PreGE2025 G55 Moshi na Temeke waondoka CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Tanzania hakuna uchaguzi, bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura. Hivyo si kosa nyinyi kujiandaa na huu uhuni, lakini sisi tunaojitambua hatushiriki chaguzi zenye kanuni za kishenzi.
Kuna wengine ndo tunawasikia leo ila nao wanasema walikuwa wanatukanwa
 
Binafsi nawashukuru sana Tundu Lissu, Heche na Lema, kama hawa watu wangekata tamaa na kikihama CHADEMA, ingechukuwa muda kidogo kujua kwamba kwa miaka yote iliyopita chama hicho hakikuwa na lengo la kusaidia wananchi bali kilikuwa na lengo la 'na sisi tule'​
 
Who cares ? 52 ? Nani anawajua sasa ? Aliondokaga Dr Slaa dakika za jion kabisa uchaguz wa mtoto, sembuse hawa wapuuzi walioshiba mbege na dadee? Chadema ipo na itakuwepo mioyoni mwa watanzania ! Acha mchele ujitenge na pumba/makapi!

Heche na Lissu wanazidi kukinyoosha chama, wale wa pombe na bure na nyama waondoke tu !
 

Kama wanaenda chama kingine si waende😳 yaani unaweka press kutangaza kujitoa halafu unasema hujui unaenda wapi? Sasa huo sio udalali hakuna wa kuwalipa ! Kama hawapendi mambo kwanini wanachukuwa muda mrefu kuongelea
 
Mwenye kuelewa anieleze G55 ni nini? Ni wale wasiotaka mabadiliko ya katiba? Na kama ndivyo basi tuwaogope kama ukoma, ni korona ya kuogopwa.
 
ccm wanatumia nguvu kubwa kuibomoa chadema
wananunua wanachama wa chadema, wanatumia polisi, wasanii, waandishi wa habari

Uzuri watanzania wameamka, wanaelewa uchafu unaofanywa na chama tawala
 
Wenye pesa wanaondoka Kilimanjaro
Hizo tonetone zenu sahauni Kilimanjaro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…