Fupi tamu jamani lakini ndefu hakika inakera

Fupi tamu jamani lakini ndefu hakika inakera

Jirani sijui plural ya uume but ndogo zipo!

Hahaha...hata miye jirani sijui plural ya nyuchi za kike lakini kubwa kupitiliza zipo tena nyingi mno.

In my simple research kwa suala la ukubwa au udogo wa maumbile ya siri, wanawake wana sehemu za siri kubwa...

Yaani mwanamke akiwa na umri wa miaka let say 10, size ya uke wake baada ya miaka 20 itakuwa kubwa kuliko ile akiwa na 10 years.
 
Kujiamini tu na kupata yule mnae endana, size sawa
Siku zote ikizidi ni kero
 
Hilo swali lishawahi ulizwa miaka mi2 iliyopita na moja ya jibu fasaha ni hili.
Wanamaanisha show. Ikiwa na tantalila nyingi inaboa, lakini ikiwa brief, inachekesha. Hilo neno la kiungo cha binadamu wa kiume kinachotumika kukojolea mkojo wa kawaida na wa uzazi ni neno kali kwa jamii. Hii ni jamii japo hutuoni

Kwa zaidi Bonyeza maandishi mekundu Fupi Tamu Ndefu Inakera
 
Naona team vibamia wanajifarij hapa,acha nipite
 
I don't really care... as long as you can make me orgasm.

Take what you have and use it well, never mind what everybody else has got.

halaf unaweza kudhani una mguu mdogo kumbe shida ni kwenye size ya kiatu ulichonacho
duh nimeipenda hii
 
Jirani sijui plural ya uume but ndogo zipo!

Hapo juu umesema and I quote: "A real man makes use of what he has".

Hapa umenichanganya kidogo! Ina maana mwenye ndogo hata akiitumia kikamilifu haijalishi?
 
Kwa wana jf mnasemaje juu ya huu msemo kwa upande wangu nahisi unamaanisha uume mfupi ni mtamu kwa mwanamke lakini uume mrefu unamkera wakati wa tendo la ndoa. Mada hii iko waz kuchangiwa na mtu yoyote. Thanx nawakilisha

mbona ipo wazi kabisa fupi ni lazima itafika juu juu itashindwa fikia mahali,na ikiwa ndefu sana itaumiza yaweza fikia kizazi.inatakiwa iwe saizi ifiti inategemea na umbile la mwanamke.na ndi maana watu wakioana kama hawakuzoeana na ikiwa mmoja alizoea umbile fulani basi wataanza kutoka nje ya ndoa. kwa kulijua hili mapema Mungu akakataza zinaa ili kila mmoja akikutana na mwenzie kiwe kitu kipya na kila mtu angezani watu wote wapo sawa wasingetoka nje ya ndoa.lkn sivo ilivi.
 
Hahaha...hata miye jirani sijui plural ya nyuchi za kike lakini kubwa kupitiliza zipo tena nyingi mno.

In my simple research kwa suala la ukubwa au udogo wa maumbile ya siri, wanawake wana sehemu za siri kubwa...

Yaani mwanamke akiwa na umri wa miaka let say 10, size ya uke wake baada ya miaka 20 itakuwa kubwa kuliko ile akiwa na 10 years.

Yaani, kuna nyingine too much aisee, kama penseli ipo kwenye glass vile...
 
Michepuko inayoshiriki kwa mara ya kwanza JIKE huwaza sijui nina korongo kubwa ivi mwenzangu ataridhika kweli? Upande wa pili DUME nalo huwaza sijui nina kibamia ivi mwenzangu ataridhika kweli?? Ushauri wangu kama wewe ni kibamia endelea kuchepuka unaweza kukutana K mnato. Vilevile wenye makorongo kazaneni kuchepuka mpaka mpate Dilido zilizoshiba sie ambao vifanyio vimematch tupo njia kuu tumepozi!!!

Twiiiii twiiii
 
mbona ipo wazi kabisa fupi ni lazima itafika juu juu itashindwa fikia mahali,na ikiwa ndefu sana itaumiza yaweza fikia kizazi.inatakiwa iwe saizi ifiti inategemea na umbile la mwanamke.na ndi maana watu wakioana kama hawakuzoeana na ikiwa mmoja alizoea umbile fulani basi wataanza kutoka nje ya ndoa. kwa kulijua hili mapema Mungu akakataza zinaa ili kila mmoja akikutana na mwenzie kiwe kitu kipya na kila mtu angezani watu wote wapo sawa wasingetoka nje ya ndoa.lkn sivo ilivi.

Nimeipenda sana comment hii na umetoa mwanga mkubwa fupi haimfikishi mtu kunako na ndefu inaumiza kizaz coz inavuka mipaka.thanx my dia
 
I don't really care... as long as you can make me orgasm.

Take what you have and use it well, never mind what everybody else has got.

halaf unaweza kudhani una mguu mdogo kumbe shida ni kwenye size ya kiatu ulichonacho

hapo kwenye kijani ndo panatufanya tuendeshe gari!!!So ikiwa kijani tunakanyaga mafuta kwa kwenda mbele...orgasm kwa mwanamke ndo mpango mzima hayo mengine..sijui urefu...sijui romance ni manjonjo tuuu..
 
Hapa hamna cha uref ama ufupi cha msingi n kumgusa mwanamke sehemu zinazo takiwa.Halaf utam wa mapenzi huanzi mbal na c ktendo chenyewe tu.Msome mpenzi wako umjue analiwazika na n nini hasa n c kuwa unambaka kisa unafupi au ndefu.
 
i make use of what i have. Sikufuru kazi ambayo sina uwezo nayo.
Karucee, why do you think men like to brag about their packages??
 
Last edited by a moderator:
Heaven on Earth, today you're the hero of MMU. You have brought confidence to majority of men in this forum.

Nyie wadada hamjui kiasi gani wanaume wanakosa amani mkiwananga kuwa "vibamia" Ona sasa wanavyokupa "milike" ya kufa mtu....lol
 
Last edited by a moderator:
pipe hata kama inaingia mpaka kwenye moyo lakini hujui kutumia haina faida
 
Heaven on Earth, today you're the hero of MMU. You have brought confidence to majority of men in this forum.

Nyie wadada hamjui kiasi gani wanaume wanakosa amani mkiwananga kuwa "vibamia" Ona sasa wanavyokupa "milike" ya kufa mtu....lol

hahaaa leo nimegongewaje mi like lol hadi raha sema I never thought kwamba ingeboost confidence

kwa baadhi ya watu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom