Zainab Tamim
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 1,293
- 583
- Thread starter
- #41
Sijakuelewa ndugu yangu.Over my dead body
Sijakuelewa ndugu yangu.Over my dead body
Ndugu yangu kimfaacho mtu ni chake. Leo kuniambia mali yangu ni takataka naona si uungwana.
Ingekuwa ni taka taka mimi nisingethubutu kuiuza.
Imechoka sana,milioni 40 ni nyingi kwa gari hiyo [I remain to be corrected]Sijakuelewa ndugu yangu.
Kumradhi, nimekosea
Ungekuja kuiona, hiyo ni bei niliyoitoa mwanzo kwani sielewi bei za soko zipoje. Mimi si muuzaji wa magari bali hiyo ni yangu mwenyewe, tazama picha ya kadi nimekuwekea, na kwa sasa kazi tulizokua tunaifanyia zimekwisha na imekaa bure tumeamua kuiuza.Imechoka sana,milioni 40 ni nyingi kwa gari hiyo [I remain to be corrected]
Sana tu. Hizi gari ni popote.hilo fuso MAYAI litaweza maisha ya MKOANI?
Asante kwa jibu zuri. Nadhani kuna logic kwenye maelezo yakoNinavyofahamu mimi ni shepu yake inakuwa haina engo. Inakuwa na mzunguko fulani kama ya lisivyo na engo.
Naweza kusahihishwa kama sio sawa.
show inapatikana hata kwa laki 2 tatzo iyo show lazima uingie kwenye magaraje upate fuso iliorudi china au ununue kibini complete ambayo ni gharamaAcha uwongo floow na shoo ya mbele kwa 200000,acha uwongo Bati bei gani,ufundi bei gani shoo hata kama ya plastick hupati
Sent using Jamii Forums mobile app
uko sahihi kuna zile nyingine kibini inaitwa 4angleNinavyofahamu mimi ni shepu yake inakuwa haina engo. Inakuwa na mzunguko fulani kama ya lisivyo na engo.
Naweza kusahihishwa kama sio sawa.
Gari nzuri mkuu utapata mteja kwa anayejua magari engine 6D16 ni engine nzuri sana.Mimi sio mzoefu sana wa magari. Nimepiga picha card ya gari nahisi itasaidia kujibu maswali yako.
Gari ni nzuri inawaka na hata leo walikuja watu kuikagua wameiwasha.
View attachment 557866
Napenda biashara ya uwazi na ukweli.
Mwenye nia ya kununua aje aione aikague tusikilizane bei ya kuuziana.
Maneno ya kejeli na kebehi nahisi hayajengi bali yanabomoa.
Kama una pesa nunuaBi Zainab umeongea maneno ya busara kama kawaida yako. Hawa wasema hovyo wasio na adabu tuwachie sisi.
Utakuta mtu hajawahi kuwa hata na ndoto ya kuwa na fuso analeta kejeli za kipunguani.
We mwanamke mbona una majibu mabaya saana namna hiii?? Mbona unatusi watu! Baba yake hapo kaingiaje ,mbona unaharibu biashara ya watu ,kuwa na staha na maneno we ni MTU mzima ,ucmuudhi MTU usiye mjuaBaba'ko analo?
We mwanamke mbona una majibu mabaya saana namna hiii?? Mbona unatusi watu! Baba yake hapo kaingiaje ,mbona unaharibu biashara ya watu ,kuwa na staha na maneno we ni MTU mzima ,ucmuudhi MTU usiye mjua
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama una pesa nunua
Taarabu hazina nafasi yake hapa
Watu wanafanya biashara unaleta UislamWewe kwaya za nini? Si ukanunue, au ndiyo wale wale?
Bila Uislam hata neno biashara usingelielewa.Watu wanafanya biashara unaleta Uislam