- Thread starter
- #41
Mdude hajaua mtu wala kukata mtu panga.Mshaurini na mdude maana anaonekana Kama bado anawashwa washwa
Mdude hajaua mtu wala kukata mtu panga.Mshaurini na mdude maana anaonekana Kama bado anawashwa washwa
Ukweli unaumaMshaurini na mdude maana anaonekana Kama bado anawashwa washwa
Hawawezi kuacha, ukishajiunga ccm ubongo unang'olewa kabisaWaswahili wanasema majuto ni Mjukuu.
wengine wakaongeza kuwa Mchuma janga hula na wa kwao.
Lakini pia kuna msema wa kisheria unasema Jinai Haifi. Ewe kijana wa ccm unayehendekez siasa za chuki nakusihi achana nazo. Zitakuja kukucost wewe na familia yako siku a muda usio ujua.
Nani angetarajia hali anayopitia leo Hamohrey Polepole au Bashiru Ally au hata Kheri James??
Tumeona huko Hai yaliyotokea. Sasa tunasikia Paul Makonda halali usiku wala mchana. Hana uhakika kama akila ndani kesho ataamkia wapi. Waliomtuma au kumpongeza atende aliyotenda wamemkimbia na wengine hawapo.
Jifikirie tu ikiwa Jinai haifi unadhani baada ya miaka 20-30 hao wanaokutuma na kukuvimbisha kichwa watakuwa madarakani?? Je watakubeba na kukuokoa na dhahama zitakazo kukuta?. Utakuwa mgeni wa nani??
Somo hili liwafikie tena akina Jeri muro, Murisho gambo, Katambi, Ogutu, Aron kajulumugulu n.k.
Kuna hatari huko mbele msipojirekebisha
This was a wakeup call.
Au ndio vile ukila nyama ya mtu huachi🤣🤣Hawawezi kuacha, ukishajiunga ccm ubongo unang'olewa kabisa
Jamaa amepoa sijui yuko wapi sasaBila kumsahau Ally Hapi
Yule aliomba msamaha baada ya mwendazake kudeadBado Kheri James, aliyekuwa mwenyekiti UVCCM
Kabisa mkuu, huwa hawajifunziAu ndio vile ukila nyama ya mtu huachi
Wangetulia tu huko Tz muwafanye kama akina Azory Gwanda, Ben Sa8, nkNilifikiri unataja watu aina ya Lisu na Lema waliokimbia nchi kwamba waache siasa za kihuni.
Wasipoacha wataishia jelaBado Kheri James, aliyekuwa mwenyekiti UVCCM
Kazi kweli kweliWangetulia tu huko Tz muwafanye kama akina Azory Gwanda, Ben Sa8, nk
Vijana wa ccm wameacha kufanya siasa za kujibu hoja Kama ilivyokua KWA watangulizi wao ,KWA Sasa hujifanya ni kitengo NDANI ya serikali, ata chama hawajengi wao kusifia tu uku wakichungulia teuzi ,Waswahili wanasema majuto ni Mjukuu.
wengine wakaongeza kuwa Mchuma janga hula na wa kwao.
Lakini pia kuna msema wa kisheria unasema Jinai Haifi. Ewe kijana wa CCM unayehendekez siasa za chuki nakusihi achana nazo. Zitakuja kukucost wewe na familia yako siku a muda usio ujua.
Nani angetarajia hali anayopitia leo Hamohrey Polepole au Bashiru Ally au hata Kheri James?
Tumeona huko Hai yaliyotokea. Sasa tunasikia Paul Makonda halali usiku wala mchana. Hana uhakika kama akila ndani kesho ataamkia wapi. Waliomtuma au kumpongeza atende aliyotenda wamemkimbia na wengine hawapo.
Jifikirie tu ikiwa Jinai haifi unadhani baada ya miaka 20-30 hao wanaokutuma na kukuvimbisha kichwa watakuwa madarakani?? Je watakubeba na kukuokoa na dhahama zitakazo kukuta?. Utakuwa mgeni wa nani?
Somo hili liwafikie tena akina Jeri muro, Murisho gambo, Katambi, Ogutu, Aron kajulumugulu n.k.
Kuna hatari huko mbele msipojirekebisha
This was a wakeup call.
Tuliwambia vijana wa ccm a.k.a viroboto waache siasa za chuki kwani hazina mwisho mwema.Vijana wa ccm wameacha kufanya siasa za kujibu hoja Kama ilivyokua KWA watangulizi wao ,KWA Sasa hujifanya ni kitengo NDANI ya serikali, ata chama hawajengi wao kusifia tu uku wakichungulia teuzi ,
Ccm imekufa Sana, tuonacho ni pambo ,ila chama kimechakaa Sana
Siasa za chuki walizo asisi zimewageukia. Akina Jafo wako wapi? Akina Kalemani? Vipi akina Makonda na Sabaya et al??Jamaa amepoa sijui yuko wapi sasa
Vipi Sabaya anakula maisha?? habari gani kuhusu Polepole group na Gwajiporn?Hahaha... Mleta mada atakuwa kalewa mbege!
Yani katika aliowataja wote wanakula maisha.
Nilifikiri unataja watu aina ya Lisu na Lema waliokimbia nchi kwamba waache siasa za kihuni.
Vijana wanaoaibisha wazazi wao wako chadema kama kina mdude nk.
Yupo naona anausoma mchezo wa mama. Amejifunza pia Sponsor hufarikiJamaa amepoa sijui yuko wapi sasa
Kiroboto asome hii.
Kiranja mKuu wa viroboto H.pole×2Kiroboto asome hii.