FURSA:Waandishi wa vitabu anzeni kuandaa kitabu hiki:The Decline and Fall of CCM

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,035
144,396
Naomba nitumie nafasi kuwashitua waandishi maarufu wa vitabu duniani kuwa kuna fursa inakuja na hii si nyingine bali ni ya kuandika kitabu kinachoweza kuitwa: The Decline and Fall of Chama Cha Mapinduzi.

Hoja yangu hapa ni kuwa,vitabu vinaweza kuandikwa zaidi ya kimoja,ila ataekuwa wa kwanza kuingiza kitabu sokoni, atakuwa na nafasi nzuri ya kuuza kuliko watafuatia katika kuandika.

Anguko la CCM haliko mbali na ni mchakato ulionza mwaka 2015 na bado unaendelea.

Ombi:Msisahau kunipa kamshiko japo kidogo mkifanikiwa.

Nitaweka namba zangu za simu baadae.
 
Mawazo mfu sana ! Yaani akili ndo imefikia hapo! Yaani ninyi mtazikimbia hizi thread zenu baada ya 28 Oct!
 
Back
Top Bottom