Funzo kwa Lowassa: CHADEMA wameanza kumsahau Lowassa

Funzo kwa Lowassa: CHADEMA wameanza kumsahau Lowassa

Kama kuna watu nawadharau katika jukwaa ili
1.mzee mwanakijiji
2.msemajiukwelia
3.idawa
n.b siyo lazima kila kitu uchangie ,pia siyo lazima kila siku uanzishe mada
ila kusoma wenzio wanasemaje ni jambo la hekima na busara kubwa sana
msipobadilika ipo siku idadi kubwa ya wanajf watawachoka na kuwadharau
kwanini nayasema haya?
Ipo siku nitawapa majibu stahiki

Khaa!! Kukosa zawadi ya uDC kunauma sana ukichukulia mtu hukuwa na plan B ya maisha baada ya uchaguzi..hakuna namna tena
 
Wala si ukuu wa wilaya ila hebu jaribu kuwafatilia utajua nachokisema
 
Kwa tume gani?? Unafikiri sisiem haikumsimamisha Lowassa kwaajili ya ufisadi?? Kilichotokea hapo ni conflict of interest, yaani kundi tawala kuwa na hofu kua Mamvi akipewa meno awang'ata, thats all!!!! Usingekuwepo huo mgogoro wa kimaslahi wakamsimamisha Lowasa ANGESHINDA KWA KISHINDO ... Yaani sisiem hata ingemuweka Wema Angeshinda tu.

Mkuu wa-Tanzania sasa hivi wana uelewa mkubwa sana. Huoni CCM wangekuwa na kazi kubwa sana ya kumnadi Edward N. Lowasa? kuliko ilivyokuwa kwa John P. Magufuli.
 
Wakati akikabidhiwa kadi ya uanachama wa CHADEMA, Lowassa alisikika akisema kabla ya kujiunga na CHADEMA hakuwahi kumfahamu vizuri Mbowe kama mwanasiasa mahili na alienda mbali zaidi na kumpongeza Mbowe kwa kuiwezesha CHADEMA kufikia hapo ilipo kama chama kikuu cha upinzani. Kitu ambacho Lowassa hakukifahamu ni uwezo pia wa Mbowe katika biashara ya kisiasa kwenye eneo la hiring, firing and constructive dismissal at will.

Nani aliamini kama kuna siku moja Mbowe anaweza kujitokeza mbele ya vyombo vya habari na kusema CHADEMA hakina muda na Dk. Slaa. Maneno aliyomwambia Dk. Slaa kuwa ''time and tide wait nobody''. Kwa maana kuwa, No one is so powerful that they can stop the march of time yalikuwa ni maneno yanayoshangaza na kusikitisha hasa kama unafahamu mchango wa Dk. Slaa ndani ya CHADEMA na Taifa kwa ujumla wake.

Mbowe alimtumia Dk. Slaa to the maximum halafu baadaye akamjengea mazingira ya constructive dismissal na kumtupa nje ya CHADEMA. Bila kuwasahau pia Makamu Mwenyekiti Taifa, Said Amour Arfi na Naibu Katibu Mkuu, Zitto Kabwe

Kwa sasa Mbowe ameishamtumia Lowassa kisiasa na siyo muda mrefu kuna uwezekano mkubwa, Mbowe akaacha hata kupokea simu za Lowassa achilia mbali simu za kina Mzee Kingunge, Sumaye, Mgeja, Msindai na Masha!

Tumeona kwenye ufunguzi wa Bunge hapo jana ambapo badala ya Mbowe kuimba mabadiliko Lowassa, Lowassa Mabadiliko kwa sasa ameanza kuimba Sheif Hamad, Sheif Hamad. Mbowe akiwa na Lowassa walituambia hawamtambui Rais Magufuli lakini kwa sasa amemgeuka Lowassa na kuachana naye.

Mbowe anafahamu vizuri kwa sasa mtaji wa biashara ya kisiasa uko kwa Maalim Seif. Lowassa kwa sasa is outdated and used. The deal is done and dusted!

Kwa kumtumia Lowassa, Pesa za ruzuku zimeongezeka, kazi yake kama Kiongozi wa Kambi ya Upinzani bungeni(KUB) bado anayo! Hata wanaodaiwa kama ?mistress ? wamerudi bungeni!

Mbowe is dancing all the way to his bank accounts. Mbowe is a successful political entrepreneur!

Kwenye siasa za CHADEMA, Lowassa is finished!

Kama kuna watu bado wanamwambia/kumshauri Lowassa kuwa ana future ndani ya CHADEMA, lazima watakuwa hawamfahamu vizuri Freeman Mbowe!

Ukitaka kufahamu usanii wa kisiasa wa Mbowe, angalia body language ya Mbowe kwenye hii video wakati Lowassa akiitaka NEC imtangaze yeye kuwa mshindi kwa madai kuwa amepata kura 10,268,795.

Sijawahi kutukana humu ndani maana naamini it's the last resort, nadiriki kukuambia htumii kichwa na akili yako vizuri kufikiri. Badala yake kuna kiungo flani hivi kazi yake ni kutoa kitu flani chenye harufu ya kukera pua za waungwana. That is what you are!!!
 
Last edited by a moderator:
Nampenda SNA lowassa he is so humble God bless you

Very humble and I never knew this before. I am very sure God is gonna shame these enemies of his, soon and every body will be shocked badly!!!! Najua saivi vinywa vyao vinawaka zaidi ya kaa la moto kwa kutema cheche kama baba yao Ibilisi, na wadogo zake kama wewe and the like. Remember these always: Saddam, Gaddhafi, Mubarak, Moi, Iddi Amin, Ben Ali, Siad Barre, South African Apartheid. We are just led the mentioned but the only difference is that our is hidden under the umbrella of democracy. Our is worse because many are raped and told not to shout or else they lose their lives!
 
Wakati akikabidhiwa kadi ya uanachama wa CHADEMA, Lowassa alisikika akisema kabla ya kujiunga na CHADEMA hakuwahi kumfahamu vizuri Mbowe kama mwanasiasa mahili na alienda mbali zaidi na kumpongeza Mbowe kwa kuiwezesha CHADEMA kufikia hapo ilipo kama chama kikuu cha upinzani. Kitu ambacho Lowassa hakukifahamu ni uwezo pia wa Mbowe katika biashara ya kisiasa kwenye eneo la hiring, firing and constructive dismissal at will.

Nani aliamini kama kuna siku moja Mbowe anaweza kujitokeza mbele ya vyombo vya habari na kusema CHADEMA hakina muda na Dk. Slaa. Maneno aliyomwambia Dk. Slaa kuwa ''time and tide wait nobody''. Kwa maana kuwa, No one is so powerful that they can stop the march of time yalikuwa ni maneno yanayoshangaza na kusikitisha hasa kama unafahamu mchango wa Dk. Slaa ndani ya CHADEMA na Taifa kwa ujumla wake.

Mbowe alimtumia Dk. Slaa to the maximum halafu baadaye akamjengea mazingira ya constructive dismissal na kumtupa nje ya CHADEMA. Bila kuwasahau pia Makamu Mwenyekiti Taifa, Said Amour Arfi na Naibu Katibu Mkuu, Zitto Kabwe

Kwa sasa Mbowe ameishamtumia Lowassa kisiasa na siyo muda mrefu kuna uwezekano mkubwa, Mbowe akaacha hata kupokea simu za Lowassa achilia mbali simu za kina Mzee Kingunge, Sumaye, Mgeja, Msindai na Masha!

Tumeona kwenye ufunguzi wa Bunge hapo jana ambapo badala ya Mbowe kuimba mabadiliko Lowassa, Lowassa Mabadiliko kwa sasa ameanza kuimba Sheif Hamad, Sheif Hamad. Mbowe akiwa na Lowassa walituambia hawamtambui Rais Magufuli lakini kwa sasa amemgeuka Lowassa na kuachana naye.

Mbowe anafahamu vizuri kwa sasa mtaji wa biashara ya kisiasa uko kwa Maalim Seif. Lowassa kwa sasa is outdated and used. The deal is done and dusted!

Kwa kumtumia Lowassa, Pesa za ruzuku zimeongezeka, kazi yake kama Kiongozi wa Kambi ya Upinzani bungeni(KUB) bado anayo! Hata wanaodaiwa kama ?mistress ? wamerudi bungeni!

Mbowe is dancing all the way to his bank accounts. Mbowe is a successful political entrepreneur!

Kwenye siasa za CHADEMA, Lowassa is finished!

Kama kuna watu bado wanamwambia/kumshauri Lowassa kuwa ana future ndani ya CHADEMA, lazima watakuwa hawamfahamu vizuri Freeman Mbowe!

Ukitaka kufahamu usanii wa kisiasa wa Mbowe, angalia body language ya Mbowe kwenye hii video wakati Lowassa akiitaka NEC imtangaze yeye kuwa mshindi kwa madai kuwa amepata kura 10,268,795.

Acha fitina zisizokuwa na mashiko
 
Last edited by a moderator:
Kinachomsaidia Lowassa mpaka sasa ni ugonjwa wa kusahau,keshasau kwamba alikuwa amegombea urais.

Ukitaka kuprove hili hata wakati anahojiwa na BBC alisahau kusema kwamba ataendelea kuchunga "nyumbu" badala yake akasema ataenda kuchunga ng'ombe,na alisahau kwamba anayechunga nyumbu mpaka sasa ni mboyee na wala si yeye.

Kabla hujafa hujaumbika. Natamani yakufike kabla hujafa ili wakati mwingine ujifunze kuweka akiba ya maneno.
 
Na wewe utasema umeweka post hapa. ---- ---- ----. Lowass for real, for Tanzanians. Hat muimbe nyimbo gani mmezoeleaka tu,
 
Mkuu wa-Tanzania sasa hivi wana uelewa mkubwa sana. Huoni CCM wangekuwa na kazi kubwa sana ya kumnadi Edward N. Lowasa? kuliko ilivyokuwa kwa John P. Magufuli.
wanadi wasinadi USHINDI LAZIMA, walishasema hawatoki ikulu kwa vikaratasi vya kura.. Yaani kivyovyote vile wangeshinda bila kujali Nani anagombea, yaani ukishakua mgombea wa urais tu kupitia sisiem ujue wewe ni oya oya !!!!!! Sawa na mechi ya stars na Algeria Ndo ingekua imeanza kule tukapigwa zile goli WIKI halafu Game ya marudiano ifanyike uwanja wa taifa Huku tukitarajia kupita ktk Hatua hiyo. Ni ndoto!!!!!
 
Mapambano yanaendelea ,, Utakuja kushangaa Lowasa yupo Ikulu

Inawezekana IKULU ziko nyingi. Wewe unazungumzia IKULU ya wapi? Kama ni IKULU ile ambayo JPM (PhD) yumo then you should forget about it. Lowassa hataweza kamwe kuwa RAIS wa UNITED REPUBBLIC OF TANZANIA. Chadema yenewe kamwe haitakuja chukua madaraka ya nchi yaTanzani. CHADEA ni chama cha Kikanda kilichojaza viongozi juuktoka eneo moja la nchi.
 
Acha ungese wewe. Lowassa hawezi kusahaulika milele. Ni shujaa ni Rais wa walio wengi. Wewe ndiyo umesahaulika huko kwenu.
 
Back
Top Bottom