Prakatatumba abaabaabaa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2022
- 2,040
- 6,779
Kufika 2030 nadhani kutakua na uhitaji hafifu sana wa watu waliosoma computer science.
Kwanini? Integration ya AI imekuja kuharibu vitu vingi, na mbaya zaidi hatuwezi kuikwepa, miaka 10 nyuma watu walimeza code, syntax Kwa ajili ya kutengeneza website au application, sasaivi simple website inatengenezwa na junior tu.
Yaani unaandika prompt chatgpt akutengeneze language nzuri Kwa ajili ya website unayoitaka, then unaicopy, unaenda kuipaste Kwa claude AI, then unatengenezewa code full, unajipatia website yako...
Cha kushangaza interview za UTUMISHI wanang'ang'ana na mambo ya analog ya kuandika code, kama unafatilia mambo ya tenc Kuna mambo ya cloud, azure n.k yote hii ni njia moja wapo ya kuwaonesha watu hawaitajiki kwenye mambo ya tech.
Data analysis, graphics design AI can do better than human issue ni prompt tu,
Umejipangaje mwana tech?