Fursa za biashara kwa kila mkoa hapa nchini

Fursa za biashara kwa kila mkoa hapa nchini

ok, nkushauri uza hcho kiwanja then upate hyo hela then ukafanye hyo biashara na ikishakurudishia hyo milion 250 uende ukanunue kiwanja kingne
Sehem nilipopata kiwanja ni hot cake sana na mazingira yametulia sana , na zaidi nimepapenda sana , anyway shukrani kwa ushauri mkuu
 
Unakwama wapi sasa mazee kuuza hiyo nyumba au kiwanja ukapata hiyo pesa then ukazalisha na ukajenga au kununua kiwanja kingine Bomba zaidi?
Una tatizo la mindset na sio mtaji kumbe...
Inawezekana ni mindset, sawa ngoja nilifanyie kazi.
 
kama ndo hvo bas nenda bank na hyo hati ya hcho kiwanja kakope pesa kwa sababu una uhakka kwamba hyo biashara itarudisha pesa then sion tatzo ww kuweka hati yako kama bond ya mkopo
Sehem nilipopata kiwanja ni hot cake sana na mazingira yametulia sana , na zaidi nimepapenda sana , anyway shukrani kwa ushauri mkuu
 
Naona kama unachukulia kama utani au kebehi Fulani au dharau flan hivi nmekuangalia muda na comments zako naona kama unadharau sana, anyway Goodday.

Umenichukulia sio kbs sko hvyo ..mm nimewaza tu 250m kwa mwezi mmoja??anywys ni mawazo yako tu napaswa kuyaheshimu
 
  • Thanks
Reactions: 30P
Shukrani mfalme 999.
tatzo la mindset linatukumba wengi sana
check at this pic and make ur interpretation
donkey.jpeg
 
Attachments

  • donkey.jpeg
    donkey.jpeg
    10 KB · Views: 25
sidhani kama amekukebehi ila naona n mtazamo wake,,issue iko hv kwa mazngira ya hapa bongo saiz biashara n ngumu sana kutokana na mambo mbali mbali hasa kodi kuwa juu. Nenda kariakoo kaangalie maduka ya simu yalivyofungwa nadhan utakuwa shahd.

mm pia nilistaajabu kuona kwamba kuna biashara yenye return ya 250mil per month kwa hapa bongo.

kwa hyo yy kakujbu hvo kutokana na uhalisia wa hali ya biashara hapa bongo

alafu pia kama hutojali twaweza shirikishana hyo biashara huenda kuna watu wakakupa mchango hata wa mawazo.
#N.B; Before you INVEST,INVESTIGATE

kama ni online bussness iweke hapa nkushauri usje lia ,,,pesa inauma asee[emoji41]

by the way leo nna morale ya kuandka ndo mana majbu yangu n marefu sana
[emoji102]
Naona kama unachukulia kama utani au kebehi Fulani au dharau flan hivi nmekuangalia muda na comments zako naona kama unadharau sana, anyway Goodday.
 
sidhani kama amekukebehi ila naona n mtazamo wake,,issue iko hv kwa mazngira ya hapa bongo saiz biashara n ngumu sana kutokana na mambo mbali mbali hasa kodi kuwa juu. Nenda kariakoo kaangalie maduka ya simu yalivyofungwa nadhan utakuwa shahd.

mm pia nilistaajabu kuona kwamba kuna biashara yenye return ya 250mil per month kwa hapa bongo.

kwa hyo yy kakujbu hvo kutokana na uhalisia wa hali ya biashara hapa bongo

alafu pia kama hutojali twaweza shirikishana hyo biashara huenda kuna watu wakakupa mchango hata wa mawazo.
#N.B; Before you INVEST,INVESTIGATE

kama ni online bussness iweke hapa nkushauri usje lia ,,,pesa inauma asee[emoji41]

by the way leo nna morale ya kuandka ndo mana majbu yangu n marefu sana
[emoji102]

Thts the point!nidharau ili iweje?nitapata ahueni gani mm moyoni mwangu ? Asante kunisaidia!
 
Jaman iringa kwa biashara ipi inafaa
Usafiri hasa bajaji zinalipa sana, pia kama unaweza fungua mpesa, tigo pesa na nyingine hasa hasa kule mkwawa au tumaini utapiga pesa.... nguo bei kubwa sana yan akija mtu anafungua duka akalipigia promo bei ndogo atauza pia....hizi zote ni town centre ya iringa zinalipa....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jaman mm ni mwanafunzi nasoma chuo mwaka wa pili iringa natamani nije kua na chuo changu na apa nafanyaga tu biashara ndogondogo za nguo na viatu kwa wanafunzi wenzangu ushaur jaman niweze kufikia ndoto zangu
 
Naomba ingekuwa busara watu walete fursa za uchumi zipatikanazo nchini kwa sasa (mikoa kwa mikoa) faida, vigezo,na changamoto zake kwa kila kada mfano elimu, afya, teknolojia, nk namna ya kuzifikia hata kwenye uzoefu.....
 
Back
Top Bottom