Fursa ya kupata mapenzi ya kweli kwa wanawake wenye umri wa Miaka 38 - 55 ipo. Kwanini mnadanganyana otherwise?

We don't take relationship advice from women.
Woman can't teach a boy how to be a man.

MISS LADY YOU BETTER STAY ON YOUR OWN LANE

Au jarbu kufanya wanachofanya wezio wakina :
1.Olivia Alexa
2.Melli Monaco
3. NollaGirl504

Hawa tunawasikiliza kwasababu wana expose makando makando .
Aliekukuza Nani??
Si mamako?!
Ivi hata kwanini naku comment maana tangu mama yako alipoachia kukupa mafuta kwenye makalio wewe ulishaacha
 
Hebu dada mrembo mkatoliki mbatizwa wa miaka 30-38 nicheki mara moja pm sasaivi na Mungu akubariki sana kwa kuitikia wito wa mtumishi wake, Amen.
Nipo Huku Katoliki tunadiskas waraka WA bandari
Siwezi kukucheki asee, pole
 
Wadada wengi kipaumbele chao kuolewa wakiwa 25 mpk 30 age kinyume na hapo inakuwa changamoto kwao, kingine umeongelea kuzaa ukiwa na 50 age hapo unaweza ukazaa watoto ambao hawapo inteligent ni vizuri ukazaa ukiwa na umri mdogo
Wewe unawaza kuzaa at 50
Wenzio wame freez mayai Yao wakiwa na Miaka 28
Na wanapeta Tu😂😂🥳
Shida NI pesa bro usifosi principles zako zifanye KAZI WA wasichana UMRI WA Miaka 20-28 in the name of mayai yanachacha😂
 
Back
Top Bottom