some 65 wars since the U.N. was founded in 1945.
Gadhafi called for reform of the council — abolishing the veto power of the five permanent members — or expanding the body with additional member states to make it more representative.
"It should not be called the Security Council, it should be called the "terror council," he said.
The veto-wielding Security Council powers -- the United States, Britain, China, France and Russia -- treat smaller countries as "second class, despised" nations, Gadhafi said.
"Now, brothers, there is no respect for the United Nations, no regard for the General Assembly," Gadhafi said.
His speech followed President Barack Obama's first General Assembly address, but not before a recess of some 15 minutes was called by the Libyan president of the General Assembly so diplomats could be take new seats.
The U.S. Mission was represented by two low- to mid-ranking diplomats. U.S. Secretary of State Hillary Rodham Clinton and U.S. Ambassador Susan Rice departed before Gadhafi ascended the podium.
After waiting for the room to settled, Gadhafi rose and swept his robe over him and strode to the stage, using the handrail on his way up. He wore a shiny black pin in the shape of Africa pinned over his heart, on his brown and tan Bedouin robes.
Gadhafi laid the yellow folder in front of him and opened some of the handwritten pages as he received scattered applause.
The chamber was half-empty as Gadhafi gave his first speech and held a copy of the U.N. Charter in his hands, each with a large, shiny ring. For a moment, it seemed he lost his place in his speech while he sorted through the pages of his yellow folder.
He appeared to be speaking without a text, looking at a set of notes before him on handwritten pages. He was not reading from the TelePrompTer.
Gadhafi welcomed Obama as the leader of the host nation for U.N. Headquarters, and hailed Obama's maiden U.N. General Assembly speech.
He railed against the "inequality" of U.N. member states, quoting from a copy of the U.N. Charter that calls for equality of nations, and then noting that five nations hold veto power on the Security Council and can block actions contrary to their interests: the United States, Russia, China, Britain and France.
Speaking rapid-fire Arabic, Gadhafi said the use of military power was contrary to the spirit of the U.N., unless such actions are sanctioned by the United Nations.
Since the world body was founded in 1945, Gadhafi said it had failed to prevent or intervene in dozens of wars around the world.
"But 65 aggressive wars took place without any collective action by the United Nations to prevent them, Gadhafi said.
Gadhafi was dressed in flowing brown robe, and a black beret that he patted at times. As he listened to speeches before he took the stage, aides huddled around him; he kept his glasses, a red handkerchief and a rumpled yellow folder in front of him on the desk.
There was a commotion in the room as President Barack Obama appeared. Gadhafi lightly applauded with others then listened raptly with the earpiece held to his left ear.
Gadhafi, introduced as the "king of kings" by his countryman and assembly president Ali Treki, remained in his seat for long after the introduction.
___
Associated Press writer John Heilprin contributed to this report.


http://news.yahoo.com/s/ap/20090923...zZWMDeW5fdG9wX3N0b3J5BHNsawNnYWRoYWZpc2xhbXM-
 
Africa jamani.. Ila Trump janja kama waingereza
 
Watu wamepelekwa kule kuzuia ujenzi wa hilo hema la Muamar Ghadafi. Wamekuta hakuna mjenzi yeyote kule anaongea Kingereza,kwa hiyo,haijulikani kama ujenzi unaendelea au vipi.
Nakubaliana kabisa na Gadhafi kutaka kujenga hema. Hizi hoteli zimejaa syphilis tu.
 
UN-GENERAL_ASSEMBL_1113111x.jpg


Aliyekaa kushoto nyuma nadhani wengi mnamjua...

UN-GENERAL_ASSEMBL_1113112u.jpg


...ghafla Gaddafi kaamua kurusha jalada ambalo ukicheki chini bado kidogo tu limpate Asha Migiro!
 
Last edited:
Kiongozi wa Libya, Kanali Muammar Gaddafi huku akimwita Obama mtoto wetu aliliponda baraza la usalama la Umoja wa mataifa na kuliita 'Baraza la Magaidi' huku akisisitiza kuwa mataifa ya ulaya lazima yazilipe fidia nchi za Afrika kwa kuzitawala kikoloni.Akilihutubia kwa mara ya kwanza baraza la umoja wa Mataifa baada ya rais wa Marekani, Barack Obama kumaliza hotuba yake, kiongozi wa Libya, Kanali Muammar Gaddafi alitumia muda wa dakika 96 tofauti na muda wa dakika 15 aliotakiwa kuutumia kutoa hutuba yake.

Akimwongelea Obama kama 'Mtoto Wangu' Gaddafi alisema "Tunafuraha kwamba kijana wetu wa Kenya amepigiwa kura na kuwa rais wa Marekani, je Marekani inaweza ikatuhakikishia kuwa baada ya Obama kutakuwa na serikali? Tungefurahi kama Obama angekuwa rais wa milele wa Marekani".

Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Hillary Clinton na balozi wa Marekani kwenye baraza la umoja wa Mataifa Susan Rice wakipinga ujio wa Gaddafi Marekani walitoka mapema kwenye ukumbi huo kabla ya Gaddafi kuanza hotuba yake.

Gaddafi aliliponda baraza la usalama la umoja wa Mataifa na kuliita "baraza la Magaidi" akisema kuwa tangia kuanzishwa kwa umoja wa mataifa kumetokea jumla ya vita 65 duniani.

"Hakuna mtu anayelijali baraza la usalama wa umoja wa mataifa" alisema Gaddafi na kuongeza "Baraza hili liliundwa na magaidi".

Gaddafi alisema kuwa baraza hilo liliundwa na mataifa makubwa na limetumiwa kuziporomosha nchi ndogo akitoa mfano wa vita vya Iraq, Afghanistan na Korea na Vietnam.

Kuna wakati Gaddafi alitaka kukichana kitabu cha bluu cha mkataba wa Umoja wa Mataifa lakini alisita baada ya kuona viongozi wa dunia wameduwaa kwa mshangao.

Gaddafi ambaye alitambulishwa kama kiongozi wa mapinduzi, rais wa umoja wa Afrika na mfalme wa wafalme wa Afrika alitetea haki za waafrika kwenye baraza hilo akitaka nchi za ulaya zilipe fidia ya dola trilioni 7.7 kwa nchi za Afrika kwa kuzitawala kikoloni.

"Mataifa ya Afrika yana haki ya kwenda popote pale na kudai dola trilioni 7.7 zilizoibwa toka Afrika", alisema Gaddafi.

Gaddafi alimalizia hotuba yake kwa kulitaka baraza la umoja wa mataifa kuchunguza sababu zilizopelekea kunyongwa kwa Saddam Hussein, kutupwa jela nchini Marekani kwa rais wa zamani wa Panama,Manuel Noriega na kuuliwa kwa rais wa zamani wa Marekani John F Kennedy pamoja na aliyekuwa mpiganiaji wa haki za watu weusi Marekani, Martin Luther King.Kiongozi wa Libya, Kanali Muammar Gaddafi huku akimwita Obama mtoto wetu aliliponda baraza la usalama la Umoja wa mataifa na kuliita 'Baraza la Magaidi' huku akisisitiza kuwa mataifa ya ulaya lazima yazilipe fidia nchi za Afrika kwa kuzitawala kikoloni.

Akilihutubia kwa mara ya kwanza baraza la umoja wa Mataifa baada ya rais wa Marekani, Barack Obama kumaliza hotuba yake, kiongozi wa Libya, Kanali Muammar Gaddafi alitumia muda wa dakika 96 tofauti na muda wa dakika 15 aliotakiwa kuutumia kutoa hutuba yake.

Akimwongelea Obama kama 'Mtoto Wangu' Gaddafi alisema "Tunafuraha kwamba kijana wetu wa Kenya amepigiwa kura na kuwa rais wa Marekani, je Marekani inaweza ikatuhakikishia kuwa baada ya Obama kutakuwa na serikali? Tungefurahi kama Obama angekuwa rais wa milele wa Marekani".

Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Hillary Clinton na balozi wa Marekani kwenye baraza la umoja wa Mataifa Susan Rice wakipinga ujio wa Gaddafi Marekani walitoka mapema kwenye ukumbi huo kabla ya Gaddafi kuanza hotuba yake.

Gaddafi aliliponda baraza la usalama la umoja wa Mataifa na kuliita "baraza la Magaidi" akisema kuwa tangia kuanzishwa kwa umoja wa mataifa kumetokea jumla ya vita 65 duniani.

"Hakuna mtu anayelijali baraza la usalama wa umoja wa mataifa" alisema Gaddafi na kuongeza "Baraza hili liliundwa na magaidi".

Gaddafi alisema kuwa baraza hilo liliundwa na mataifa makubwa na limetumiwa kuziporomosha nchi ndogo akitoa mfano wa vita vya Iraq, Afghanistan na Korea na Vietnam.

Kuna wakati Gaddafi alitaka kukichana kitabu cha bluu cha mkataba wa Umoja wa Mataifa lakini alisita baada ya kuona viongozi wa dunia wameduwaa kwa mshangao.

Gaddafi ambaye alitambulishwa kama kiongozi wa mapinduzi, rais wa umoja wa Afrika na mfalme wa wafalme wa Afrika alitetea haki za waafrika kwenye baraza hilo akitaka nchi za ulaya zilipe fidia ya dola trilioni 7.7 kwa nchi za Afrika kwa kuzitawala kikoloni.

"Mataifa ya Afrika yana haki ya kwenda popote pale na kudai dola trilioni 7.7 zilizoibwa toka Afrika", alisema Gaddafi.

Gaddafi alimalizia hotuba yake kwa kulitaka baraza la umoja wa mataifa kuchunguza sababu zilizopelekea kunyongwa kwa Saddam Hussein, kutupwa jela nchini Marekani kwa rais wa zamani wa Panama,Manuel Noriega na kuuliwa kwa rais wa zamani wa Marekani John F Kennedy pamoja na aliyekuwa mpiganiaji wa haki za watu weusi Marekani, Martin Luther King.
 
that is truee!ni kiongozi pekee katika uongozi wake kuwa na ujasiri wa kuwashutumu bila hata kuwa na woga wa aina yoyote.

Big up
 
"Tungefurahi kama Obama angekuwa rais wa milele wa Marekani".

Sasa kauli kama hii ina uzito gani, na tunataka tueleweke vp na mataifa mengine tofauti na ya Kiafrika?

Baadhi ya matamshi yake yako kwenye Extremes, hasa hapo anapotamka kuwa UN ni baraza la MAGAIDI! Jazba inaizidi Hekima yake.

Lakini kimsingi ana hoja, na inatakiwa zifanyiwe kazi.
 
Hotuba yake ni nzuri lakini imejaa jazba zaidi kuliko hekima!!!
 
Dah jamaa kichwa hakuna rais wa Afrika anaye weza kumwaga ladhi kama huyu dah kafunika katika historia mtake msitake huyu sio kibaraka wa weupe nimependa sana kawabwatukia weupe.
 
UN-GENERAL_ASSEMBL_1113111x.jpg


Aliyekaa kushoto nyuma nadhani wengi mnamjua...

UN-GENERAL_ASSEMBL_1113112u.jpg


...ghafla Gaddafi kaamua kurusha jalada ambalo ukicheki chini bado kidogo tu limpate Asha Migiro!

Ukiangalia vizuri utaona kana kwamba Gaddafi alikua amechoka
kusikia vicheko vya hawa mabwana katika picha ya kwanza. Nd'o
basi akaamua...."kama hawanisikizi hebu niwatupia kitabu chao"

...mwanamume kiboko kweli.
 
Jamaa ni shujaa. Wamembana weee sasa wamesalimu amri. Big up Gadafi
 
Toka lini mwarabu toka Jamhuri ya Kiarabu(sio Kiafrika) ya Libya akawa "King of Africa"! Njaa kweli mbaya...haya bana...
 
I wish tungekuwa na wakina Gadaffi wengi when it comes to "tell it like it is"
 
mwenya masikio na akili ya kuelewa atatmbua point za maana zinazotolewa na huyu mtu..
...he knows wat he says,he means it and its real, hakuna amani duniani,UN iliyoundwa zamani sii ya sasa,na dunia hii inaongozwa na wababe,..
kaa chini,ckiliza...
 
Yaani kwawachana marekani mpaka CNN wamemkata angalia LIVE ONLINE anaendelea. Anataka hata BUSH ahukumiwe kuivamia Iraq...
...Ni ujinga kusifia MJINGA, kitu gani cha maana alichosema gaddafi zaidi ya lawama na unfertile criticisms zisizokuwa na maslahi kwa nchi yake wala africa...lkn ameprove that arabshv no any contribution to the global affairs!!

Uungwana ni kitu cha bure,hata hilo limemshinda!!dk 96 kwa kuongea pumba!!!
 
Back
Top Bottom