BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,345
[emoji848]
Mimi nilipo fursa kubwa na ya uhakika niliyoiona mm kwa jicho pevu ni elimu!afya!
Huku watoto wengi sana wapo tu na unawaona wanaenda shule ilimradi...na shule ziko mbali kweli...niliwahb fikiria unafungua shule nzuri unatafta walimu wazuri usitoze ada kubwa sana utapiga hrla had ushangae..hii ni kuanzia nursery had secondary...sehemu zote nilizopita nashangaa sijawah ona private ya maana au chekechea mtaani[emoji21][emoji21][emoji21]!matoto yapo yapo tu yanachunga [emoji230] tu...
2.Afya..sidhan km mkoa huu kuna private hosp ya maana...!kifupi zilizopo hazina hata hadhi ya kuitwa kituo cha afya..chafuuu..huduma hakuna..!yaan apatikane Dk mmoja aanzishe zahanati huku jamani huyo within a year ni mtu mwingine..
Mfano Ifakara kuna hosp niliwah lazwa mwaka jana..nilipofika pale homa ilikata...!ni nyomi la watu...anachaj rahis kuandikisha kadi 1000!..wanapokezana kwa shift hapo mapokezi..bahati nzuri mwenye hyo zahanati ni family friend alisrma kwasiku kadi tu zile za kujiandisha anapata zaidi ya laki 3..achana na kutoza kitanda na madawa!
Jamani madokta hebu tafuteni mitaji mje mjipatie maisha mazuri..!kuna Dk humu karibu kila mara namwambia njoo ufungue hosp huki naona haelewi kalemaa na dar[emoji57]!
Huu ndo uwekezaji jamani sio biashara za uchuuzi sizipendi mno maana hazinaga uhai mrefu..ukifungua shule /hospital huu ni urithi wa wanao!
Nyie wanavyuo mlomaliza chuo kujeni huku mfungue vituo hata vya kufundishia tuition ..hasa hesabu
fizikia chemia muone mtakavyomake!then baadaye mtapanda had kufungua shule .watoto wengi mno huku huwaoni wakienda shule...!na wnaoenda tu ukimwangalia unajua huyu hakuna kitu(me nna hako kakipawa[emoji38])hawana ht ari ya shule..lakin wakipata walimu wakawamotivate naamini watapenda shule!
Aliye serious hasa kwenye ishu ya shule iwe chekechea au secondary asiniache"[emoji41]!tutafte hela jamani!