G55 walamba vyeo Chaumma

Comedy ya mwaka. Wala ubwabwa wameongezeka
 
Washapoteza uhalali wao kisiasa
Watu wenye akili zenu ndio mliosababisha Afrika ikatawaliwa na wakoloni. So naive

Hakunaga uhalali wa Kisiasa, it is all about personal gains, hakuna mwanasiasa asiye angalia maslahi yake...

Unadhani wewe ulimpa nini cha maana Lissu/Mnyika au Mbowe hadi apiganie maisha yako
 

Maskini ya Mungu unajua kingereza ila u Mpumbavu, Bila platform unakula wapi? Uhalali wa Kisiasa ndo unakupa kula na personal gain Mbwira wewe!
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚kituko mwanachama wa siku moja.... Anapewa na cheo..... Hivi ni vituko vya mwaka
Same thing waliyofanya Chadema walipompokea na kumpa agombee uraisi.
 
Hii yote ni kukaribisha vurugu isiyokuwa ya lazima nchini.
 
Hata ingekua kweli kuna dhambi gani? Kwani CHAUMA si chama cha upinzani pia au lazima iwe CDM?
Usisahau msemo maarufu wa team Mbowe, ukishindwa hakuna kuhama chama.
 
Kichecko
 
Kweli pesa mwana haramu!
 
Hashim Rungwe Mzee wa wali nazi
 
Akidi ilitimia? Au tusubiri msajili atengue?
 
Usisahau msemo maarufu wa team Mbowe, ukishindwa hakuna kuhama chama.
Kuvunjika kwa koleo sio mwisho wa uhunziโ€ฆ. CHAUMA wapewe support wana maono!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ