Furahia kila nyakati yako

Furahia kila nyakati yako

Mbepo21

New Member
Joined
Jun 13, 2024
Posts
2
Reaction score
6
Usinune sasa unapopata nafasi ya kufurahi moments nzuri hazi dumu, moments nzuri ndio tunazipambania katika lifetime yetu yote.

Unaweza kuta ndio ulikua wakati wako bora wa kufurahi na kuhadithia zaidi ya hapo utatembea na maumivu makali, enjoy kijana, msela, binti.

Tomorow is not promised au sio.
 
Nimekupataaa mkuu nimekupataa ,ngojaa niwekee Cha mwisho hapaa niendee nikasakee SK nijee niendelee kuburudikaa ,,c umesemaa tuinjoy lifeeeeee
 
Usinune sasa unapopata nafasi ya kufurahi moments nzuri hazi dumu, moments nzuri ndio tunazipambania katika lifetime yetu yote.

Unaweza kuta ndio ulikua wakati wako bora wa kufurahi na kuhadithia zaidi ya hapo utatembea na maumivu makali, enjoy kijana, msela, binti.

Tomorow is not promised au sio.
ZIPITAPO NYAKATI ZA FURAHA USIHUZUNIKE BALI UFURAHI KWAKUWA ZILIKUWAKO
 
Easy tuuu...
Mi kwa kweli acha niinjoi
Kwanza kuna mda tutakufa..
No one knows tomorrow...
Kama nimepata natumia tuuu

Tunaishi mara moja...
 
Tuwe pia na Moyo wa shukran kwa Mungu wetu kwa wakat huu uliopo.

Na Hata kama kwako unapitia wakat mgumu kipind hiki. shukuru Mungu kwakuwa kuna wakat pia Mungu hakukuacha.

Alikupa maji na Chakula, nguvu na uzima, alikuondolea dhiki kwa namna yoyote ile. amini pia haya magumu yatapita.

kuutukuza wakat uliopo kwa Kumshukuru Mungu kunaleta nguvu na aman katika maisha tuliyopo.
 
Usinune sasa unapopata nafasi ya kufurahi moments nzuri hazi dumu, moments nzuri ndio tunazipambania katika lifetime yetu yote.

Unaweza kuta ndio ulikua wakati wako bora wa kufurahi na kuhadithia zaidi ya hapo utatembea na maumivu makali, enjoy kijana, msela, binti.

Tomorow is not promised au sio.
True man true/ trumantru
 
Back
Top Bottom