PostGE2025 Funzo: Mwana JF aliyeshangilia mauaji ya vitoto Gaza sasa anajuta na kutubu baada ya kilichotokea Tanzania Oktoba 29

PostGE2025 Funzo: Mwana JF aliyeshangilia mauaji ya vitoto Gaza sasa anajuta na kutubu baada ya kilichotokea Tanzania Oktoba 29

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

adriz

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2017
Posts
15,474
Reaction score
33,502
Moja kwa moja.

Baada ya Oct 7 Hamas kufanya tukio baya la kijinga ambalo hata Mimi nilililani hapa Jf , serikali ya Netanyahu chini ya IDF ikafanya mashambulizi na mauaji ya kutisha ambayo waaathirika hawakuwa Hamas peke yake mpaka Raia wasiokuwa na Hatia katika Wazee , watoto nk. Na wakaenda mbali zaidi watu mpaka wakazuia vyakula na huduma muhimu kuingia kisa justification ya kuwaangamiza Hamas.

Hali ilivyokuwa Jf.
Hapa Jf Kuna watu wengi walishangilia mauaji wakasema sawa tu hata vitoto kuuliwa maana hilo halikwepeki .

Tena wengine wakaenda mbali walifurahi na kufanya mzaha kwenye uhai wa binadamu wenzao . Mfano ni member huyu @Maghayo👇👇
IMG_20251203_134456.jpg

Nikawaonya Mimi.
Ukijustify kuua watoto na wasio na hatia kisa kutafuta wahuni wachache ipo siku mtu atakuja kuua Familia yenu au mtu wako wa karibu kwa kisingizio kama hiko , je utafurahi ?

Nikasema ni sawa mtu au Familia yenu sababu ya mtu mmoja muovu au sawa kuharibu nyumba nzima na kuchoma moto kisa Kuna mdudu kaingia ndani ?

Jamaa Maghayo Busu la Kenge akaendelea kumtukana na kutamka maneno mabaya na ya hovyo zaidi kuwa Gaza yote isafishwe asiachwe hata kiumbe bila kujali lolote.

Baada ya kunitamkia kauli hiyo nilichukia mno nikasema sitojadiliana na wewe tena kuanzia sasa na kumtamkia maneno ya hasira ambayo nayanukuu hapa "Nakuahidi kabla ya kufa maneno haya maovu uliyosema lazima yataurudia na usipotubu unaweza kufa kifo kibaya sana mark my words " jamaa akaendeleza mizaha yake Mimi nikampuuza.

Ikaja October 29

Baada ya kutokea yaliyotokea sijui kama alipoteza ndugu au uchunguzi wa kibinadamu tu ulimjia ila jamaa alikosa raha kabisa na mood ya kuishi alikuwa kama mtu aliyechanganyikwa huku alilaana mauaji ya hovyo yaliyofanyika kwa uchunguzi mkubwa.

Ogopga Teknolojia : Risiti yake ya kushangilia mauaji ya dhuluma niliitunza kwa muda mrefu sana sababu nilijua ipo siku alichofurahia kita mrudia au kumuathiri kwa namna yeyote ile.

Sasa juzi nilimkubushia na kumuonyesha yale alivyokuwa anafurahia kipindi cha nyuma na kuona damu za watu ni kitu cha mzaha . Siamini macho yangu Maghayo Busu la Kenge ametubu na kukiri kuwa alikosea Kama inavyojionyesha hapo chini 👇 ⬇️
IMG_20251203_133940.jpg

Je , Kuna funzo tumepata hapo ?

#UziTayari
 
Kama baadhi ya ndugu zetu wa visiwani wanavyo furahi kuuwawa watanganyika au sivyo?
Ipo siku jinamizi mfano wa hili litawaandama.
Nimemsikia sheikh mmoja akiwakumbusha 2001 walipouwawa wapemba, hakuna mtanganyika hata mmoja alifurahia Jambo hilo.
Wote walionesha kuchukizwa na kuhuzunika na jambo hilo.
 
Nyie wote ni wajinga wajinga na hizo dini zenu za matakataka.

Popote kwenye issue sensitive ya uhai watu wote timamu wanapaswa kuwa kitu kimoja.

Mbaya zaidi issue ya Tz ilikuwa ni serikali dhidi ya raia wake (walipa kodi) Wasenge mmeshabikia mauji ya raia, hata ambao hamjasema direct tumewaona mkiwagongea like wanaohamasisha raia kuuwawa na polisi.

Mods kweli wapole na wanademokrasia ya kweli, ningekuwa mi ningewalamba ban ya maisha mkatengeneze JF yenu mshabikie mauaji.
 
Nyie wote ni wajinga wajinga na hizo dini zenu za matakataka.

Popote kwenye issue sensitive ya uhai watu wote timamu wanapaswa kuwa kitu kimoja.

Mbaya zaidi issue ya Tz ilikuwa ni serikali dhidi ya raia wake (walipa kodi) Wasenge mmeshabikia mauji ya raia, hata ambao hamjasema direct tumewaona mkiwagongea like wanaohamasisha raia kuuwawa na polisi.

Mods kweli wapole na wanademokrasia ya kweli, ningekuwa mi ningewalamba ban ya maisha mkatengeneze JF ya mshabikie mauaji.
Huyu Adriz mwenye hana tofauti na anayemsema. Adriz anachukizwa na mauaji ya gaza Ila anafurahia mauaji ya Tanzania October 29
 
Asante mwandishi kwa kunitag.

Huwa naona tags zako kadhaa linapokuja swala la October 29.

Kuna kitu nimekimotice kutoka kwako,nacho ni "kile kilichotokea gaza kurelate na kilichotokea Tanzania October 29".

Japo napita kimya kwenye nyuzi nyingi za aina hii bila comments Wala like ila Kuna jambo najifunza kupitia wewe na watu wa aina yako.

1. Nyuzi zinazoongelea October massacre katika hali ya kukemea Huwa haupendezwi nazo.

2. Wanaosema "na Bado,Ole wenu mtokee Tena barabarani mtakiona cha mtema kuni" Huwa unalike 👍. Maana yake unapendezwa na wanaotoa kauli za kikatili dhidi ya watanzania wenzao(unakubaliana nao).

3. Wanaokemea maovu ya Samia,unakuwa kinyume nao.

4. Wanaosupport maovu ya Samia unakuwa pamoja nao katika mijadala.

5. Wanaolaani yaliyotokea Tanzania October 29 Huwa unawapinga kwa kuleta mada za "mbona yalitokea gaza mkawa mnashangilia" sijui hii justification unaitoa wapi? Mfano Mimi sijawahi kushangilia ya Gaza na sijawahi kuwashabikia Israel. Nipo pamoja na Iran katika nyuzi zote zinazotaja vita za mashariki ya kati.

6. Hii ni nyuzi ya tatu naiona umeandika mada hii hii Moja kuhusu Gaza na kutaja member huyo huyo mmoja Maghayo kuwa kielelezo cha mbona mlishangilia Gaza".Sijui kwa nini yeye unamfanya benchmark kwa Kila anayepinga ushetani wa Samia.

kwamba huyo anaonekana kama sisi members wengine na yeye ni mtu mmoja au tuna mtazamo mmoja juu ya mada za mashariki ya kati?

Anyways;Turudi kwenye mada husika.

Ngoja nikupe fact kadhaa hapa chini,ndugu mleta mada.
 
Kwa mnaofuatilia siasa za kimataifa nielewesheni, hivi wapalestine & waisrael kwenye mitandao yao ya kijamiii kuna namna yeyote wameonesha kuguswa na mauaji ya kikatili yaliyofanyika oct 29?
🤣🤣🤣🤣 Hii haina tofauti na yule mama jana alivyosema huko kwao pia yanatokea je tushawahi kuwatolea matamko?
 
Asante mwandishi kwa kunitag.

Huwa naona tags zako kadhaa linapokuja swala la October 29.

Kuna kitu nimekimotice kutoka kwako,nacho ni "kile kilichotokea gaza kurelate na kilichotokea Tanzania October 29".

Japo napita kimya kwenye nyuzi nyingi za aina hii bila comments Wala like ila Kuna jambo najifunza kupitia wewe na watu wa aina yako.

1. Nyuzi zinazoongelea October massacre katika hali ya kukemea Huwa hatupendezwi nazo.

2. Wanaosema "na Bado,Ole wenu mtokee Tena barabarani mtakiona cha mtema kuni" Huwa unalike 👍. Maana yake unapendezwa na wanaotoa kauli za kikatili dhidi ya watanzania wenzao(unakubaliana nao).

3. Wanaokemea makovu ya Samia,unakuwa kinyume nao.

4. Wanaosupport maovu ya Samia unakuwa pamoja nao katika mijadala.

5. Wanaolaani yaliyotokea Tanzania October 29 Huwa unawapinga kwa kuleta mada za "mbona yalitokea gaza mkawa mnashangilia" sijui hii justification unaitoa wapi? Mfano Mimi sijawahi kushangilia ya Gaza na sijawahi kuwashabikia Israel. Nipo pamoja na Iran katika nyuzi zote zinazotaja vita za mashariki ya kati.

6. Hii ni nyuzi ya tatu naiona umeandika mada hii hii Moja kuhusu Gaza na kutana member huyo huyo mmoja. Sijui kwa nini yeye unamfanya benchmark kwa Kila anayepinga ushetani wa Samia kwamba huyo anaonekana kama sisi members wengine na yeye ni mtu mmoja au tuna mtazamo mmoja juu ya mada za mashariki ya kati.

Anyways;Turudi kwenye mada husika.

Ngoja nikupe fact kadhaa hapa chini,ndugu mleta mada.
Hoja namba 5 niliona raisi nae anapita humo kuwa haya yaliyotokea si mapya yalitokea 2001, huwa najiuliza Ina maana Kama Kuna mauaji yalitokea 2001 kutokea tena Sasa hivi sio shida? Pia yakitpkea tena mwakani au mbeleni napo Hakuna shida sababu yalishatokea?
 
1. Tangu ameingia magufuli hadi dada Samia nchi imekuwa na wimbi la kuminywa uhuru wa maoni. Hii ni FACT.

2. Japo utekaji ilikuwepo tangu miaka ya nyuma,ila alipoingia magufuli hali ikawa mbaya zaidi. Wakati huu wa Samia utekaji umekuwa mkubwa maradufu. Hii ni FACT.

3. Samia ameua watanganyika wengi kuliko rais yeyote Tanzania. FACT.

4. Wanayosema TEC kuhusu serikali hakuna hata Moja la uongo na hakuna serikali mahali imekanusha. Hii fact.

5. Samia ndiyo kiongozi mwenye reasoning capacity ndogo kuliko Marais wote waliomtangulia. Akiachwa aseme yaliyo kichwani mwake anaharibu kuliko akiwa anasoma aliyoandikiwa. FACT.

6. Asilimia kubwa ya waislamu wanaamini kuwa Samia anapingwa kwa sababu ya dini,ila wanaepuka kusema anachopingwa badala yake wanadeal na kina nani wanampinga. Hapa wewe unafit in pia maana upo katika mlengwa wa kidini zaidi kuliko fact ya kile kinachoendelea Tanzania.

Tanzania vs Gaza. Ni kwa kiasi Gani tunapaswa kujadili hili swala katika context hiyo?

Yani Rais kuua watu wake na kukiri adharani hiyo inahusiana nini na Israel kuua raia wa nchi nyingine huko mashariki ya kati?

Na inahusiana vipi na huyo mtu mmoja aliyeshabikia na members wengine ambao tunapinga mauaji ya wasio na hatia popote duniani?

Nyongeza,

Kwa kuwa unanitag kwenye Kila nyuzi za aina hii,naomba search popote jf ambapo nimehabikia mauaji ya wasio na hatia. Kuanzia hapo Gaza na popote duniani.
 
Huyu Adriz mwenye hana tofauti na anayemsema. Adriz anachukizwa na mauaji ya gaza Ila anafurahia mauaji ya Tanzania October 29
Mimi ndiyo maana Huwa naepuka mijadala na adriz .

Huwa ni rahisi sana kumsoma huyu ndugu yangu kwa sababu ya mwenendo wake.

1.Hata kama haandiki atalike wanaosapoti uovu/ushetani wa October 29.

2. Ukiwashambulia mashehe wanaotema mashudu Kila siku utaona nae anakushambulia kuwa usilamu haufundishi hivyo. Kwa hiyo hao wasihusishwe na uislamu. Hii ni defensive mechanism mbaya sana. Kwa sababu Hawa mashehe wanaposema mambo ya ajabu adharani Hawa ndugu zetu hawawi wa kwanza kukemea huo ushenzi ila wanatafuta Kila mahali watakapotajwa hao mashehe na kuwakemea nyie mnaopinga na kusema "msiwahusishe na uislamu". Mbona hamtoki hadharani kukemea basi kama mnaona wanauchafua uislamu? Huu siyo unafiki?

Ni kama waislamu wanavyompinga Osama bin laden kuwa msimuhusishe na uislamu kwa mambo yake ya ugaidi,ila kwa waislamu hao hao walio wengi ni role model hadi wengine wanapeperusha picha yake kwenye magari na Bajaj. Means anakubalika.

Hawa watu ni wanafiki vibaya mno.
 
Binafsi yangu bado nahitaji nyumbu ziendelee kuuwawa, hiyo tarehe 9 watoke tu kwenda kufanya wizi wao na uharibu wa mali ili watangulizwe akhera kwa wingi.
 
Mimi ndiyo maana Huwa naepuka mijadala na adriz .

Huwa ni rahisi sana kumsoma huyu ndugu yangu kwa sababu ya mwenendo wake.

1.Hata kama haandiki atalike wanaosapoti uovu/ushetani wa October 29.

2. Ukiwashambulia mashehe wanaotema mashudu Kila siku utaona nae anakushambulia kuwa usilamu haufundishi hivyo. Kwa hiyo hao wasihusishwe na uislamu. Hii ni defensive mechanism mbaya sana. Kwa sababu Hawa mashehe wanaposema mambo ya ajabu adharani Hawa ndugu zetu hawawi wa kwanza kukemea huo ushenzi ila wanatafuta Kila mahali watakapotajwa hao mashehe na kuwakemea nyie mnaopinga na kusema "msiwahusishe na uislamu". Mbona hamtoki hadharani kukemea basi kama mnaona wanauchafua uislamu? Huu siyo unafiki?

Ni kama waislamu wanavyompinga Osama bin laden kuwa msimuhusishe na uislamu kwa mambo yake ya ugaidi,ila kwa waislamu hao hao walio wengi ni role model hadi wengine wanapeperusha picha yake kwenye magari na Bajaj. Means anakubalika.

Hawa watu ni wanafiki vibaya mno.
Adriz nimetoka kumsoma muda mfupi sehemu, anaamini TEC ni kikwazo kwa maendeleo ya waislamu. Anadai waislamu wanakosa haki zao sababu TRC wanazuia

Mtu wa hivi unahisi anaweza kuwa sawa kiakili?
 
Kama baadhi ya ndugu zetu wa visiwani wanavyo furahi kuuwawa watanganyika au sivyo?
Ipo siku jinamizi mfano wa hili litawaandama.
Nimemsikia sheikh mmoja akiwakumbusha 2001 walipouwawa wapemba, hakuna mtanganyika hata mmoja alifurahia Jambo hilo.
Wote walionesha kuchukizwa na kuhuzunika na jambo hilo.
Sijathibitisha kama wa visiwani wanafurahi Hilo ndio maana siwezi kujibu Hilo.
 
Moja kwa moja.

Baada ya Oct 7 Hamas kufanya tukio baya la kijinga ambalo hata Mimi nilililani hapa Jf , serikali ya Netanyahu chini ya IDF ikafanya mashambulizi na mauaji ya kutisha ambayo waaathirika hawakuwa Hamas peke yake mpaka Raia wasiokuwa na Hatia katika Wazee , watoto nk. Na wakaenda mbali zaidi watu mpaka wakazuia vyakula na huduma muhimu kuingia kisa justification ya kuwaangamiza Hamas.

Hali ilivyokuwa Jf.
Hapa Jf Kuna watu wengi walishangilia mauaji wakasema sawa tu hata vitoto kuuliwa maana hilo halikwepeki .

Tena wengine wakaenda mbali walifurahi na kufanya mzaha kwenye uhai wa binadamu wenzao . Mfano ni member huyu @Maghayo👇👇View attachment 3510878

Nikawaonya Mimi.
Ukijustify kuua watoto na wasio na hatia kisa kutafuta wahuni wachache ipo siku mtu atakuja kuua Familia yenu au mtu wako wa karibu kwa kisingizio kama hiko , je utafurahi ?

Nikasema ni sawa mtu au Familia yenu sababu ya mtu mmoja muovu au sawa kuharibu nyumba nzima na kuchoma moto kisa Kuna mdudu kaingia ndani ?

Jamaa Maghayo Busu la Kenge akaendelea kumtukana na kutamka maneno mabaya na ya hovyo zaidi kuwa Gaza yote isafishwe asiachwe hata kiumbe bila kujali lolote.

Baada ya kunitamkia kauli hiyo nilichukia mno nikasema sitojadiliana na wewe tena kuanzia sasa na kumtamkia maneno ya hasira ambayo nayanukuu hapa "Nakuahidi kabla ya kufa maneno haya maovu uliyosema lazima yataurudia na usipotubu unaweza kufa kifo kibaya sana mark my words " jamaa akaendeleza mizaha yake Mimi nikampuuza.

Ikaja October 29

Baada ya kutokea yaliyotokea sijui kama alipoteza ndugu au uchunguzi wa kibinadamu tu ulimjia ila jamaa alikosa raha kabisa na mood ya kuishi alikuwa kama mtu aliyechanganyikwa huku alilaana mauaji ya hovyo yaliyofanyika kwa uchunguzi mkubwa.

Ogopga Teknolojia : Risiti yake ya kushangilia mauaji ya dhuluma niliitunza kwa muda mrefu sana sababu nilijua ipo siku alichofurahia kita mrudia au kumuathiri kwa namna yeyote ile.

Sasa juzi nilimkubushia na kumuonyesha yale alivyokuwa anafurahia kipindi cha nyuma na kuona damu za watu ni kitu cha mzaha . Siamini macho yangu Maghayo Busu la Kenge ametubu na kukiri kuwa alikosea Kama inavyojionyesha hapo chini 👇 ⬇️View attachment 3510886

Je , Kuna funzo tumepata hapo ?

#UziTayari
Wewe ni mnafiki na mdini sana aisee. Kwenye nyuzi zote zinazounga mkono mauaji ya Watanganyika unaunga mkono. Comments zote za akina Lucha, Gallow bird, Big Show, Stuxnet (na wengineo) zinazokejeli mauaji ya Watanganyika una-like na kukenua meno kisa tu aliyeamrisha hayo mauaji ni mtu wa dini yako. Naamini hata hao Wapalestina unawahurumia kwa sababu tu ni Waislamu. Wangekuwa ni Wakristo au Wahindu naamini ungefurahia tu!

Acha unafiki na undumilakuwili huu na simamia unachokiamini. Kwani maisha ya Watanganyika waliowawa na rais wao tena ndani ya nchi yao yana thamani ndogo kuliko ya Wapalestina walio vitani? Kwa nini unafurahia Watanganyika kuuwawa na unawahurumia Wapalestina? Kisa tu anayeua Wapalestina si Mwislamu?

Nawaheshimu akina Ritz, Big Show, Kisai na waislamu wengine ambao wameweka wazi misimamo yao mikali ya kihafidhina kwamba maisha ya muislamu yana thamani kuliko ya "makafiri". Jiunge nao tu na uache hii tabia ya kujificha ficha na undumilakuwili uliyonayo. You can't eat your cake and have it too. You just can't!

You are worse kuliko hata huyo Maghayo uliyemwanzishia uzi. Afadhali yeye nafsi imemsuta amekiri kuwa hakuwa sahihi. Wewe naamini huwezi maana mmefundishwa kutompinga kiongozi mwislamu mwenzenu hata kama anafanya mambo ya hovyo!
 
Back
Top Bottom