Funzo: Vijana wa CCM acheni siasa za chuki zitawaponza. Mnawaumiza wazazi wenu na familia zenu bila sababu. Acheni!

Hawawezi kuacha, ukishajiunga ccm ubongo unang'olewa kabisa
 
Vijana wa ccm wameacha kufanya siasa za kujibu hoja Kama ilivyokua KWA watangulizi wao ,KWA Sasa hujifanya ni kitengo NDANI ya serikali, ata chama hawajengi wao kusifia tu uku wakichungulia teuzi ,

Ccm imekufa Sana, tuonacho ni pambo ,ila chama kimechakaa Sana
 
Tuliwambia vijana wa ccm a.k.a viroboto waache siasa za chuki kwani hazina mwisho mwema.
 
Hahaha... Mleta mada atakuwa kalewa mbege!

Yani katika aliowataja wote wanakula maisha.

Nilifikiri unataja watu aina ya Lisu na Lema waliokimbia nchi kwamba waache siasa za kihuni.

Vijana wanaoaibisha wazazi wao wako chadema kama kina mdude nk.
Vipi Sabaya anakula maisha?? habari gani kuhusu Polepole group na Gwajiporn?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…