Gaddafi alikuwa na utajiri wa Sh 140 trilioni

Gaddafi alikuwa na utajiri wa Sh 140 trilioni

Vikwazo,
Usianze matusi tunajadiliana hapa. Kama huna jibu nyamaza itawasaidia na wengine kuelewa, huu sii ukumbi wako pekee. Nimekuuliza vizuri maswali unayo majibu yatoe kwa sababu hizi ni habari zinazoandikwa na waandishi wa habari kulingana na walivyopewa. Tuliambiwa Iraq wana WMD, anayetakiwa ku prove nani? tuliambiwa Iran wanataka kumuua balozi wa Saudia wanaotakiwa ku prove nani?

Haya kwa maneno yako Kama Ghadaffi aliweza kufungua account aka bypass utaratibu huo sawa na aliwezaje kuingia nchini humo na kufungua hizo account. Je, wewe unaweza kwenda UK ukafungua account za JK bila yeye kuwepo?..Kama haiwezekani tujiulize tena Ghadaffi anaweza kuingia Bank yoyote ya UK na asijulikane kaingia UK..Kama yote haya yanawezekana basi watuonyeshe Ghadaffi alifanya nini kuweza kufungua hizo account hata kwa ku bypass maanake imesha gundulika lazima kuna njia alotumia kufungua hizo account..

Halafu wewe kweli unaamini Ghadaffi anaweza kuwa na account bank hizi wasiseme zifichwe hizo account kiasi kwamba wafanyakazi hawawezi kuziona ila baada ya kufa kwake ndio accounts zote zinajitokeza. Na nani anayetoa siri hizi maanake ingekuwa Bank ningeamini lakini hawa hawa wanaocheza mchezo kinyume cha sheria mbona wao hawakamatwi?. maanake kama JPMorgan walifanya hivi kinyume cha sheria kwa nini CEO wake asiwekwe ktk hatia leo hii?

hiyo RED mkuu umeongea kitu kinacho expose how far you are? kuna account ziko scramble na pessa kama hiyo don't expect inawekwa kwenye normal account
kama wewe bado unakwenda bank kufungua Bank account sio wote wanafanya hivyo unaweza kufungua BANK ACCOUNT online na kupokea mambo yako kwenye ADDRESS uliyo allocate
Haya ni mambo ya kikubwa zaidi labda kabla sijaenda mbali kwani RICHMOND walitufanyaje unanjani ni mchezo mpya huo cheza wewe kaa mbali na wahindi watakufanya kitu mbaya kama bado una mawazo hayo
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Kama alikuwa anatumia hilo siwezi kujua na yawezekana kabisa maanake huyu babu hakuwa mzima hivyo, lakini ukinambia alikamatwa na Ton 5.7 za cocaine ati kwa matumizi yake nitakukatalia.. ndio nachomwambia jamaa yangu Vikwazo tutumie nasi akili zetu, Ghadaffi hana sababu ya kuuza Unga ili afanye money laundry wakati yeye ndiye mwenye cash na halali, anaweza kuiweka cash hiyo bank zake na asiulizwe na mtu. Na Money laundry siku zote ni muuza unga au mwenye biashara haramu hubadilisha ili apate cash, huyo Ghadaffi alikuwa na cash sasa anafanya money laundry ili apate Cocaine? yaani anajirudisha yeye mwenyewe ktk matatizo ya kuuza huo unga? Hii kweli inaingia akilini?

hiyo ni ya biashara pamoja na wanajeshi wake kulamba wakawashingulikie mama na dada za watu huku ukilazimishwa kuangalia that how far hiyo Gaddafi alifikia
kumbe unajua ni chizi sasa unatete nini?
 
hiyo RED mkuu umeongea kitu kinacho expose how far you are? kuna account ziko scramble na pessa kama hiyo don't expect inawekwa kwenye normal account
kama wewe bado unakwenda bank kufungua Bank account sio wote wanafanya hivyo unaweza kufungua BANK ACCOUNT online na kupokea mambo yako kwenye ADDRESS uliyo allocate
Haya ni mambo ya kikubwa zaidi labda kabla sijaenda mbali kwani RICHMOND walitufanyaje unanjani ni mchezo mpya huo cheza wewe kaa mbali na wahindi watakufanya kitu mbaya kama bado una mawazo hayo
Unaweza kufungua account online? bank gani hiyo ebu nipashe maanake kweli mimi nilikuwa sijui hilo!
 
@Dr. slaa

1.unalionaje suala la mataifa ya kibeberu kuingilia sera za mataifa ya Afrika?

2. Mbali na mataifa mengi kuwa na mwamko wa mabadiliko lakini unadhani kuwa watawala wapya wataweza kulinda rasilimali za nchi zao na kuboresha misingi ya utawala bora au ni kubadili kizazi kimoja na kuingiza kingine chenye mtazamo kama ule?

3.Nini hasa tatizo la viongozi wa kiafrika na wengine wenye mitazamo kama yao hasa wa nchi zinazoendelea?
 
Hizo pesa zimekutwa kwenye akaunti ya Gaddafi?
 
IT WAS MONEY LAUNDERING MKUU FANYA UTAFITI KWANZA
angalia hiyo hii link ( http://www.hm-treasury.gov.uk/d/public_notice_270211.pdf ) pia soma na sikuza hapo nchi kama husipoelewa video na kusema basi tena

Gadaffi's Stash - Money Laundering - U.S. MegaBanks - Business as Usual

[video=youtube_share;0yyVGdC7RoY]http://youtu.be/0yyVGdC7RoY[/video]

The Hound :What a wonderful country our home has turned into; where we support Dictators for oil. I would have never thought that I would be begging to see some form of cogent justice, but it is very apparent that we are going to fully support a two-tiered society where it is legal to be a criminal, if you have control over someone else's money. We don't need more regulation, when the laws we have are brazenly usurped or altogether egregiously ignored and law enforcement is either bought off or incompetent (probably a little of both).

How Did Gaddafi Bypass US Anti-Money Laundering Rules To Bank With Goldman And JPMorgan?
- Submitted by Tyler Durden - 03/02/2011
One of the most critical questions that has to be asked in light of yesterday's revelation that among the banks providing banking and asset amangement services for Libya were Goldman Sachs, JP Morgan and Citigroup, is just how did Libya get an exemption for anti-money laundering provisions both in Europe and the US.

Oddly enough, this future mainstream debate arises not in the US, where any form of critical thinking appears to be immediately curbed by SEC Rule 201 (for all those calling for a hike in the SEC's budget, we suggest the following contrarian thought experiment: let's cut its budget to zero and see how long before anyone notices) , but out of the UK, where a reader writes in to the FT (oddly enough, partially ownedby the Libyan Investment Authority) with the following very simple question: "It seems to me entirely implausible that Col Gaddafi could have earned billions of dollars through legal means. And yet if the AML procedures, to which we are all subjected, have not been applied rigorously to the likes of Col Gaddafi and his family, one is forced to ask what purpose they really serve." Or what purpose any regulation serves in general when fraud results in surging stock prices, and companies that adhere to the rules are promptly wiped out in this bizarro capitalist world.
​
From the FT:​
Sir, I read with interest the news that the UK government is freezing billions of dollars in assets belonging to Muammer Gaddafi and his family. I would also be intrigued to know whether the banks and other financial institutions handling these assets have applied the same anti-money laundering (AML) procedures to these assets as are applied to every other "normal" banking client in the UK.



It seems to me entirely implausible that Col Gaddafi could have earned billions of dollars through legal means. And yet if the AML procedures, to which we are all subjected, have not been applied rigorously to the likes of Col Gaddafi and his family, one is forced to ask what purpose they really serve.

Charles L.M. Horner,
Bangkok, Thailand

​

See No Evil: Wall Street Banks and Qaddafi Cash
- Rolling Stone - By Tim Dickinson - March 2, 2011

The Obama administration's move to freeze $30 billion in Libyan assets has sent Wall Street banks scurrying to lock down Qaddafi's cash. Raising the question: How did America's biggest firms become bankers to one of the world's most corrupt men?

Anti-money-laundering statutes are supposed to bar "the movement of illicit cash or cash equivalent proceeds into, out of, or through the United States [or] ... United States financial institutions." And when it comes to Libya, there's no such thing as licit cash: According to a WikiLeaked State Department cable: "Libya is a kleptocracy in which the regime has a direct stake in anything worth buying, selling or owning."

And yet, according to a cable from 2010, top U.S. banks were in bed with Qaddafi's Libyan Investment Authority: "Several American banks," our embassy in Tripoli reported, "are each managing USD 300-500 million of LIA's funds."

Firms reportedly playing banker to Libya's "sovereign wealth fund" include Goldman Sachs, Citigroup, JP Morgan Chase, and several private equity firms.
​
Banks Financing Mexico Gangs Admitted in Wells Fargo Deal- Bloomberg - June 28, 2010

They found 128 black suitcases, packed with 5.7 tons of cocaine, valued at $100 million. The stash was supposed to have been delivered from Caracas to drug traffickers in Toluca, near Mexico City, Mexican prosecutors later found. Law enforcement officials also discovered something else.

The smugglers had bought the DC-9 with laundered funds they transferred through two of the biggest banks in the U.S.: Wachovia Corp. and Bank of America Corp., Bloomberg Markets magazine reports in its August 2010 issue.

This was no isolated incident. Wachovia, it turns out, had made a habit of helping move money for Mexican drug smugglers. Wells Fargo & Co., which bought Wachovia in 2008, has admitted in court that its unit failed to monitor and report suspected money laundering by narcotics traffickers -- including the cash used to buy four planes that shipped a total of 22 tons of cocaine.

The admission came in an agreement that Charlotte, North Carolina-based Wachovia struck with federal prosecutors in March, and it sheds light on the largely undocumented role of U.S. banks in contributing to the violent drug trade that has convulsed Mexico for the past four years.

​
JPMorgan's $907 million Madoff bonanza - Posted by Colin Barr - February 28, 2011 -

A new academic paper estimates the bank reaped nearly $1 billion in pretax profits over two-plus decades by servicing a checking account at the center of the giant Ponzi scheme.
Hizo pesa walikuwa wanazitaka zote nasasa wamezipata,wamezipangia propaganda kina Sarkozy.

Kwanza zinakatwa ili kufidia deni jipya,halafu bado nyingine watapewa in form of services etc.

Pesa ni nyingi hizo wamezitamani tu nadhani.

Lakini ukweli pesa zilikuwa ni za walibya na kwa maslahi ya walibya.Ndiyo kulikuwepo na spendings,lakini ni viongozi wapi hao wasiokuwa na hizo extravagant spendings wa kunyoosha vidole?

Nani ataguarantee kuwa sasa pesa za walibya zitatumika kwa maslahi ya walibya?

Rasilimali zao je?Tutizame both sides of the coin.
 
Kumbe ndiyo maana MEMBE ana weweseka kwasababu ya huo utajiri wa Gaddafi, yawezekana keshachukua chake hadi kufikia kutoa tamko la kuomboleza

Mkweree alipokuwa mwenyekiti wa AU, alipitia pitia sana kule Tripoli na mara zote akifuatana na huyu Membe; kule Ghadddaffi aliwafungashia maburungutu ya dolalrs in cash na inasemekana Membe aliitoa jeuri ya kuusaka Urais baada ya kupewa dollar million mbili na marehemu dictator!!! Msishangae ndio maana anamlilia mpaka kulazimisha bendera zishushwe nusu mlingoti kwani dhamira zao zinawasuta!! Hizo BMW mkweree anazotutimulia nazo vumbi huko barabarani zote ni ahsante Ghaddafi!
 
Hiki kipande nimekitoa kwenye the guardian...
Cohen said: "We are hearing that major European financial institutions are interpreting their obligations under the US, UN and UK actions as requiring them [to] block all government of Libya assets, including accounts held by the Central Bank of Libya and the Libyan Investment Authority.
"These blocking actions by the United States, the UN, the UK and EU serve two very important objectives: depriving Colonel Gaddafi and his government access to these assets and simultaneously safeguarding them for the Libyan people."
Penye ukweli,uwongo ujitenga hata kama utaweka vikorombwezo vya aina gani,nani hajui utajiri walio nao viongozi ie UK royal family,na hao huko Qatar na wengineo waliosapoti hivi vita?

Na sisi tukiweka hayo wanayofanya hao viongozi wa baadhi ya nchi zilizoko kwenye hiyo alliance,si mtaona double standards?

Majority ya pesa zilkuwa za Libya chini ya serikali yao na Investment authority yao.Watu wamesahau jamaa alijenga nchi licha ya vikwazo vyote alivyowekewa.

Aliwa prove wrong,kwamba bado wanaweza kupata maendeleo bila wao,halikuwapendeza!

Habari zaidi pata hapo chini,hivi wanapotaja eti sijui nyumba ya paundi milioni 10!What is that compare to the $160 billion?

US Treasury blocks record $30bn of Libya assets | World news | The Guardian
 
Complications To Come
Although Secretary of State Hillary Clinton talked at times during the course of the Libyan conflict about confiscating assets and turning them over to the TNC, in reality the U.S. merely kept those assets frozen.

The money is still sitting in the bank, under the original account holders' names. In the case of assets clearly belonging to the Libyan government itself - accounts held by the nation's sovereign wealth fund, for example - returning the money will be a simple matter. All the U.S. government must do is let the bank know it's OK to release the money.

But a relatively small proportion of Libya's assets, at least in this country, are in cash. Most is in property. Turning real estate into liquid assets that the new government can put to use is going to take some time.

Seif's London Mansion
And it's not always clear that the government will be able to take title easily. Consider the London mansion that Gadhafi's son Seif al-Islam Gadhafi bought when he was a student at the London School of Economics.

The title is still in his name, but the British government has blocked him from using it as part of any financial transaction, whether as collateral or putting it up for sale or lease.

Property belonging to the Gadhafi family and other individuals loyal to the old regime won't automatically be transferred to a new government.

Those assets may simply stay frozen unless there is a finding that they represent money stolen from the Libyan government.
"The money stays in the bank account under the name of the person or the entity that opened the account," says Kern Alexander, a senior research fellow in financial services law at the University of London.

Cutting Through The Red Tape
Determining who controls a given company with holdings overseas has become more complicated as the civil war has progressed, Alexander points out. "As the rebels take control of more of the country, they take control of more enterprises with bank accounts," he says.

And simply getting the paperwork taken care of can be complicated, as Ambassador Rice said on CNN. The State Department is likely to take the lead, but Treasury and the Department of Justice also have roles to play. The National Security Council is expected to keep the process moving among the different departments.

It appears the European Union also wants to keep the process moving expeditiously. Lifting sanctions is sometimes merely a matter of dealing with technical details, once larger issues such as determining who is in charge of a country have been sorted through.

If the U.S. and other governments are confident that there's a trustworthy government in charge in Libya, that's a good sign that the country is back on a path toward stability, says Michael Malloy, a sanctions expert at the University of the Pacific law school.

"It will give you a very good reading on how complicated the transition and aftermath are going to be," Malloy says. "If the U.K. and the U.S. and other governments just sign off on a termination of sanctions, then we're probably much further along in transitioning Libya back to normal status."
Haya angalia jinsi kihabari cha nyumba ya london ya 10 million pounds kinavyochomekwa ili kuonyesha pia zipo kwenye one category na hizo akaunti za serikali ya Libya.Watu wanalishwa tu na wao wana bugia bila kuchambua.Natoa msisitizo kwenye red highlight,ukizisoma uta connect dots
Habari nzima hapa chini...
A New Libyan Leadership Could Recover Billions : NPR
 
Hivi deni Tanzania tunaldowa kwa libya liko katika hali gani na kiasi gani. na debt service paymnet zake zikoje. Kuna anayejua?

Maana nadhani hata wale wafungwa wa kilbya wa vita ya kagera walibadilishwa kwa mafuta kama si mikopo.

Theoreticaly na hii instability ya kichumi ya nchi za ulaya inawezekan Libya ilikuwa katika position uwa juu hata ya UK na France. maana hizi nchi zote seriali zao zinaenda kwa madeni
 
Kiukweli ni kwamba,ukiangalia bandiko langu lililopita,utaona kuwa pesa ambazo ziko chini ya majina ya kina gaddafi hazitakuwa transfered,only hizo za serikali,ama kama zitakuwa proved kuwa ziliibiwa kutoka serikali ya Libya,sasa hizo $160 wanazodai watawapa ni za Gaddafi binafsi?Read btn the line wandugu.

Property belonging to the Gadhafi family and other individuals loyal to the old regime won't automatically be transferred to a new government.

Those assets may simply stay frozen unless there is a finding that they represent money stolen from the Libyan government.
 
Inawezekana ameacha kiasi hicho ispokua nafikiri cha kuangalia nini aliwafanyia raia wake. Shule bure mpaka university, Hospital bure. Nyumba bure kwa wasio nauwezo mapaka pesa za kuowa bure.

Challenge kubwa iliyopo je wazungu na viongozi wengine wataweza kumeet standard ya maisha ya Walibya au wataangalia interst zao. Watu wengi wanataja neno freedom lakin kuna wasiwasi mkubwa kua hawajui maana yake. Anaglia kesi ya Iraq.

uditeta sio mzuri lakin kama ukimuondoa dicteta kwa nia nzuri na sio kwa kuangali intest zako wakti raia wanasafa. Inatakikana watu kuamka na maneno kama freedom na mengineyo.
N/Ngumu hii ni hatari sana kwa nchi. Kiongozi anapokula kiapo cha kutumikia wananchi wake anatakiwa kufanya hivyo mpaka anapoondoka madarakani kama alivyofanya Mwalimu Nyerere.

Kitu kidogo kama nyumba tu, Mwalimu Nyerere alipoambiwa achukue nyumba ya serikali aliyokuwa anakaa aliuliza, hivi baadaye wananchi wakiniuliza nimeipataje nitawaambia nini? Ilibidi baadaye juhudi zifanyike kumjengea Butiama baada ya maamuzi mazuri kufanyika. Siyo yeye akiwa madarakani kujipangia au kujiuzia! Kama walivyofanya waliofuata. Haya mambo anapoyafanya kiongozi ni lazima yatakuja kuleta shida. Lazima ipo siku ya malipo. Kiongozi anapofanikiwa kufanya mambo mazuri siyo sababu ya kuuibia umma au nchi. Kufanya hivyo tayari umevunja kiapo na dhambi ndiyo inaanza kukuandama na kukutafuna. Dhambi hii huwa haimpi mtu pumziko ni mpaka ikumalize.
 
Mnaosema hizo trillioni 145 zilikuwa kwenye akaunti ya Gaddafi ni waongo.Gazeti limewalisha kasa na nyie mkabugia tu.Sijui Kuhani yukwapi,ndo alikuwa anawaweza waandishi makanjanja.

Ni wazi kuwa kama pesa hizo zingekuwa chini ya akaunti yake binafsi,basi waasi wasingeweza kuzipata kwa sasa.Ama lasivyo mbona hawasemi zipi zilikuwa kwenye akaunti za serikali na benki kuu yao na zipi kwenye hiyo ya akaunti yake binafsi?

Wenyewe washasema kuwa hazitakuwa automatically transfered.
Hii hapa chini sijui ni kivipi ilishindwa kuwaingia waandishi hao kichwani...
The money is still sitting in the bank, under the original account holders' names. In the case of assets clearly belonging to the Libyan government itself
Waungwana ebu tusaidiane kwenye utafsiri unajuwa hii lugh si yetu....Hivi haya maelezo yanaonyesha kuwa hizo pesa ziko kwenye akaunti ya Gaddafi?
 
Nato kama mnahuruma mngemtoa ngeleja kwanza ndio mumtoe gadafi ukipima ubawa wa vifo vya watu kwa kukosa umeme ni zaidi ya libya?
 
Jmush1,
Ikiwa watu wanaamini unaweza kufungua accounti ya benki online wataacha vipi kuamini vitu kama hivi?
Halafu kichekesho zaidi, utaweza vipi ku freeze fedha za mtu ambazo walikuwa hawajui ziko banki lakini wamejua sasa hivi, tena mtu mwenyewe Ghadaffi ambaye walivyokuwa wakimtafuta miaka yote!
 
Haya kwa maneno yako Kama Ghadaffi aliweza kufungua account aka bypass utaratibu huo sawa na aliwezaje kuingia nchini humo na kufungua hizo account. Je, wewe unaweza kwenda UK ukafungua account za JK bila yeye kuwepo?..Kama haiwezekani tujiulize tena Ghadaffi anaweza kuingia Bank yoyote ya UK na asijulikane kaingia UK..Kama yote haya yanawezekana basi watuonyeshe Ghadaffi alifanya nini kuweza kufungua hizo account hata kwa ku bypass maanake imesha gundulika lazima kuna njia alotumia kungia UK na kufungua hizo account..

Mkuu siamni unachosema. Kwa hiyo kama Obama anataka kufungua account CRDB inabidi aje Tanzania personally? Halafu unafikiri viongozi wakubwa kama hawa wanafungua bank account kama yako?


Unaweza kufungua account online? bank gani hiyo ebu nipashe maanake kweli mimi nilikuwa sijui hilo!

Mkuu upo dunia ipi? Mfano https://www.barclaysbankaccountapply.co.uk/index.html.
 
Hizo pesa zimekutwa kwenye akaunti ya Gaddafi?

Mkuu hivi wezi wa pesa huwa wanaweka hizo peza za wizi kwenye accounts zao binafsi? Ila kitu ambacho mpaka sasa sijaelewa how did Libya managed to get an exemption for anti-money laundering laws both in Europe and the US. This may mean that Gaddafi could have earned billions of dollars through legal means.
 
Kiukweli ni kwamba,ukiangalia bandiko langu lililopita,utaona kuwa pesa ambazo ziko chini ya majina ya kina gaddafi hazitakuwa transfered,only hizo za serikali,ama kama zitakuwa proved kuwa ziliibiwa kutoka serikali ya Libya,sasa hizo $160 wanazodai watawapa ni za Gaddafi binafsi?Read btn the line wandugu.

Mkuu hii haitafanywa kwa Gaddafi tuu. In fact, walishafanya kwa akina Mobutu Seseseko, Abacha, Chiluba na wengine wengi. Unless, it is proved that the money belongs to the respective government, then zinataifishwa. Na hili ndilo tatizo kubwa kwa viongozi wetu wa Kiafrika. Wanaiba pesa kibao za umma wanazificha Uswisi, then wanaondolewa madarakani na pesa inapotea. Nani alaumiwe hapa?
 
Back
Top Bottom