Fuso Mayai Inauzwa

Fuso Mayai Inauzwa

Tangazo.

Tunapenda kuwafahamisha yafatayo.

Bei za Aunt Zainab's Natural Super Clay kwa mkebe wa gram 80 kwa reja reja kwa sasa ni Shillingi 5,000 tu ukinunua kwetu. Ukinunua kwa wasambazaji inaweza ikawa hiyo au juu kidogo.

Tumepandisha bei kiasi kutokana na gharamakupanda.

Mtatusamehe sana kwa usumbufu wowote.

Kwa maelezo zaidi piga 0625249605 Mzee Abdul au 0769302206 Zainab Tamim au tuma whatsapp 0625249605.
 
Wacheni porojo Mbowe aliwauzia chadema kwa million 600 kama hilo.

Bi Zainab Tamim, hawa waswma hivyo wasikusumbuwe utakuta hawana hata baiskeli.
Kama ni kweli,nashauri dada Zainabu awasiliane nae,apitishie kwake apate bei zaidi! Yawezekana aliyeuza kwa 600M ni dalali hodari.
 
Back
Top Bottom