Fursa ya kupata mapenzi ya kweli kwa wanawake wenye umri wa Miaka 38 - 55 ipo. Kwanini mnadanganyana otherwise?

Mwanamke akiwa na miaka 50 kamwe hawezi kuzaa. Sayansi ya kimaumbile inasema mwanamke hifika ukomo wa kutoa mayai (menopause) akiwa n miaka 45.
Usiwadanganye!
Wengine mpaka Miaka 55 wanapata menopause
Inategemea na lifestyle yako ya msasi na maisha bruh
Ask any doctor atakueleza
Usijifanye wewe NI mwanamke Sana ukakremisha Miaka ya menopause
 
nimeolewa mdogo sana, nikiwa na miaka 18
Sasa unawezaje kuwashauri wenzako wajae kwanza ndo waolewe wakiwa na miaka 40+, hapo akipata mtoto mmoja wawili imeisha

Na pia mzazi huyo hatakuwa na uwezekano wa kushuhudia ndoa ya mtoto wake kama ulivyo shuhudia wewe huoni huwatendei haki
 
Wengine mpaka Miaka 55 wanapata menopause
Inategemea na lifestyle yako ya msasi na maisha bruh
Ask any doctor atakueleza
Usijifanye wewe NI mwanamke Sana ukakremisha Miaka ya menopause
Mwanaume hana limitation ya kupachika mimba refer Dr Slaa amempachika mimba Josephine na kumpata Junior, Dr Slaa ni old Man ni Babu.

But/lakini kwa mwanamke kuna umri sahihi wa kuzaa ili uwezo kutimiza vyema majukumu ya malezi.

Uzazi katika umri mkubwa kwa mwanamke una athari nyingi kwake hata kwa kiumbe atakachozaa kuwa na matatizo na wengine ndio hii mtoto anazaliwa taahira, Mungu awaepushie mbali wote wanaotalajia kuzaa kwenye umri mkubwa wazae Salama na Watoto waliokamilika.

Kwa mtu mwenye akili timamu na anayetumia vizuri kichwa badala ya kufugia nywele tu, Mimi naunga mkono kwa 100% wanawake wote wanaozaa mapema kabla ya kuolewa kwa sababu kuowa au kuolewa siyo lazima, ila kupata Watoto au mtoto ni muhimu sana.

Hivyo basi Mimi kwa ushauri wangu mwanamke akifika mpaka 35 hasomi ramani pls choose wisely somebody mpate naye mtoto wapo wanaume wengi tu financial stable na hawana mpango wa kuoa.

Taasisi ya ndoa imeshaharibiwa na waliotangulia, watu wengi smart wala hawana mpango na ndoa kwa sababu ndoa zimegeuka kuwa gereza la hiyari, nani anataka utumwa huo?

Kwahiyo single mothers ni kitu kisichoepukika kwa dunia ya sasa, lakini ni akili ya mwanamke mwenyewe a change kalata zake vizuri ukiona ramani haisomeki basi at least mtendee haki mwanzo mtarajiwa awe na baba wa kueleweka siyo ili mradi tu sperm donor.
 
Sasa unawezaje kuwashauri wenzako wajae kwanza ndo waolewe wakiwa na miaka 40+, hapo akipata mtoto mmoja wawili imeisha

Na pia mzazi huyo hatakuwa na uwezekano wa kushuhudia ndoa ya mtoto wake kama ulivyo shuhudia wewe huoni huwatendei haki
uwe na imani
 
Mwanaume hana limitation ya kupachika mimba refer Dr Slaa amempachika mimba Josephine na kumpata Junior, Dr Slaa ni old Man ni Babu.

But/lakini kwa mwanamke kuna umri sahihi wa kuzaa ili uwezo kutimiza vyema majukumu ya malezi.

Uzazi katika umri mkubwa kwa mwanamke una athari nyingi kwake hata kwa kiumbe atakachozaa kuwa na matatizo na wengine ndio hii mtoto anazaliwa taahira, Mungu awaepushie mbali wote wanaotalajia kuzaa kwenye umri mkubwa wazae Salama na Watoto waliokamilika.

Kwa mtu mwenye akili timamu na anayetumia vizuri kichwa badala ya kufugia nywele tu, Mimi naunga mkono kwa 100% wanawake wote wanaozaa mapema kabla ya kuolewa kwa sababu kuowa au kuolewa siyo lazima, ila kupata Watoto au mtoto ni muhimu sana.

Hivyo basi Mimi kwa ushauri wangu mwanamke akifika mpaka 35 hasomi ramani pls choose wisely somebody mpate naye mtoto wapo wanaume wengi tu financial stable na hawana mpango wa kuoa.

Taasisi ya ndoa imeshaharibiwa na waliotangulia, watu wengi smart wala hawana mpango na ndoa kwa sababu ndoa zimegeuka kuwa gereza la hiyari, nani anataka utumwa huo?

Kwahiyo single mothers ni kitu kisichoepukika kwa dunia ya sasa, lakini ni akili ya mwanamke mwenyewe a change kalata zake vizuri ukiona ramani haisomeki basi at least mtendee haki mwanzo mtarajiwa awe na baba wa kueleweka siyo ili mradi tu sperm donor.
uweee
 
Back
Top Bottom