jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 24,987
- 22,515
Mkuu nimeomba unisaide kutafsiri hiyo habari na uje na conclusion ya tofauti na yangu endapo nimetafsiri vibaya.Mkuu hii haitafanywa kwa Gaddafi tuu. In fact, walishafanya kwa akina Mobutu Seseseko, Abacha, Chiluba na wengine wengi. Unless, it is proved that the money belongs to the respective government, then zinataifishwa. Na hili ndilo tatizo kubwa kwa viongozi wetu wa Kiafrika. Wanaiba pesa kibao za umma wanazificha Uswisi, then wanaondolewa madarakani na pesa inapotea. Nani alaumiwe hapa?
Ndo kujifunza humu JF,nipo tayari kukosolewa kamanimeielewa taarifa hiyo kwa namna ya tofauti na inavyotakiwa ieleweke.
Natanguliza shukrani.