hongera dada umewapa support wenye v bamia,nawaona wanavyotiririka kukupongeza,kwa jinsi ulivyonena,....age ain't nothin' but a number!!!
Hahahaaa sometimes ni vizuri kutiana moyo kwa kupakana mafuta kwa mgongo wa chupa! Ila wenye shida hiyo ni wengi inaonyesha!