G55 walamba vyeo Chaumma

Mbona maneno mengi? Mngewapuuza ndio ingekuwa effective kuliko hizi kele za wivu.

Amandla.
 
Katiba inampa uhuru kila Mtanzania kujiunga na dini atakayo au chama cha siasa atakacho au kutokuwa na chama au dini acheni utoto wajinga nyie hawajavunja katiba ya nchi
 
Jamaa alikuwa ni kirusi cha CCM ndani ya CHADEMA. Afadhali kaondolewa na wenye chama.
Sawa akiondoka jipigieni makofi kuwa washindi nyie si mlimshinda uchaguzi kwa nini tena mumuandame Mbowe aliyeshindwa uchaguzi wa kidemokrasia? Endeleeni uongozi mpya wajua kuendesha chama mwacheni Mbowe na kushindwa kwake uchaguzi
 
Green pasture, (wamepata malisho ya kijani), kitu cha msingi ni kutunza kauli zao
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Mwenyekiti kapewa nani? πŸ˜‚
 
Chama kina viongozi tu ila hakina wanachama,πŸ˜‚
 
Hao viongozi wa chaumma waliojiuzulu bado n wanachama au wameondoka chamani?
 
binafsi kuondoka hawa jamaa hata hakuniumi, naona afadhali wameondoka. kama kigaila si alikuwa anajifanya mpambanaji kumbe usiku anaongea na mkewe covid 19 akabebe ubunge wa ndugai ili walipe ada za watoto. wa nini sasa huyu chadema, si bora amwekenda? WAMECHEZEA sana akili za watanzania hawa, kuna watanzania wamekuwa vilema, wamepoteza mitaji na wengine kiuuawa kwa sababu ya kuamini hawa jamaa kumbe wao wanawachezea shele tu.
 
Mkuu umeandika maelezo mengi, hv umesoma kweli hy mada mbona kila kitu kimejieleza hapo.
 
Kugombea sio sawa na kupewa cheo.
Acha ufala ndugu yangu, yn mtu mnampa nafasi ya kugombea urais afu unakuja kusema kugombea urais sio sawa na kupewa cheo, πŸ˜‚ uchawa ndo unakuaga hv yn huoni baya kwenye chama chako ww n kusifia tuu
 
Kugombea sio swa na kuwa kiongozi, unaweza ukapewa kugombea ukawa mshindi ila ukileta nyepesi ukavuliwa uanachama ukawa mwepesi.... Au haujui uzito wa mtu kuwa kiongozi wa chma aisee....
Sio kwa nafasi ya urais mzee, uchawa unaanza kukua kwako
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Angalau Sasa tumepata chama Cha upinzani Cha kweli sio Cha kifisadi naiona chadema yenye ushawishi Cha chadema ile ya Dr Slaa 2010-2015
 
strategy ya MH SITA na CCK
 
😹😹😹 Nvgjfgcunjihh oh hug chnfvv
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…