Gaddafi alikuwa na utajiri wa Sh 140 trilioni

Abacha mwengine huyu, tamaa yake imemtokea puani. Hayo mahela yote alikuwa na chance ya kuhamia kwa fisadi mwenzake Mugabe akaishi raha mustarehe kama Mengistu anavoishi.
kwani Mugabe anamuda mrefu kabla ya kung'olewa.....?
 
Mkuu iko hivi. Fedha na asserts zilizokuwa frozen ziko za aina mbili. Moja ni zile assets ambazo zinamilikuwa na Libya kupitia the Libyan Investment Fund kama vile gazeti la Financial Times la Uingereza (about 3.27 percent stake in its shares) or the Libyan Arab Foreign Bank. Nyingine ni zile zinazomilikiwa na watu binafisi ambao ni akina Gaddafi, watoto, na watu wengine. Kama ile nyumba yenye dhamani ya £11 million huko London iliyochukuliwa na squatters ni personal property. Sasa watu wanachangaya hapa. Fedha na assets zinazomilikiwa na Libya ina bidi zirudishwe Libya.

Lakini zile zinazomilikiwa na watu binafisi na akina Gaddafi and his Cos sidhani kama zitaturudishwa. I am sure like other despots such as Saddam Hussein, Mobutu Sese Seko, Mubarak, etc Gaddafi is likely to have also squirreled away large sums of money and assets in secret numbered accounts, or lockbox/deposit box stashes of currency, precious metals and marketable art, collectibles and other indirect holdings. The Gaddafis spent years doing what super rich people all over the world do – they hide it.

Kama ilivyotokea kwa madikteta wengine wenye account za wizi overseas, bankers managing assets for Gaddafi and his family might now act as if the assets belong to them, particularly with those converted into personal holdings. Past experience inaonyesha hivyo. This is possible kwa vile hizo personal accounts huwa zinafunguliwa na kuendeshwa kisirisiri na account holders wakifa, mabenki yanauchuna na kutia pesa ndani.

Nafikiri tatizo hapa ni kujua assets za Libya na zile za Gaddafi personally. Gaddafi na familia yake regarded the Libyan state's wealth and assets as their own. Seeing Libyan state wealth as their own, they kept most money or assets they held overseas such as the Libyan Investment Fund, which would be easier for Gaddafi's successors to recover than assets converted to personal use and then concealed. When they were running the show, the Gaddafis didn't feel they had to distinguish between what was government wealth and what was private.

Mkuu tupo line moja but what I am saying is that uncovering the financial trail will prove difficult and the cash has been invested under false names, holding companies and secret accounts. Kutokana na mchezo waliokuwa wakicheza the Gaddafi family itakuwa ngumu kuchanganyua assets zipi ni mali ya Libya na zipi ni mali binafsi. Kwa mfano angali hii nyumba iliyoko London yenye dhamani ya £10 million inayodaiwa kumilikiwa personally na mtoto wa Gaddafi. Kama huyu mtoto akiuliwa, under what ground Libya itasema hii nyumba ni asset yao?

article-2051912-0D8BAB24000005DC-866_634x425.jpg
Nashukuru sana mkuu kwa hekima zako.
Sasa ninashangazwa ni wapi panaweza kutufanya tukasema kwa confidence kabisa kuwa hizo pesa sijui trillions ziko kwenye akaunti ya Gaddafi?
Naona na wewe unaingia kwenye huo mtego wa nyumba ya paundi milioni 11,then watu mnaondoa eyeball kwenye ukweli kwamba hizo dola billioni 160 ni za wananchi wa Libya na hazikuwa za Gaddafi.
 
Mkuu hapo kwenye red that is exactly what I am saying. Kwa vile wewe unaunga foleni kufungua account, haina maana kuwa Chenge nae anafanya hivyo. Huko kwingine naona wewe mgumu tuu kuelewa. But the naked fact is unaweza kufungua a bank account in person or by correspondent. Personally, nikiwa nje ya nchi, niliahafungua account in Tanzania by correspondent na pesa nikadeposit na kudraw na bank statements wakawa wananitumia address ya nje ya nchi. Kilichokuwa kinahitajika ni kupost original or certified documents wanazohitaji na kuwa na wadhamini wawili wenye accounts kwenye hiyo bank. They didnt need me to be there in personal.

Mkuu nisome vizuri. Sijaja na Swiss Bank. Nimekuja na Swiss bank account. Hiyo link niliyoweka ina info kuhusu a non resident kufungua a bank account in Switzerland. Wewe unasema Swiss Bank??? The link is all about info on opening Swiss bank accounts. Cheki vizuri hiyo webiste. It is a website of Micheloud & Co. a Switzerland-based, Swiss company run by the Micheloud family. They offer Swiss bank account brokerage services services to Switzerland for investors. They open hundreds of accounts every year with the top Swiss banks and know intimately the Swiss banking system and the account officers they work with.

Mkuu utadeposit kivipi wakati hujafungua account. Kwani issue ni kudeposit au kungua account? Wewe unasema you can only open a bank account in person. Mimi nasema you can also open a bank account by mail/correspondent. Gaddafi kufungua account Switzerland haina maana kuwa ililmlazimu aende kule personally ili wamfungulie account. He could have sat at his compound in Tripoli and open the account by mail.

Mkuu unafahamu CRDB Tanzanite account? Wakati unafungua hiyo account ni lazima uwe kwenye benki ya CRDB personally? Tanzanite account
Duh, ama kweli wewe mgumu. wewe umeshajaribu kufungua account ya Tanzanite -jaribu maanake mimi nimekwisha jaribu wakati wamefungua huko London nikiwa hapa Canada niliulizia na haiwezekani na hata wakazi wa USA haiwezekani hadi CRDB wamekwenda Marekani na kukamilisha mipango ambayo mtu anaweza kujiunga bila shaka kuna bank ya huko unatakiwa kwenda kukamilsha registration, hivyo mtu yeyote mwenye kufungua account ya Tanzanite lazima ataenda mahala kuregister, wafanye physical verification na utatakiwa ku deposit fedha za kufungua hiyo account.

Nimekwambia hiyo Swissbank.com is not a Bank!...haihusiani na maswala ya bank tunazozungumzia hapa, kama wewe umefungua account online, tell me una deposit vipi fedha zako, Je una deposit online vile vile kwa kuziingiza ktk PC yako, unazituma Bongo kwa posta au DHL, nambie? maanake siku hizi technologia imekuwa kubwa - haaa haaa haa!...Na ulifungua vipi account hiyo bank gani nami niweze kufungua!..nieleze, kwani kuna ugumu gani kwa nini unanipa vitu ambavyo hukufanya wewe ila unakisia kwa kupitia Google!

Nimekuuliza maswali rahisi sana Nita deposit vipi fedha zangu nikiwa Canada ktk account ya CRDB maanake hawana branch hapa Canada, na nina maana kukuliza hivyo wee jibu swali nikuungushie jingine! - Pili, nimekuuliza nitaweza vipi kufungua account online ikiwa siweki deposit ya kufungua account hiyo? wewe nambie process ambayo wewe unaifahamu na wanavyofanya hakuna sababu ya kuzunguka zunguka..

Na kuhusu Obama nimekwambia ya kwamba yeye akitaka kufungua account Tanzania atakuwa na njia yake ya kuingia bank kirahisi aidha kupitia mlango wa mbele au nyuma na akakutana na manager moja kwa moja badala ya kusimama foleni haina maana Obama anaweza kufungua bank account online. Je, mimi nikiwa naishi Washington DC, nikaomba account CRDB nikijiita Obama, huyo manager wa CRDB atajua vipi kwamba mimi sio Obama rais wa Marekani ikiwa nitajaza kila kitu sawa kabisa na taarifa za Obama. Halafu how can you open a bank account bila ku deposit hela, wakufungulie account online kivipi maanake siipati kabisa! - Mkuu wangu unaweza kufanya transaction zako online na sio kufungua bank account online... hakuna kitu hiyo!
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Nashukuru sana mkuu kwa hekima zako.
Sasa ninashangazwa ni wapi panaweza kutufanya tukasema kwa confidence kabisa kuwa hizo pesa sijui trillions ziko kwenye akaunti ya Gaddafi?
Naona na wewe unaingia kwenye huo mtego wa nyumba ya paundi milioni 11,then watu mnaondoa eyeball kwenye ukweli kwamba hizo dola billioni 160 ni za wananchi wa Libya na hazikuwa za Gaddafi.

Mkuu nimeingia kwenye mtego wapi? Information zilizo kwenye UK Land Registry zinasemaje kuhusu mmilikaji wa hiyo nyumba? Kama land registry inaonyesha wazi mmilikaji ni mtu binafsi (mtoto wa Gaddafi) utasemaje hiyo nyumba ni mali ya Libya?
 
Duh, ama kweli wewe mgumu. wewe umeshajaribu kufungua account ya Tanzanite -jaribu maanake mimi nimekwisha jaribu wakati wamefungua huko London nikiwa hapa Canada niliulizia na haiwezekani na hata wakazi wa USA haiwezekani hadi CRDB wamekwenda Marekani na kukamilisha mipango ambayo mtu anaweza kujiunga bila shaka kuna bank ya huko unatakiwa kwenda kukamilsha registration, hivyo mtu yeyote mwenye kufungua account ya Tanzanite lazima ataenda mahala kuregister, wafanye physical verification na utatakiwa ku deposit fedha za kufungua hiyo account.

Kaka mimi nilifungua hiyo Tanzanite account and CRDB didn't need to see me personally. Ndio maana nimekuambia kuwa the fact that it didn't work on your side, does not that, it will not work to others. People are different and they have got even different status in the society.

Nimekwambia hiyo Swissbank.com is not a Bank!...haihusiani na maswala ya bank tunazozungumzia hapa, kama wewe umefungua account online, tell me una deposit vipi fedha zako, Je una deposit online vile vile kwa kuziingiza ktk PC yako, unazituma Bongo kwa posta au DHL, nambie? maanake siku hizi technologia imekuwa kubwa - haaa haaa haa!...Na ulifungua vipi account hiyo bank gani nami niweze kufungua!..nieleze, kwani kuna ugumu gani kwa nini unanipa vitu ambavyo hukufanya wewe ila unakisia kwa kupitia Google!

Nimekuuliza maswali rahisi sana Nita deposit vipi fedha zangu nikiwa Canada ktk account ya CRDB maanake hawana branch hapa Canada, na nina maana kukuliza hivyo wee jibu swali nikuungushie jingine! - Pili, nimekuuliza nitaweza vipi kufungua account online ikiwa siweki deposit ya kufungua account hiyo? wewe nambie process ambayo wewe unaifahamu na wanavyofanya hakuna sababu ya kuzunguka zunguka..

Kwa nilikuambia ni hiyo bank? Mkuu unaonekana kama uko nyuma sana na teknologia. Una maana huwezi ku deposit fedha kwenye account through your PC? Una maana ili udeposit fedha kwenye account yako ya CRDB lazima CRDB iwe na branch Canada? Kwa ku deposit fedha kwenye account yako ni lazima uwe kwenye hiyo bank personally? Online banking imekuacha kaka.

Halafu kwani kufungua account ni lazima uwe na deposit? Kwenye nchi nyingine kama UK unaweza kufungua a bank account na £0 balance. Huitaji deposit. Labda kwa Tanzania wanataka deposit.

Na kuhusu Obama nimekwambia ya kwamba yeye akitaka kufungua account Tanzania atakuwa na njia yake ya kuingia bank kirahisi aidha kupitia mlango wa mbele au nyuma na akakutana na manager moja kwa moja badala ya kusimama foleni haina maana Obama anaweza kufungua bank account online. Je, mimi nikiwa naishi Washington DC, nikaomba account CRDB nikijiita Obama, huyo manager wa CRDB atajua vipi kwamba mimi sio Obama rais wa Marekani ikiwa nitajaza kila kitu sawa kabisa na taarifa za Obama. Halafu how can you open a bank account bila ku deposit hela, wakufungulie account online kivipi maanake siipati kabisa! - Mkuu wangu unaweza kufanya transaction zako online na sio kufungua bank account online... hakuna kitu hiyo!

Sir you can both open and do transactions online. There is no question about this. The advantage of opening a bank account online is that you can do it at any hour, anywhere. However, if you only want to open a bank account in person you can just show up at the branch during business hours. I understand, in order to open an account, you must provide some information to the bank. They do not open bank accounts without certain details about you. This is to protect them against risk and comply with a variety of regulations.

If you are opening an account online, you'll probably have to print, sign, and mail a document plus other documents to the bank before the account is opened. Some banks may use electronic disclosure and consent that is legally binding, but many still won't open bank accounts unless you complete this step. Once they receive and verify the documents, your account is active. Simple. This may not be possible in Tanzania but is possible in many other contries. Mkuu tuyaache hayo au tufungue thread nyingine nyingine because we are going out for the topic. But there is no doubt that one can open a bank account online.
 
Kaka mimi nilifungua hiyo Tanzanite account and CRDB didn't need to see me personally. Ndio maana nimekuambia kuwa the fact that it didn't work on your side, does not that, it will not work to others. People are different and they have got even different status in the society.

Kwa nilikuambia ni hiyo bank? Mkuu unaonekana kama uko nyuma sana na teknologia. Una maana huwezi ku deposit fedha kwenye account through your PC? Una maana ili udeposit fedha kwenye account yako ya CRDB lazima CRDB iwe na branch Canada? Kwa ku deposit fedha kwenye account yako ni lazima uwe kwenye hiyo bank personally? Online banking imekuacha kaka.

Halafu kwani kufungua account ni lazima uwe na deposit? Kwenye nchi nyingine kama UK unaweza kufungua a bank account na £0 balance. Huitaji deposit. Labda kwa Tanzania wanataka deposit.

Sir you can both open and do transactions online. There is no question about this. The advantage of opening a bank account online is that you can do it at any hour, anywhere. However, if you only want to open a bank account in person you can just show up at the branch during business hours. I understand, in order to open an account, you must provide some information to the bank. They do not open bank accounts without certain details about you. This is to protect them against risk and comply with a variety of regulations.

If you are opening an account online, you'll probably have to print, sign, and mail a document plus other documents to the bank before the account is opened. Some banks may use electronic disclosure and consent that is legally binding, but many still won't open bank accounts unless you complete this step. Once they receive and verify the documents, your account is active. Simple. This may not be possible in Tanzania but is possible in many other contries. Mkuu tuyaache hayo au tufungue thread nyingine nyingine because we are going out for the topic. But there is no doubt that one can open a bank account online.
Mkuu wangu unachekesha sana, yaani unaweza vipi ku deposit fedha kupitia pc au una maana money transfer?..Unatoa ktk account yako ya huko uliko unapelekea account yako ya CRBD, hivyo fedha zako zinatoka account yako bank A kwenda account yako bank B ambazo zote umeshafungua account physically .. Unasema kwelii UK unaweza kufungua online bank account with zero amount? - wow mmeendelea sana basi! naomba jina la hiyo Bank!

Kisha CRDB hawawezi kufungua account yako kupitia online, nilijaribu kuulizia jinsi ya kujiunga haiwezekani ndilo jibu lilolipata laa sivyo sisi wote huku tungekuwa na account hiyo. Ni majuzi tu JK alipotembelea US aliandamana na viongozi wa CRBD, ndio mipango imefanywa kutuwezesha kufungua account kinyume cha hapo haiwezekani. Wee nipe hiyo link yake maadam umewahi kufungua bank account nami nijiunge maneno mengi ya nini? Utakuwa umenisaidia sana maana wewe umeisha fungua kuzunguka kote hakusaidii lolote..
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Hao mafisadi wa EPA na Dowans wana Trillioni ngapi? Yatawakuta yale yale yaliyomkuta Ghadafi, peoples power.
 
Mkuu wangu unachekesha sana, yaani unaweza vipi ku deposit fedha kupitia pc au una maana money transfer?..Unatoa ktk account yako ya huko uliko unapelekea account yako ya CRBD, hivyo fedha zako zinatoka account yako bank A kwenda account yako bank B ambazo zote umeshafungua account physically .. Unasema kwelii UK unaweza kufungua online bank account with zero amount? - wow mmeendelea sana basi! naomba jina la hiyo Bank!

Mkuu ndio maana nimekuambia teknologia imekuacha kidogo. Yes, you can deposit money through your PC. The Internet given people the convenience to do everything from shopping to banking in the comfort of their own homes. Hivi mwajiri huwa anadeposit vipi mshahara kwenye account za employees? Huwa anaenda kwenye bank branch personally kudeposit mishahara kwenye account za waajiriwa? I think they directly deposit the paychecks into their online bank accounts. Direct deposit means your employer wires the money into your account using the routing number and your individual account number.

Kuhusu kufungua account with zero balance UK mbona unashangaa wakati ni kitu cha kawaida? Tena most banks will not charge for their services whilst you remain in credit or stay within an agreed overdraft limit. Waulize walioko UK kama wanachajiwa kufungua account.

Kisha CRDB hawawezi kufungua account yako kupitia online, nilijaribu kuulizia jinsi ya kujiunga haiwezekani ndilo jibu lilolipata laa sivyo sisi wote huku tungekuwa na account hiyo. Ni majuzi tu JK alipotembelea US aliandamana na viongozi wa CRBD, ndio mipango imefanywa kutuwezesha kufungua account kinyume cha hapo haiwezekani. Wee nipe hiyo site maadam umewahi kufungua bank account nami nijiunge maneno mengi ya nini? Utakuwa umenisaidia sana maana wewe umeisha fungua kuzunguka kote hakusaidii lolote..

Kwa vile haiwezekani Tanzania haina maana kuwa haiwezekani nchi nyingine. BTW kwa nini issue ilikuwa ni kufungua CRDB account online au overseas accounts? Point yangu ilikuwa kuwa sio lazima uwe kwenye bank personally ili ufungue account. Wewe unasema ni lazima uwe pale personally. But unawaweza kufungua account Tanzania by mail/correspondence. Na kwenye nchi zilizoendelea, yaani sio kitu kigeni kufungua a bank account online. Wewe unaona ni maajabu.

Mkuu nashauri huu mjadala tuhamishie kwenye jukwaa la technology upate more info toka kwa wataalamu.
 
Mkuu nimeingia kwenye mtego wapi? Information zilizo kwenye UK Land Registry zinasemaje kuhusu mmilikaji wa hiyo nyumba? Kama land registry inaonyesha wazi mmilikaji ni mtu binafsi (mtoto wa Gaddafi) utasemaje hiyo nyumba ni mali ya Libya?
Mtego ule ule wa ku generalise.Huwezi kuelezea jambo moja kwa kutumia sababu ambazo haziingiliani kimantiki.

Kwani hiyo asset ya paundi millioni 11 iko included kwenye the so called $160 billions ambazo wanasema ziko kwenye jina la Gaddafi?

Kwa hiyo kuwa na nyumba ya paundi million 11 haina maana kuwa na hizo dola billioni 160 nazo ziko chini ya jina la Gaddafi kama mleta hoja alivyoleta hii habari kutoka huko gazeti la mwananchi.
Kumbuka hoja hapa ni hizo pesa za Gaddafi ambazo zinauwezo wa kuwa bajeti ya Tanzania for 12 years!
 
EMT,
Acha uongo bana..unaweza vipi ku deposit fedha kwa online? yaani mimi ninazo $50,000 naweza vipi kuziweka ktk account yangu bila kuzipeleka benki? acha kudanganya watu. Mwajiri ha deposit fedha za mishahara bali kutoa taarifa ya fedha zikatwe toka ktk account yake kulipia mishahara yaani tayari fedha imekwisha deposirtiwa benki through his/her business.

Mimi ninayo kampuni yangu ya biashara na nimeajili watu, mishahara yao inaingia moja kwa moja ktk account zao kutoka ktk account yangu ambayo tayari nimekwisha deposit fedha physically iwe Cheque au Cash na benki au ATM machine.. Benki wanalipa mishahara hiyo toka ktk account ya biashara kuwalipa hivyo kutupunguzia sote usumbufu.. Nachofanya mimi ni kuwajulisha tu benki watoe kiasi gani kwa mfanyakazi gani na wanayo taarifa uya kila mfanyakazi ana account benki gani, makato ya tax na kadhalika vyote vinafuatana na pay slip niliyoandaa, lakini fedha ipo benki kama sina fedha benki mishahara yao hailipwi nakuwa notified with NSF...Siwezi na haiwezekani kufanya deposits online lazima niende benki au ATM machine ku deposit cheque zangu.

Hakuna kitu ku wire money kama fedha hizo hazipo benki ya kwanza, U have to deposit money either in cash or cheque, for you to do other transaction kama kulipa hiyo mishahara. Na sijasema haiwezekani kabisa mtu kutumiana fedha online lakini lazima mwanzo kuna mmoja wenu kenda deposit fedha hizo benki au ktk ATM machine.

Na kuhusu kufungua account with zero amount, mimi sizungumzii interest wewe nambie online Banking ambayo unaweza kufungua account with zero amount.. Itaje jina na sasa hivi nawapigia simu, tatizo liko wapi? You did open ana account online sio? sasa wewe nambie site gani ulikwenda na kufungua account yako ili nasi wengine tupate kuijua na tufungue, ubishi wa nini mkuu wangu?

Kifupi tuachane na hili unachemsha sana na inaondoa kabisa kuelewa kwako ktk maswala haya..
 
Mkuu siamni unachosema. Kwa hiyo kama Obama anataka kufungua account CRDB inabidi aje Tanzania personally? Halafu unafikiri viongozi wakubwa kama hawa wanafungua bank account kama yako?

Mkuu upo dunia ipi? Mfano https://www.barclaysbankaccountapply.co.uk/index.html.

mimi niliamua kumpoteze huyo MKANDARA yuko nyuma sana kimaarifa yaana anategemea kiongozi akapange foleni kufungua account au kuomba VISA kusafiri sasa nini maana ya personal assistant
mbaya zaidi kagoma uwezi kufungia account online, wakati watu wanachukuwa mikopo online na hela inaingia
kwa nini tunapenda kuforce kujua hata tulivyovijua
 
Mkandara to EMT,

naomba kusaidi kwa kusema

Acha uongo bana..unaweza vipi ku deposit fedha kwa online? yaani mimi ninazo $50,000 naweza vipi kuziweka ktk account yangu bila kuzipeleka benki? acha kudanganya watu. Mwajiri ha deposit fedha za mishahara bali kutoa taarifa ya fedha zikatwe toka ktk account yake kulipia mishahara yaani tayari fedha imekwisha deposirtiwa benki through his/her business.
ukiwe na hard CASH LAZIMA UPELEKE BANK, TANZANIA WATU WANATUMIA HARD CASH LAKINI SIO MTU KAMA GADDAFI, HIZI BUSINESS UNAZOONGELEA WANA DEPOSIT HELA KWENYE ACCOUNT ZAO VIPI/KUTOKA WAPI WAKATI ZIKO HUKO?

Mimi ninayo kampuni yangu ya biashara na nimeajili watu, mishahara yao inaingia moja kwa moja ktk account zao kutoka ktk account yangu ambayo tayari nimekwisha deposit fedha physically iwe Cheque au Cash na benki au ATM machine.. Benki wanalipa mishahara hiyo toka ktk account ya biashara kuwalipa hivyo kutupunguzia sote usumbufu.. Nachofanya mimi ni kuwajulisha tu benki watoe kiasi gani kwa mfanyakazi gani na wanayo taarifa uya kila mfanyakazi ana account benki gani, makato ya tax na kadhalika vyote vinafuatana na pay slip niliyoandaa, lakini fedha ipo benki kama sina fedha benki mishahara yao hailipwi nakuwa notified with NSF...Siwezi na haiwezekani kufanya deposits online lazima niende benki au ATM machine ku deposit cheque zangu.
sio kukupunguzia usumbufu ni huduma za kileo karibu zinapitwa na wakati, mambo ya PAYE yanahusiana vipi na wewe kuwalipa wafanyakazi wako au inakwenda bongo hiyo ni jukumu lako na watu wa mapato kama una service na bank kukufanyia hiyo ni hii tena mpya bank wanajua ya kwenye payslip
Hakuna kitu ku wire money kama fedha hizo hazipo benki ya kwanza, U have to deposit money either in cash or cheque, for you to do other transaction kama kulipa hiyo mishahara. Na sijasema haiwezekani kabisa mtu kutumiana fedha online lakini lazima mwanzo kuna mmoja wenu kenda deposit fedha hizo benki au ktk ATM machine.

Na kuhusu kufungua account with zero amount, mimi sizungumzii interest wewe nambie online Banking ambayo unaweza kufungua account with zero amount.. Itaje jina na sasa hivi nawapigia simu, tatizo liko wapi? You did open ana account online sio? sasa wewe nambie site gani ulikwenda na kufungua account yako ili nasi wengine tupate kuijua na tufungue, ubishi wa nini mkuu wangu?

Kifupi tuachane na hili unachemsha sana na inaondoa kabisa kuelewa kwako ktk maswala haya..
sisi tunaongea nchi zinazojali wananchi wake ndio maana majambazi kila siku wanakata wau mapamba, kwa nchi zote makini kwa sasa you don't need hard cash na haipatikani kwanza kila kitu kwa wire kama unataka furushi la pesa unakwenda BANK NA KITAMBULISHO likiwa nyingi wanataka more document kukupatia pesa yako mwenye
 
Mtego ule ule wa ku generalise.Huwezi kuelezea jambo moja kwa kutumia sababu ambazo haziingiliani kimantiki.

Kwani hiyo asset ya paundi millioni 11 iko included kwenye the so called $160 billions ambazo wanasema ziko kwenye jina la Gaddafi?

Kwa hiyo kuwa na nyumba ya paundi million 11 haina maana kuwa na hizo dola billioni 160 nazo ziko chini ya jina la Gaddafi kama mleta hoja alivyoleta hii habari kutoka huko gazeti la mwananchi.
Kumbuka hoja hapa ni hizo pesa za Gaddafi ambazo zinauwezo wa kuwa bajeti ya Tanzania for 12 years!

hizo ni pesa Gaddafi aliwekeza kwa njia zake za panya, BOTTOM line ni kwamba If you dont have enemy inside, outside enemy can't do any damage Gaddafi alikuwa na maadui ndani ya nchi yake kuliko nje ya nchi
mbona MUGABE bado yupo why?
 
Unaposema njia za panya una maana gani haswa?Hiyo ripoti si imesema wazi kabisa kuwa hizo pesa ziko chini ya akaunti za serikali?

Ama unatafsiri unavyotaka?

Pitia postings za nyuma na ujibu maswali.Niliomba nieleweshwe kama nilitafsiri vibaya,hukufanya hivyo,sasa unakuja na jibu jepesi,eti "njia za panya"

Na huyo Mugabe kwani NATO wakimsaidia huyo Tsivangarai unadhani watashindwa kumwondoa?
 
Jamani Ma great thinker. Pesa zote ni za serikali ya Libya sio za Gadafi na wenzake. Zilikuwa ni Investment za libya kwenye mabenki ya Kigeni. je kuna mtu ana ushahidhi kuwa pesa ilikuwa kwa jina la gadafi atoe hapa.
 
Wanadamu wengine ni wajinga sana. Hawaangali wema, wanaangalia ubaya wako. Kwani Libya ilikuwa na uchumi mdogo, kulikuwa na unemployment kama hata TZ? mgao wa umeme? Walikuwa wanalipa bill ya umeme? Elimu ilikuwa duni? Huduma ya Afya ilikuwa mbaya? Usafiri ulikuwa wa shida. Je maisha ya sasa yanafanana na ya zamani? Watu wangapi wamekufa katika kampeni za kumuua mtu mmoja? AU bila Ghadafi ingekuwepo? Mungu kinusuru kizazi cha leo. Tukumbuke hakuna mwanadamu aliyekamilika.
 
Once Adam Smith said that ;'there was no true DEMOCRASY and never will be'
hata hzo nch znazodai kuwa wanapeleka demokrasia libya hata nch zao hazna democrasia ya kwel,mfano mambo yote yanayovunja democracy hutokea wakat wa uchaguz.Hw many times leaders uses money to exploit and destroys the rights of people?
 
Rafiki yangu mmoja UK. Baada ya kuishi kama mwezi mmoja akaamua kununua gari.Akaenda na £s kibao in cash! Wale wauzaji walishtuka! Kama 4,700£ kwa kipindi hicho,gari ilikuwa Mercedes Benz.. Jamaa mpaka walimwita meneja wao. Naye akashtuka. Wakamhoji sana shughuli zake..ndiyo akauziwa.
 
NATO Countries to Steal $ 30.000 from Each Libyan Citizen

The pro-Western corporatist media outlets are hurriedly trying to help spin every aspect of the murder of Moammar Gadhafi and the ongoing rape and pillage of the Libyan people's assets.

"But subsequent investigations by American, European and Libyan authorities determined that Kadafi secretly sent tens of billions more abroad over the years and made sometimes lucrative investments in nearly every major country, including much of the Middle East and Southeast Asia, officials said Friday.

Most of the money was under the name of government institutions such as the Central Bank of Libya, the Libyan Investment Authority, the Libyan Foreign Bank, the Libyan National Oil Corp. and the Libya African Investment Portfolio. But investigators said Kadafi and his family members could access any of the money if they chose to.

The new $200 billion figure is about double the prewar annual economic output of Libya, which has the largest proven oil reserves in Africa." Paul Richter

All of the money was invested in Libyan enterprises presumably for the Libyan people but because "investigators" claim Gadhafi could have accessed it, the globalist spin on this wealth owned by the Libyan people, is that it was Gadhafi's and not theirs. The difference is that if this money belongs to the people of theSocialist People's Libyan Arab Jamahiriya, then it must be returned to them and cannot be touched. If it were to belong to Gadhafi then it simply becomes spoils of war and can be seized by whomever claims it.

The $200 billion dollar figure represents (as Richter points out) "about $30,000 for every Libyan citizen". This is the amount that is about to be stolen from the people of Libya.

Zaidi hapa NATO Countries to Steal $ 30.000 from Each Libyan Citizen | nsnbc
 
Back
Top Bottom