G.P.A ya mbunge David Silinde

Ipo siku mtadai hadi picha za utotoni za viongozi wenu sijui zinamsaidia nini
 

wanaume wa dar ktk ubora wako!! hii nayo ni issue ya kitaifa? badala ya kuhoji why mkulu anajijengea uwanja wa ndege kwa gharama ya bilioni 2 badala ya kuzipeleka kwenye madawati ambako watoto wanakaa chini kwa miaka 54 tangu uhuru!!!!
 
Ukiona mwerevu ameanza kufuata ushauri Wa MTU mpumbav jua wazi kuwa mweruvu naye ameanza kuwa mpumbav
 
Chukua GPA za Tibaijuka na Chenge utupe na faida zake..!
 
Aisee bado unaamini ktk GPA? Inashangaza!

Ila kusoma sio tatizo, tatizo ni kuulizia mavuno(mshahara) ya mwenzio wakati unaona anajua kulima(hoja) na shamba(mbunge) lake ni kubwa.

Kuwa kipanga chuoni haikupi 100% ya kuendesha maisha huku uraiani.

By the way, bookishness yako haina sababu ya kujua GPA ya mweingine.

WYSIWHG!
 
Mbona ume panick mkuu...Tehe Tehe
Kwanini mkuu.mi namshangaa huyu jamaa unaulizia GPA ya mtu ambaye labda keshakuacha mbali tu kimaisha itakusaidia nini? Ulimwengu huu si wa kuangalia GPA. Bill Gates alidrop college akaendelea na Microsoft leo yuko wapi? Alinifurahisha alipotembelea Harvard kuongea na jumuiya na wanafunzi akawaahidi atarudi kumalizia degree yake . Ila kumbuka mpaka hapo wanamwita Dr. William Gates hata degree hakumaliza.
 

Nipe GPA na CV yako kwanza then nitakupa ya Silinde na full performance.
 
wanaume wa dar ktk ubora wako!! hii nayo ni issue ya kitaifa? badala ya kuhoji why mkulu anajijengea uwanja wa ndege kwa gharama ya bilioni 2 badala ya kuzipeleka kwenye madawati ambako watoto wanakaa chini kwa miaka 54 tangu uhuru!!!!
mkuu nakuunga mkono hoja yako ya hii issue sio ya kitaifa lakini hapo kwenye madawati mhhh labda useme hiyo bil.2 itumike mahala pengine sio kwenye madawati maana hata wewe umeshuhudia mchakato wa kuongeza madawati unafanikiwa kwa kiasi chake
 

Mkuu..
UDOM = Chuo cha mwendo kasi..
 
Nimeamua kukaa kimya maana watoto wa sikuhiz wana majibu makali wanaeza ntukana. Nimesoma coet miaka minne sikuwahi kusikia hii kitu, huenda kwakua sikua mfuatiliaji wa hizo hbr
HATA MIMI NAJUA HIVYO LABDA KUMEKUWA NA MABADILIKO KUANZIA MWAKA 2012
 
Watoto wa udsm mnajipa sifa za kijinga mnamaliza shule kichwani mpo kawaida sana, mmeshindwa kutengeneza tomato, angalieni vyuo kama makelele wametengeneza gari, nyie mnakalia udsm noma noma, ndo maana mnaishia forever living

Mkuu..
Wewe umemaliza chuo ganii??
Isijekua na ww ni product ya mwendo kasi/UDOM
 
Kuku ni kufilisika kiakili!kama huna hoja shut up.!
GPA ya prof.maji marefu na livingstone lusinde nazo unazijua?
 
Udsm ni chuo kikuu kilichosimamia ubora wake tangu enzi za Uhuru hadi Leo. Huez fananisha course yoyote ya Udsm na hivi vyuo vingine vya kata.

SUA inaeza ikawa namba mbili ila nayo sikuhiz imeanzisha vikozi vya kijinga jinga.

Mzumbe was good zamani ila tangu wameanzakugawa hizi masters zao za Mwendokasi jijini dar umaarufu wa Mzumbe umeshuka. Kila mtu mjini anakuambia ana masters,muulize ya chuo gan ? Utasikia Mzumbe. Why not Udsm?
 
Kama na Gent kwa Udsm mbona alijitahidi .Udbs .ningekuwa kwenye college zenu huko tungeshanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…