Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 89,486
- 157,979
Mnaiangalia tofauti... Hizo rangi sio tija (sidhani kama kuna mtu anaweza opt the use ya hizo colors kwa furniture za ndani); what is your opinion on the end product? As in quality ya kazi yake?
Rangi na nakshi ni part ya end product. Unaweza kufanya kitu kizuri ukiharibu finishing umeshaharibu kila kitu.
Mie siwezi kuzi picture hizo furniture bila hayo manjonjo ya ajabu kama order fulani ya dini ya Kipepe.